Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakati tunakua wazazi wetu walikuwa haswa wakanimama walikuwa wanapenda kubandika vibango fulani Utakuta vimjvinasomeka 1. "Yote utakayoyakuta kwenye nyumba hii yaache hapa hapa" 2. Kuacha kazi...
4 Reactions
21 Replies
517 Views
Kitabu cha mwanzo kinasema "si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanya nae". Kwa maelezo hayo machache tu inaonesha ni kwa namna gani Mungu aliona mwanaume si chochote bila...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
https://www.facebook.com/reel/3778752225726520
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Binafsi nilipokuwa miaka 10 nilikuwa na wenzangu tunacheza mpira wa makaratasi na washkaji, pembeni ya ule uwanja kulikuwa na mwembe wenye matunda machache tu basi kuna jamaa alikwea juu ya ule...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Kiufupi hawa wapangaji wengine ni wajinga kupitiliza wasio heshimu imani za watu. Nipo mkoani huko mjini kwenu dasilamu nimeacha kimjengo changu na kina wapangaji. Masharti yangu ni kuwa...
2 Reactions
23 Replies
726 Views
Watu wengi wanajenga nyumba lakini hawafaidi. Nyumba inakuwa ya moto inabidi ashinde bar aje amechelewa. Wengine tangu wajenge hawajawahi kuingia ndani ya hizo nyumba. Mwingine anamaliza kujenga...
21 Reactions
59 Replies
2K Views
Salama? Dah kila siku najifunza hapa duniani. NIMEAMINI MJINI NJOO NA AKILI TU, HATA USIPOBEBA NGUO UKIWA NA AKILI UTAZIPATIA MJINI. Sasa basi kuna mzee mmoja niliunganishwa nae anisaidie ishu...
45 Reactions
257 Replies
15K Views
Ni ijumaa! Nzuri maridadi kabisa Mungu nasi tena kumekuwa na Kasumba ya kuwapa fedha nyingi wanawake na watoto wetu kimsingi ikiwa tunatumia lile neno "hutaki wateseke kama wewe kwa hussle...
1 Reactions
2 Replies
266 Views
Katika utumishi wa Mungu, mahubiri pekee hayawezi kuwatosheleza waumini kupata uimarishaji wa kiroho. Ingawa mahubiri ni muhimu, watu wanahitaji zaidi ya neno linalotolewa madhabahuni. Wanahitaji...
2 Reactions
17 Replies
622 Views
Kampuni ya META imewafukuza Wafanyakazi zaidi ya 24 ambao walibainika kutumia Fedha ziliwekwa kwenye Kuponi za Chakula wakiwa kazini na kununua Mahitaji mengine zikiwemo Sabuni za Kufulia na Dawa...
1 Reactions
2 Replies
726 Views
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu. Washiriki walikuwa wengi lakini...
7 Reactions
71 Replies
5K Views
Inavyoonekana kunamadafa wamekaa mda mrefu sehemu moja hizi ofisi ushauri tu muwe mnawabadilisha vituo wawe na akili Niliwahi.lalamika mwakajana hapa unakuta moo foleni anakuja mtu.mmija ama...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Kwanza namshukuru sana Mungu kwa neema yake nimekuwa miongoni mwa binadamu ambao wameanza maisha rasmi,kwa ile maana maisha yanaanza ukiwa na miaka 40,kwani niko katika 40's Nimegundua au...
35 Reactions
98 Replies
2K Views
Nimekuja mkoa flani huku kaskazini, naona tangu juzi ni umeme kukatika mchana na kurudi jioni. Je kuna mgao wa kimya kimya?
2 Reactions
9 Replies
237 Views
Bob Marley tangu afariki imepita miaka zaidi ya 40 lakini familia yake bado wanakula bata kupitia loyarities na JIna la baba yao. Michael Jackson family, Tupac family, Kennedy family pia ni...
6 Reactions
9 Replies
613 Views
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Mkazi ambalo linatarajiwa kufanyika Oktoba 11 hadi...
0 Reactions
2 Replies
173 Views
Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa Ndugai uliogopa nini mzee...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Faida ya Mtanzania kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali ya kitongoji, mtaa, na kijiji ni pamoja na: 1. Kuchagua viongozi bora: Inatoa nafasi ya kuchagua viongozi...
11 Reactions
144 Replies
2K Views
Mimi ni mwananchi mshamba tu ni juzi juzi tu hapa ndio nimetoka shamba. Gharama ni kubwa sana na nguvu ni kubwa sana SERIKALI INATUMIA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA NA KUPIGA KURA. Serikali...
1 Reactions
7 Replies
303 Views
Katika familia nyingi za Kiafrika hususan vijijini wazazi wengi wanawaogopa watoto wao wenye pesa hata kama ni mdogo. Mtoto huyo mwenye pesa hata akifanya vitu visivyofaa kwa ndugu zake mzazi...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom