Bibi yangu ilikuwa ukizira kula atatuma wajukuu wengine wakukamate,utakula mboko mpaka utakula huku kamasi na machozi vikikutoka.
Mama yangu ulikuwa ukizira yeye hana time na wewe ila...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa tahadhari ya mvua kubwa inayoweza kunyesha maeneo ya Kaskazini Mashariki katika Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara, ambayo inaweza kuleta athari kama...
🚨 Mchezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid raia wa Brazil 🇧🇷 Vinicius Tobias imebainika kuwa sio baba mzazi wa mtoto ambae awali alidhani ni wake aliyekuwa amezaa na mpenzi wake Ingrid Lima mara...
Levis Gervas Mahenge mkazi wa Ngiu Halmashauri ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe ameiomba serikali kuingilia kati ili kupata matibabu kutokana na majeraha pamoja na kuvunjika kwa mkono baada ya...
Chanzo cha picha,AFP
Raia Milioni 10 wa Cuba wako gizani baada ya kiwanda chake kikuu cha nishati kukumbwa na hitilafu.
Gridi yake ya umeme iliacha kufanya kazi mwendo wa saa tano usiku (15:00...
Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha
Zimebaki siku mbili tuuu kabla ya kufungwa kwa zoezi la...
Miaka flani niko Bongo sielewi mambo hayaeleweki, nina sista angu yuko U.S nikaongea nae kuhusu kwenda Marekani kujaribu maisha anakubali, mipango inakamilika kijana nikatua Jackson Heartsfield...
Kutoa roho ya mtu ni tofauti kabisa na kutoa roho ya mnyama ama mdudu. Kwa mnyama sana sana unaweza kulipishwa fidia hasa kama mnyama mwenyewe ni kwa ajili ya utalii.
Kutoa roho ya mtu ukiachana...
Wale wanaotafuta msaada kutoka kwa shetani mwanzoni wanapewa masharti marahisi sana.
Kwanza kabisa fahamu ushirikina wowote lazima kufanya Update ili uendelee kubaki katika Peak. Unapoenda kuomba...
Moja kati ya vitu ambavyo nilikuwa najiuliza ni kama Watanzania tunaweza kutunza Miundombinu yetu ya Reli ya SGR, bila unafiki ukiitazama imekaa poa kwa asilimia kubwa.
Lakini jioni ya leo...
WAISLAM WANASEMA UKRISTO NI DINI YA UONGO.
WAKRISTO NA WAO WANASEMA UISLAM NI DINI YA UONGO.
WAKRISTO NA WAISLAM WOTE WANASEMA DINI YA KIYAHUDI NI YA UONGO.
NA WAYAHUDI WANASEMA DINI ZOTE 2...
Salamu.Watanzania wengi wanaishi vijijini. Nahuko matunda ni mengi lakini husafirishwa kwenda mijini.
Matunda kama embe zinaonekana ni kwa watoto.
Ndizi mbivu wengi huzidharau kwamba chakula cha...
Unaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo
Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza...
Wakuu nimepoteza NIDA,na nina police loss report,nauliza namna ya kutuma maombi kwa njia ya mtandao ili kuomba kadi. nyingine inakuwaje,maana kwenye website ya NIDA,sijaona fomu ya maombi kwa...
Wananchi wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wanakwenda kutatuliwa Kero yao ya Muda mrefu ya kukosekana kwa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ambalo hutumika kutatua Migogoro mbalimbali ya Ardhi...
Dar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo Kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu. Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara.
Kumbe wenye maduka...
Maeneo ni mengi ambayo binafsi naona uwepo wa Mh Makonda umefanya uboreshwe.
Mojawapo ni kituo cha polisi central pamoja na makao makuu ya mkoa (ofisi ya RPC)
Hakika yanaendana na hadhi ya...
Kabla ya "MUNGU" kutuhukumu sisi wanadamu inabidi iundwe kamati ya kumuhukumu yeye kwanza,kwasababu ametenda dhambi nyingi sana kuliko sisi wanadamu.
Enzi za sodoma na gomora mungu aliua maelfu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.