Wakuu huu msemo wa mtoto kautaka una maana gani? Jana ninerudi zangu home na wenge la kufungwa na yanga kijana wangu mdogo miaka mitano tu.
Yuko bize anaimba mtoto kautaka mtoto kautaka, sasa...
Inasikitisha sana kuona kijana analia kisa timu yake imefungwa.
Lakini huyo huyo kijana hutamuona kamwe katika harakati za kupambana na kupinga viongozi wanao kula pesa za uma!!
Unadhani kama...
Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi...
Zamani nilikuwa katibu kata sasa nimepindishwa cheo
Sifa zangu (nyingine za kijinga)
. Kupenda mipasho ya mitandaoni
. Hulka ya kujiona najua kila kitu
. Hasira na ghadhabu bila sababu za msingi
...
Letters
Witchdoctor tag is hurting Tanzanias image in the region
Posted Sunday, June 19 2011 at 11:33
The number of Tanzanian witchdoctors (or those purporting to have come from...
Kwa jinsi hali inavyoendelea hapa Tz, nashindwa kutoifananisha nchi yangu na gesti bubu ambapo kila mwenye uwezo wa kulipia chumba anaweza kufanya anavyotaka chumbani hata kama kalipia 'show...
Awali ya yote napenda kuushukuru uongozi wa Jamii Forums kwa kuendelea kuruhusu kufichua maovu yanayoendelea kutendeka katika jamii zetu.
Kuna ukatili wa watoto (wanafunzi unaoendelea katika...
MY STORY: Nilisema nitamchukua Bada ya miaka 7 nimeenda nimekutana na Makaburi mawili!
Nakumbuka meseji yangu ya mwisho niliyomtumia ilikuwa ni kumwambia, "Wewe lea mtoto, akiwa mkubwa atakuja...
TABIA YA WANAWAKE WANAONG'ANG'ANIA WATOTO HUKU HAWAWEZI KUWATUNZA IKOMESHWE. NI UKATILI KWA WATOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nasema haya baàda ya Yale yanayotokea kwèñye jamii zetu...
Huu utaratibu wa waumini wa kanisa katoliki kukutana kila Jumamosi kwa ajili ya taratibu zao za Jumuiya nadhani linapaswa kuigwa na liwe jambo la kila Mtanzania.Jumuiya hizi hujengwa na familia...
Kwakwwli huyu kocha aliongea jambo la kweli kabisa. Baada ya Vyura leo kutufunga goli 1-0 kiongozi mkubwa wa simba anakuja hadharani akimtuhumu kipa kuuza mechi kutokana na matamshi yake. Jambo la...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi...
Hizi line za lipa kwa sasa zimejaa mtaani kiasi kwamba limetikisa soko kubwa kwa mtandao mzima wa uwakala ambao hapo zamani ulikuwa na faida kibao.
Ukiangalia karibia mawakala wote wana line za...
Ukiona kijana wa kiume au mwanaume mtu mzima kila mara anaongea "wanaume ni muhumu kuoa wanawake mabikiara" , mara siku hizi bikira ni adimu sana na upuuzi mwingine kama huo mara nyingi huyo...
Kesi inayomkabili 'Afande' Fatma Kigondo, anayeshtakiwa kwa kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo, Dovya jijini Dar es Salaam, imeendelea Oktoba 18, 2024, katika Mahakama ya...
Nimekubali maombi ya wengi wenu kwamba niongee chochote kuhusu huu mgogoro wa wapalestina na waisrael ili kuweka sawa hali ya hewa iliyochafuka kwa maoni yasiyoeleweka. Nikiwa kama mzalendo kwa...
Kabla ya kijazi interchange eneo hili lilikuwa linaruhusu wananchi (wanafunzi/wakazi/watembezi na sisi wazururaji) kuvuka kutoka upande mmoja hadi mwingine bila shida. Ila baada ya kuwekwa flyover...
Mhadhara - 45:
Asilimia kubwa ya MEME zinazosambaa kwenye MITANDAO YA KIJAMII na kupostiwa na watu kwenye STATUS UPDATES zinaandikwa na watu (vijana) wenye fikra finyu na wasiojitambua.
Unapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.