Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
https://web.facebook.com/reel/2163731624007788
1 Reactions
0 Replies
209 Views
Kama kichwa cha habari inavyojieleza apo juu, kuna watu tofauti tofauti katika makuzi yao au miangaiko ya kila siku wamepata kujua baadhi ya formula ya kutengeneza dawa mbalimbali za asili...
3 Reactions
29 Replies
10K Views
WAkuu kutokana na tigo kupiga lock baadhi ya vpn zilizokua zinatrend hapa kati basi imeniwia vigumu kwa upande wangu,kwahivyo kwa yeyote mwenye vpn ya bule kwa sasa naomba anitumie inbox...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Wenye akili tunajua na ushahidi tunao ya kwamba ili udumu na mwanamke katika mahusiano lazima uwe dikiteta au jasusi kwake (hata wao ndivyo wanavyotaka) lakini ukijifanya lofa na kujifanya eti...
11 Reactions
45 Replies
2K Views
Wakuu nimeona nitie neno kwenye hii festival inayotarajiwa kuanza kesho huko Arusha kwa jina la Land Rover Festival. Binafsi nimetazama hili jambo nimeona lina kasoro kubwa. Kimsingi watanzania...
19 Reactions
58 Replies
3K Views
Mimi napenda kunawa mikono kwa sabuni nikifika tu nyumbani kutoka kwenye mishemishe. Sijui ilianzia wapi ila it came automatically na imeshakuwa sehemu ya maisha yangu. Wewe je?
7 Reactions
39 Replies
704 Views
Matokeo yameonekana, Makonda kua Arusha sio bahati mbaya, Makonda ana vitu vingi kichwani, sehemu kama Arusha inatakiwa iwe busy ipokee wageni wengi na pesa Ibakie pale. Duniani kote habari za...
8 Reactions
23 Replies
607 Views
Hivi ndivyo hali ilivyo katika Vyoo vilivyopo eneo la Desemba hapa Arusha, ni Katikati ya Mji lakini inatia kinyaa kwa jinsi hali ilivyo. Ndani ya jengo la Vyoon hivi kuna baadhi vina nafuu na...
1 Reactions
11 Replies
535 Views
Serikali inaendelea na ujenzi wa miundombinu bora ya barabara na madaraja ya kisasa ili kupunguza ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikikatisha uhai wa wananchi wengi. Hayo yameelezwa na Naibu...
0 Reactions
1 Replies
209 Views
Kumbe mtu unaweza toka bonyokwa ukaenda kujiandikishia boko au masaki na usiulizwe kitambulisho wala ulikotoka/unakaa wapi ,yaani shida yao ni majina yako matatu tuu hata ukidanganya naitwa...
0 Reactions
1 Replies
166 Views
Watumiaji wa barabara ya mpigi magoe mpo wangapi kwani? Mmeshindwa kuchanga mpate hata lami ya kawaida? Mbona kule goba waliweza?
1 Reactions
11 Replies
253 Views
Najua humu ndani naweza kupata msaada wa namna ya kudai mishahara yangu iliyozuiliwa kwa muda wa miezi nane huku nikiendelea na kazi. Mshahara wangu ulizuiliwa baada ya kutokuwepo kazini kutokana...
2 Reactions
25 Replies
956 Views
Serikal mara kwa mara kupitia wizara yake ya afya imekuwa ikijinasibu iko karibu na tiba asili na wamekuwa wakijal na kuendeleza tiba asili hapa nchini kitu ambacho kwa upande mmoja si kweli hata...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Halafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
9 Reactions
42 Replies
831 Views
Prof Mkenda unapofanya mabadiliko ya mitaala na mambo mengineyo basi na adhabu ya viboko kwa kidato cha tano na sita ifutwe maana wale ni watu wazima. Haiwezekani wanamaliza form iv pamoja, mmoja...
19 Reactions
165 Replies
6K Views
Maisha yamekuwa na kaida ya kutupitisha kwenye changamoto mbalimbali iwe kwa kuzivutia mwenyewe au ziwe zimejivutia zenyewe ila hakuna namna waweza ishi pasi na changamoto. Kuna changamoto...
3 Reactions
8 Replies
247 Views
Mtu Mmoja aliyefahamika Kwa jina la Yona Andrea (47) Mkazi wa kijiji cha loltepesi kata ya Sunya wilayani kiteto Mkoani Manyara, ameuwawa Kwa kupigwa na kitu kizito na watu wasiojulikana huku...
5 Reactions
25 Replies
991 Views
Leo nimeipata kusoma mkataba na kumsikiliza Wakili Nguri hapa, Tanzania Nikafikirisha akili yangu nikagundua Watanzania Wezetu ndio wanaotuingiza kichaka kwa ku Saini Mikataba Mi bovu. Pia huo...
1 Reactions
3 Replies
317 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Serikali imeendelea kuwekeza kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), na kufanya maboresho ya...
3 Reactions
2 Replies
141 Views
Wasalam, Jana, juzi na majuzi niliitwa na ndugu huko Mbezi. Japo wao kidogo wapo vizuri yaani ni wa kishua kiufupi. Kama kawaida mgeni wa kiume basi utakua temporary chumba cha watoto wa...
20 Reactions
90 Replies
2K Views
Back
Top Bottom