Iwapo tutaishi katika uhusiano wa karibu na Mungu, ni muhimu kuwa wepesi wa kusamehe. Kadri tunavyosamehe haraka ndivyo inakuwa rahisi kuishi kwa amani.
Inaturuhusu kukabiliana na shida hiyo...
“Mtoto wetu wa kiume alifariki. Ila tutatumia mbegu zake kupata mjukuu”
Wanandoa nchini India wana furaha baada ya mahakama kuamuru hospitali kuwakabidhi sampuli ya mbegu za kiume zilizogandishwa...
THAMANI YA MWANAMKE KATIKA JAMII.
Mwanamke amekuwa nguzo muhimu sana ndani ya familia pale ambapo mwanaume anakuwa hajui wajibu wake ndani ya famili ,
Hii imekuwa ina tokea katika nyakati...
Wakuu kuna zile siku za sikukuu huwa tunaona maonyesho ya Wanajeshi kuvunja tofali kwa mikono au kichwa mmeshawakumbuka eeh?
Ule uwezo kuna mtu anaweza kunipa dondoo unapatikana vipi inachukua...
Maeneo mengi ya Tanzania mfano Dar es Salaam na Pwani kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wahamiaji haramu hasa watu kutoka nchi ya Malawi ambapo wameathiri sana ajira na vibarua kwa wazawa. Mfano...
Habari za humu ndani wanajamvi wenzangu,
Awali ya yote napenda kumshkuru mungu kwa yote na naamini uwepo wake ndani yangu na katika hustle zangu.
Ipo ivi ilkuwa tarahe 4 ya mwezi huu nilipo amua...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imepokea na kujadili taarifa ya migogoro ya ardhi katika jiji la Dodoma.
Akizungumza mara baada ya wasilisho la taarifa hiyo, Mwenyekiti wa...
Madereva wa taksi za mtandaoni za kampuni ya Bolt wameandamana leo Oktoba 15,2024, mpaka yalipo makao makuu ya kampuni hiyo eneo la Morocco Kinondoni.
Madereva hao wanapinga makato ambayo kampuni...
Hakuna ubishi kuwa S2kizzy aka Zombie ndiye producer mkali sana hivi sasa na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuachia hit songs tu na kujijengea heshima ndani na nje ya Bongo.
Hivi karibuni S2Kizzy...
SAKATA la Halmashauri ya Karatu, kugomea kulipia malazi ya Makamu wa Rais, Dk Ali Mohamed Shein na ujumbe wake limechukuwa sura mpya, baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa...
Kwanini katika zoezi linaloendelea hivi sasa nchini la kuandikisha wapiga kura, watumishi wanaofanya kazi hiyo kulipwa kiasi Cha pesa tofauti tofauti katika majimbo ya uchaguzi nchini wakati kazi...
Habari wakuu. Ni wiki sasa kuna mlipuko wa ugonjwa wa ajabu kidogo na dalili zake ni kuumwa kichwa, mafua, homa kali ikiambatana na joto kali sana na mwisho ni kuumwa mifupa.
Mimi nimelala...
Mchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye aririthishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kurithishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi
Na wachawi wengi...
MAISHA YA NIKOLA TESLA NA MAWAZO YA KUSAMBAZA UMEME WA WIRELESS BURE DUNIA NZIMA
Nikola Tesla alizaliwa julai 10 mwaka 1856 huko Smiljan Austria Empire ambayo kwa sasa ni Croatia akiwa ni mtoto...
Wakili Peter Madeleka amecharuka katika kesi inayomhusisha Afande Fatma Kigondo, anayekabiliwa na tuhuma za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam...
Maana kuna mademu huko mitandaoni sex imefanya hadi wanatembelea spacio lakini bado hawajakoma kujiuza.
Kuna mabinti wametoka kwenye umasikini mkali hata pale alipobakia na option moja ya kujiuza...
Sio siri, wenzetu hawa set up ya elimu yao imejibu tatizo la ajira. Ni kawaida kuwasikia wafanyabiashara wa Tanzania wanaoenda China wanakwambia kwamba nenda na sampo tu, mengine mchina anamaliza...
Binadamu anapambana ili kupata mahitaji yake muhimu. "Kupambana" Hapa atafanya whatever it takes ili ajihakikishie uhakika wa maisha na mahitaji yake.
Ikitokea ameahidiwa kupata uhakika wa...
Habari ndugu zangu, napenda kwanza kuwajulisha kuhusu nyaya feki, na pili kuzijulisha mamlaka husika zichukue hatua kwani jamii inaumia.
Waya hizo ni za twin ambazo 1.5mm na 2.5 mm hazijai vipimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.