Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mara nyingi huwa najiuliza kama hawa makamanda wa jeshi la polisi ni wasemaji wa jeshi la polisi pia yaani katika mafunzo yao wamefundishwa kuwa wasemaji na watoa taarifa za jeshi lao kwa vyombo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
http://www.dar411.com/2009/images/uploads/img240x250 IGP MWEMA ATEUA KAMANDA MPYA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi DAR ES SALAAM JUMANNE MACHI 09...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuanzia Oktoba 14 na kwa siku chache zinazofuata unaweza kuangalia Kimondo mkia ATLAS Tuchinshan upeo wa magharibi mara baada mara baadanya machweo angani palipooneshwa katika picha hizi za 14-19...
3 Reactions
6 Replies
637 Views
Hawa wamanga wanatuchukulia poa Siku ya kuondoka tulipandishwa kwenye Ngalangala (chata la Oman Air) siti mbovu, in-flight entertainment hamna, Ila Doha-New York full chuma, siku narudi nako...
20 Reactions
75 Replies
4K Views
Nina jamaa yangu, kwa siku za hivi karibuni amekuwa busy sana kutafuta hizi sarafu. Jamaa yangu yupo full committed kiasi kwamba anaweza kupotea town hata wiki kadhaa na siku akionekana anasema...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
"Wakuu habari. Nina umri wa miaka 20 sasa lakini pia kipato nilichonacho kwa siku hakizidi 7000 Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26 lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya."
5 Reactions
60 Replies
1K Views
Habari viongozi, Nimechunguza muda mrefu na kugundua Mwanza ni jiji lakini fursa za ajira hamna kabisa, hasa hasa kwa private sector, ukiangalia matangazo ya ajira ni Dar na Arusha tu na Dodoma...
15 Reactions
121 Replies
2K Views
Maisha ni foleni na siku zinasogea pole pole Muamini MUNGU ipo siku utafanikiwa Ata kama sio Leo "NDUGU" yangu Ila amini ipo siku utafanikiwa Mungu wetu halali wala hasinzii "anasikia maombi...
7 Reactions
10 Replies
260 Views
Fikiria kuhusu hilo jibu alilomjibu mfuasi wake kwa mujibu wa maandiko; Ni vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mbingu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano." Jawabu jingine...
10 Reactions
51 Replies
801 Views
Wakuu nawasalimu na kuwatakia kila jema. Naomba kuuliza maana kipindi hicho nilikua kijijini huko sikuwa na uwezo wa kufuatilia shuguli ya maziko ya baba wa taifa kutokakana na ukosefu wa vyombo...
5 Reactions
93 Replies
11K Views
Kuna ndugu yangu alikuja Dodoma kutafuta pa kufanya kazi Baada ya kumaliza chuo, Ni mwaka wa pili huu kazi hapati, wala hata kuisikia zikitangazwa hamna. Kazi nyingi zinatangazwa location ni Dar...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Nimepita Mbagala wiki hii nikielekea kwenye Shamba langu Mkuranga, Hakika Mbagala ni Nchi nyingine kabisa, Utaratibu wao wa kuishi ni tofauti kabisa na Utaratibu wa Tanzania. Wamachinga wamepanga...
10 Reactions
58 Replies
2K Views
Habari za saa hizi Makada wa CCM. Ndugu zangu wanaSongwe mliambiwa kuwa kutakuwa na Mafunzo ya Walimu Makada wa CCM yatakayofanyika tarehe 02.11.2024 hadi 03.11.2024 , Wilaya ya Mbozi eneo la...
1 Reactions
7 Replies
382 Views
Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa...
7 Reactions
122 Replies
7K Views
Wanawake wakiwezeshwa wanaweza. Ila kwa huyu hapana aisee. Ni mvivu. Hasomi files, Hukumu zake zinarudia yale yale yaliokwisha amuliwa na mahakama za chini. Kwa uchache tu, ni kuwa ana uwezo...
1 Reactions
15 Replies
578 Views
Habari wakuu Niende moja kwa moja kwenye mada kuu Kama ilivyo desturi ya mwanadamu ya kufuga wanyama pendwa kama vile paka,mbwa na ndege kama kasuku Siku za nyuma nilikutana na tukio la ajabu...
3 Reactions
30 Replies
665 Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to the Almighty. Nina wazo/idea kubwa sana ya kipindi cha Television kwa...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwanza niwapongeze kwa huduma zetu nzuri za usafiri wa treni, hata hivyo kuna hii changamoto naileta kwenu; Kuna baadhi ya vituo vipo nje kabisa ya Mji, mfano; MOROGORO, Pugu nk na hakuna usafiri...
4 Reactions
6 Replies
723 Views
Leo tunatambua huko Arusha kuna jambo kubwa ambalo limeandaliwa na Serikali ya Mkoa huo chini ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ambalo ni LandRoverFestival2024 . Sasa hapa jitazamie mwenyewe namna...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom