Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habarini waungwana, Ni ukweli usio na shaka kwamba asilimia kubwa ya watu duniani wana ujinga, ndiyo, ni wajinga. Ndoto zangu siku nitengeneze pesa kwa kutumia huu ujinga, au nitumie matrix kama...
7 Reactions
64 Replies
1K Views
RAIS MWINYI : FALSAFA ZA BABA WA TAIFA ZINATEKELEZWA KWA VITENDO. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kuwa kaulimbiu ya Mbio za Mwenge...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
KIAPO NA MAAGANO YA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ni Moja ya zile Siri ambazo nilikuahidi nitakueleza. Na lolote nitakalokuahidi nitatimiza. Wala sitasahau...
10 Reactions
12 Replies
1K Views
Epuka kujiunga kwenye Akaunti moja ya huduma Mtandaoni kwa kukutumia taarifa za Akaunti zako nyingine. Mfano kujiunga sehemu kwa kutumia Akaunti za Facebook au Google Watoa huduma huruhusu...
2 Reactions
3 Replies
450 Views
Kuna vitu au mahusiano kadhaa duniani huongozwa na kanuni. Mfano katika biashara na uchumi, kuna kanuni (forces) ya demand na supply. Wana uchumi watakuambia, biashara yenye demand kubwa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu. Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana...
36 Reactions
149 Replies
16K Views
Tukiwa bado na majonzi ya kuondokewa na wapendwa, ndugu,jamaa na marafiki kwenye ajali mbaya ambayo iliangamiza nguvu kazi kubwa ya taifa. Huko wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza,sasa hivi kubwa...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Huyu kaka alikua ananichukuli poa sana. Mnoko mnoko anapenda kunifatilia mambo yangu hata kama hayahusiani na kazi anaingiza pua yake kwenye mambo private. Kila wiki ananiripoti kwa bosi kwa vitu...
31 Reactions
77 Replies
3K Views
Habari Tanzania, Mnaonaje Graduates wote wa Bongo mtengeneze paredi la uhakika kila baada ya miezi 6 mnakutana sehemu iwe town kati kila mkoa mkijipa pole kwa ukosefu wa ajira na kupongezana kwa...
16 Reactions
73 Replies
1K Views
Habari wana jamii.. Kwa ufupi tu ningependa tuongelee hii changamoto ambayo wengi pia waaifahamu na wanajua inaathiri vp jamii. Tangu hapo mwanzo jamii imekuwa ikibadilika kizazi hata kizazi...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Shetani ana mpango ambao sio mzuri kwa mwanadamu,! Anatumia kila linalowezekana kuhakikisha agenda yake inatekelezeka kwa namna yote Ile na kwa kumtumia mtu yeyote yule, haijalishi ni nani wa wapi...
6 Reactions
29 Replies
851 Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Nimefatilia Muda mrefu sana na kubaini kuwa ni karibu Bank zote hazina vyoo vya wateja. Kwanini? --- Heshima yenu wakuu. Moja ya sehemu zenye msongamano...
2 Reactions
353 Replies
37K Views
Katika historia inaonyesha kabla ya Ukristo na Uislamu baadaye kulikwa na dini kubwa za maeneo mbalimbali lakini hazikuwa dini za kidunia kama Ukristo na Uislamu ambavyo zimekuwa dini za kidunia...
5 Reactions
72 Replies
1K Views
Kataa au ukubali sehemu tajwa hapo juu kusema ukweli ni poa sana kuishi na kufanya makazi na watu wake wala hawana shida na wageni kabisa yaani ukiishi kwenye hiyo mikoa unapata ladha ya furaha ya...
4 Reactions
13 Replies
465 Views
Hili chaweza kuwa kitu kigeni mno masikioni mwa wengi lakini ni kitu kilichopo Katika Ulimwengu huu Telekinesis ni hali ya kuwa na uwezo na nguvu za kiasili za kuweza kunyanyua na kusogeza vitu...
34 Reactions
202 Replies
27K Views
Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye barafu mengi Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hata wachezaji wakia kwenye pipa lililojaa mabarafu mengi sana
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa nini kaburi la Marehemu Baba yake Nyerere lina msalaba wakati maisha yake yote hajawahi kuwa mKristo? Na alikataa ukristo katakata hadi anakufa https://youtu.be/vlC5lZ2gvbw?si=43c6GUtCvFAYK6cu
6 Reactions
59 Replies
2K Views
KUWA NA MZAZI WA NAMNA HII NI ZAIDI YA KERO. "NIMEKUBALI LAANA YA BABA" Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kijana mmoja tumekuwa tuliwasiliana Kwa takribani mwezi sasa. Amekuwa akiniomba...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Kuna wimbi kubwa sana la watanzania ambao wameupuuza huu uchaguzi wa serikali za mitaa na Mimi nikiwepo. Niwapongeze kwa kuchukua maamuzi yao kikatiba na kibinafsi kufanya maamuzi bila bugudha...
2 Reactions
10 Replies
294 Views
Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho. Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa...
3 Reactions
14 Replies
696 Views
Back
Top Bottom