Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Viongozi wanaohusika kusimamia watumishi wa UMMA jaribuni kuwatendea haki watumishi wenu, kupata barua ya uhamisho kutoka Wizara ya UTUMISHI imekuwa kero sana. Taratibu za mtumishi kufuata ili...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo kwa vile ilikuwa jumapili nilikuwa na muda nikaamua kwenda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Nilichokiona kama ningedadisi kabla ningerudi zangu nyumbani maana huu ni...
8 Reactions
21 Replies
1K Views
Arusha ni jiji lenye hadhi yake ya kipekee katika nchi yetu.kwanza ni jiji la kitalii na pili lina utamaduni wake wa kipekee sana. Changamoto ipo katika mtazamo kabla hujalifikia hili jiji,picha...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhandisi Zena Ahmed Said amefungua Kigoda cha Wasichana katika Ukumbi wa Dimani Zanzibar tarehe 11 Oktoba, 2024. Jukwaa hili la...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Ninajua faida ndogondogo zipo, kama biashara za Mahoteli nk. Lakini ningependa kujua ni ipi faida kubwa kwa Mkoa na Taifa kiujumla.
9 Reactions
44 Replies
1K Views
Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
3 Reactions
35 Replies
805 Views
Habari za leo wana jukwaa, habari hii hapa chini si ya kwangu ila ni ya rafiki yangu. Naitwa MISHALY SUMARY naishi Kibaha Maili moja, nilikuwa nikifanya kazi katika Hospitali ya Burere kama...
6 Reactions
71 Replies
9K Views
Anonymous (8b65)
Watu wa Shirika la Nyumba (NHC) Arusha mradi wa SAFARI CITY wanakera, tokea tulipe mwaka jana Oktoba hadi leo ni takriban mwaka sasa tunazungushwa kupewa viwanja vyetu na hati zetu hadi leo kwa...
1 Reactions
1 Replies
178 Views
Habari wanabodi, Nimeshangazwa kuona Kanali (Mpambe wa Rais) akipigiwa saluti na IGP Sirro pamoja na Kamishna Mkuu wa Magereza.. Je, hii ina maana Cheo cha Kanali ni cheo kikubwa sana kuliko...
4 Reactions
305 Replies
62K Views
Habari wakuu mwenye ufahamu juu ya hii Dini ya Druze inayopatikana huko Mashariki ya kati naomba mwenye kuwafahamu hatufahamishe Ahsante
2 Reactions
14 Replies
603 Views
1 Reactions
2 Replies
133 Views
Hivi karibuni kuna mtu mmoja aliuliza swali sehemu kuwa kuna utofauti gani kani ya Kanisa, Sinagogi na Hekalu? Nikagundua kuwa wengi wanasumbuliwa na swali hili, hivyo leo nimekuandalia majibu kwa...
8 Reactions
26 Replies
5K Views
Wafanyabiashara na matajiri wa Arusha wamekuwa na ari na ubunifu mkubwa ila mara nyingi wamekosa sapoti ya Serikali. Landrover Festivals zilizofanyika hivi majuzi ni moja ya bunifu nyingi za watu...
1 Reactions
15 Replies
626 Views
Mikoa mingi ya pembezoni Ina ushindani wa kampuni za mabus mfano mkoa wa Kagera ambao ni mbali zaidi ya mkoa wa Ruvuma kutokea Dar ila kampuni kama Aboods, Frester, Happy Nation, Friends, city boy...
5 Reactions
19 Replies
874 Views
Nyoka ndio mmliki mkubwa wa madini na tiba duniani.watu wengi watajiuliza kwa nini ni mmliki wa madini na tiba. BIBLIA Yesu alisema hivi: “Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani...
1 Reactions
3 Replies
611 Views
kuna sheria inasema kwamba mwanajeshi aliyeishiwa risasi akijisalimisha kwa jeshi la upinzani anapaswa aheshimiwe na alindwe apewe huduma za afya chini ya uangalizi. Tukija kwenye uhalisia assume...
0 Reactions
8 Replies
265 Views
Kuna hii kauli watu huwa wanapenda kuisema wanaposimulia historia za maisha yao "nikampata mwenzangu tukaanza maisha..." Hivi kabla ya kumpata mwenza na watoto mtu anakuwa bado hujaanza maisha?
1 Reactions
4 Replies
156 Views
Habari ndugu Wanajamii Forums. Nimeona nije kupata ufafanuzi kutoka kwa wataalam wa mambo ya usalama barabarani. Kwa ufupi nilikuwa na safari kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine huku nikitumia...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake nchini Afrika Kusini kutoka Taasisi ya Women for Change wameanzisha kampeni ya kutaka kusitishwa kwa shoo ya staa wa RnB duniani, Chris Brown maarufu...
2 Reactions
12 Replies
528 Views
Nyota ya Isack Mwigulu inazidi kung’aa, safari awa mgeni rasmi kwenye semina ya utendaji wa UVCCM kwa mkoa wa Singida.
23 Reactions
99 Replies
3K Views
Back
Top Bottom