(VIDEO ipo chini)
Tamasha la Land Rover 2024 ni tukio la kipekee linalofanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, katika viwanja vya Magereza Grounds, Kisongo, jijini Arusha. Tamasha hili...
Muonekano wa Daraja la JP. Magufuli linalounganisha eneo la Kigongo (Misungwi) na Busisi (Sengerema) lenye urefu wa KM 3 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66. Mkoani Mwanza, Oktoba...
Leo nimewiwa mno kulitafakari kanisa la zamani, la enzi za akina Petro na Paulo.
Paulo anakiri wazi, "Yesu Kristo alikuwa masikini, ili sisi tuwe matajiri".
Paulo aliongoza michango MINGI kutoka...
Ninaona kwenye youtube matukio yakitokea Arusha wananchi wanaungana wote kama ni mazishi au uokozi wote wanakuwa na awareness.
Kwa mfano panya road wangekuwaga Arusha wangeshamalizwa na wananchi...
Ukiwa makini na jf utapata mawazo mengi ya vitu vya kufanya.kwa mfano mimi nataka nifungue mradi niuze vitu vya kula ambavyo vina rangi nyeupe pekee..
Nazi
Mayai
Maziwa
Karanga
Maji
Maharage...
Oktoba 13, 2024, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefunga rasmi Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini yaliyofanyika mkoani Geita.
Hafla hii ilikuwa ishara nyingine ya...
WanaBodi..
Kwa wale tunaofatilia siasa za nchi hii kwa ukaribu naamini tunamfatilia na Makonda katika hatua zake zote za uongozi.
Anachokifanya Makonda kwa Sasa toka amerudishwa kwenye ulingo wa...
Kuna sheria ktk hostel za vyuo vikuu usiingize mwanamke au mwanamme ktk kufanya mapenzi.
Cha ajabu ukipita mapokezi histel maboksi ya condom yamejaa kwa ajili ya watu wa hostel.
Nimetembelea...
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) leo tarehe 13 Oktoba limenyakua Tuzo ya Jumla (Overall Winner) kwa upande wa sekta ya umma kwenye Maonesho ya Madini yanayofikia tamati leo mkoani Geita...
Mtu anaunda group la Whatsapp, anajaza picture za bidhaa alafu bei tukiuliza anasema njoo inbox. Ukienda inbox anasoma message kimyakimya alafu anachagua za ku reply. Yale maswali magumu hajibu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 50, katika harambee ya ujenzi wa shule ya msingi na uchangiaji wa majengo ya zahanati unamilikiwa...
Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu.
Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika...
Nina mashhaka nabutendaji kazi wa hii sector ni kama imekosa watu wenye upeo wa mambo
Hivi kama unahitaji watu 100 kada x halafu wahitimu wa hio kada from 2015--2017 roughly ni 20,000 wewe...
Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha
Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa...
#HABARI:
https://www.facebook.com/itvtz/videos/1591165991754927/
Baadhi ya wafugaji jamii wa Wamang'ati pamoja na Wasukuma wanaoishi katika Kitongoji cha Nangorokoro, wilayani Liwale, mkoani...
Mamlakaa Usafiri Baharini imesema serikali imeridhia kampuni za uwekezaji nchini zinazotoa huduma za usafiri wa Baharini kuongezeka bei za nauli za usafiri kutoka Dar es Salam na Unguja kwa daraja...
Nimeona mahali wakizuia mtu kuingia na T-shirt ofisini na maelezo ni kuwa eti ni nguo ya kihuni.
Nguo zinazotambuliwa ni mashati ya kawaida kama uniform za kwaya ama vitenge na suruali ya...
Wanawake wanaposhiriki katika maamuzi, huleta mitazamo mipya yenye nguvu za kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu.
Ushiriki wao unaleta uwiano wa kijinsia unaohitajika katika kila sekta – iwe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.