Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Oya wana Jamiiforums hivi hawa madogo kabla ya kwenda Chuo Kuenjoy na bata sijui Boom. Hivi huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni.... ✍️
6 Reactions
50 Replies
821 Views
Nikiwa kama Mdau mkubwa wa mtandao wa Manunuzi ulianzishwa wa Nest badala wa ule wa Taneps wa awali, nikiri huu wa NEST ni majanga. Nikweli mtandao wa Taneps ulikuwa unachangamoto zake lakini pia...
1 Reactions
3 Replies
557 Views
Nimeangalia mechi zote za taifa star! Nikaona upo umhimu wa kubadilisha mbinu za kuchagua wachezaji wa taifa! Samatta ni mchezaji mzuri lakini hafai kuitwa timu ya taifa kwasababu yupo katika...
1 Reactions
1 Replies
435 Views
Assalam Aleikum, Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani II nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia...
12 Reactions
51 Replies
2K Views
Hawa wadada wanaofagia wakati kuna abiria wengi hawamwagii maji, na hivyo vumbi linajaa. Eneo kwa sasa ni dogo, na hali hii inasababisha mafua kwa abiria wengi. Pili, tunashauri wale majamaa...
1 Reactions
3 Replies
182 Views
Nchi za Lesotho, Malawi, Namibia, Zambia, Zimbabwe, Angola na Msumbiji zimeripotiwa kukumbwa na hali mbaya ya Upatikanaji wa Chakula, hali inayosababisha takriban Watu Milioni 27 kutokuwa na...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Mwezi wa Uhamasishaji wa Usalama wa Mtandaoni si kwa watu binafsi tu—pia ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni. Mashambulizi ya kimtandao...
0 Reactions
2 Replies
357 Views
Kwa kutumia mifumo ya nchi, tutawaelimisha waache ujinga na upumbavu wa kuamini kwamba wao ndiyo Tanzania na wengine ni kama sampuli ya mwanadamu. Lazima tuwaelimishe kwa mujibu wa maelekezo ya...
2 Reactions
5 Replies
281 Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji iliyopo katika Kata ya Kishiri, ufafanuzi wa Mamlaka ya Maji Mwanza umetolewa. Kujua alichokisema Mdau huyo...
1 Reactions
2 Replies
557 Views
Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia. Hadi kufikia leo hii Oktoba...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akihutubia kwenye Mkutano wa 53 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya...
0 Reactions
1 Replies
224 Views
Na Mwandishi Wetu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera. Akifungua maonyesho hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa...
1 Reactions
1 Replies
151 Views
Nimekua nikiona mara kadhaa watu wakilalamika taarifa za mawasiliano yao kwa simu kuvuja, ikiwemo ya sauti, sms na mara nyingine hadi whatsapp. Nimekua nikijiuliza sana kuwa ni rahisi kiasi gani...
1 Reactions
2 Replies
261 Views
Habari! Mama mmoja aliniambia kuwa amepigiwa simu akiambiwa mtoto wake binti wa kidato cha kwanza anadaiwa pesa na wanafunzi wenzako shule ambayo kahama. Mama alihama kutoka Wilaya ya TEMEKE na...
3 Reactions
4 Replies
415 Views
Salaam Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili, anaopata mtu kutokana na changamoto za maisha. Mtu akidrive, huku ana msongo ni rahisi sana kusababisha ajali coz akili inakua haipo active...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Ukimuona mwenzio anatembelea gari hili nawe unatamani upate kama lile au kumzidi, ukimuona mwenzako anamiliki nyumba ile nawe utatamani kuwa na nyumba kama ile au kumzidi, ukimuona mwenzako ana...
9 Reactions
17 Replies
933 Views
Wadau nimeshafanya uhamisho huu online, status inasoma ALLOWED, kwa waliowahi kufanya uhamisho huu nini kinafuatia baada ya hapo natanguliza shukrani.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam, Kuchepuka kwa Muktadha Wa Andiko Hili ni Kile Kitendo Cha Mmoja kati ya Wanandoa Kushiriki Mahusiano Mengine njee Ya Yale Mahusiano Rasmi Yanayotambulika. Simaanishi Mahusiano Kabla ya...
2 Reactions
9 Replies
834 Views
Katika tabia siipendi tuliyo nayo watanzania ni hii ya kuficha ficha mambo ambayo hata siyo ya kuficha Mfano kwenye kazi ambazo zinafanywa na team...kazi mnaanza vizuri mnafanya vizuri linapokuja...
7 Reactions
6 Replies
285 Views
Matumizi ya reli yetu ya kisasa SGR yatoe nafasi kwa wafanya biashara kusafirisha mizigo hasa mazao ya chakula kuelekea dar na dodoma. Kuwepo na mabehewa zaidi kwa ajili ya kupakia mizigo na sio...
1 Reactions
0 Replies
100 Views
Back
Top Bottom