Habari za wakati huu wakuu!
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko la jua kali katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), baadhi...
Farmers in the villages of Chemba and Kondoa districts have lost hope of any corn harvest this year resulting from extreme hot weather which is drying their fields.
Aziza Hussein, an over...
Stendi ya Mabasi na Daladala ya Nanenane iliyopo Mbeya imekuwa na barabara zenye ubora mdogo kutokana na uwepo wa mashimo mengi ambayo yamekuwa yakisababisha usumbufu kwa Watumiaji iwe wa Vyombo...
A WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka wadau wa sekta ya ardhi nchini ambao wanadaiwa pango la ardhi kulipa deni hilo kabla ya mwaka wa fedha 2024/25...
Hii ni aina mpya ya muziki nchini yenye mahadhi ya mnanda mnanda hivi.
Kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM kuna wasanii walipanda na kuanza kushusha vitu vyenye hisia sana.
Kwa mwenye mp3 au link...
Baada ya Rais Trump wa Marekani kuiongezea china Terrifs kwenye bidhaa zake kutoka asilimia 10 hadi ishirini. Nao wamejibu kuiongezea bidhaa za marekani asilimia 15.
Bidhaa za marekani ambazo...
1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo.
Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa.
Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo.
Kuna...
Nikiviangalia sijui muundo wake lakini kwa chini naona Kuna chuma kimepita Sasa hakiwezi kutoka za mbao na kuleta balaa , embu tuambie, je muundo wako ukoje
Priest in Britain Advises Congregation to Shoplift
http://www.dailymail.co.uk/news/article-1237470/Priest-advises-congregation-shoplift.html
A clergyman has been criticised as 'highly...
Jumatano ya Majivu, Mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima Cha Siku 40
Kwaresima ni kipindi cha siku arobaini za kufunga, kusali, kutafakari Neno la Mungu na kufanya matendo ya huruma. Ni kipindi...
Jina langu Ni la Kimasai. Nilipiga simu customer service Airtel akapokea maza Mwenye lafudhi ya kichaga, nikaeleza shida yangu. Akaniambia nitaje namba ya simu, nikamuambia sijaishika maana lain...
Karibu Wadau wa JamiiForums!
Kama mpenda teknolojia na mtafiti wa masuala ya usalama mtandaoni, leo nimekuja kuwafunua kuhusu utapeli unaosambaa kwa kasi katika dunia ya kidigitali. Najua kuna...
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia...
KARIAKOO DERBY
Usilolijua ni kwamba, Jumamosi ya wiki hii ni lazima siku yako itakuwa mbaya (itaharibika) kwasababu Jumamosi ya terehe 08/03/2025 team yako pendwa itafungwa.
Ili usiendelee kupata...
Tupo hapa faya tunasubiri gari ya mwendokasi ya kwenda feri zaidi ya nusu saa zinapita tupu out of service yaani tumekaa sasa sijui ndio utaratibu huu wengine wageni
Watu wengi wawe ndugu,jamaa,marafiki ,serikali,ccm mpaka wapita njia ukiwa unatafuta hakuna mwenye mda na wewe.
Ila ukifanikiwa unaweza kusikia yule kazi wa maimum hata kama we ni mtoto haramu...
Na wameshawaona CCM kuwa ni kichwa cha mwenda wazimu sababu imani ya wananchi mshajenga kwa hawa watu niliowataja.
Kuna kipindi joti alikuwa anatangaza Mr kuku ila kwa kuwa ni wasanii twende...