Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby.
Lakini Mwislamu anaonyesha...
Jenipher Mgendi N mwimbaji wa Nyimbo za injili Nchini Tanzania amewahi Kutamba an Nyimbo kama Vile Chekundu, Yesu Nibebe;Nipo StudioBaba n.k
Leo anatusimulia Kisa chake kilichotokea Miaka zaidi...
Binadamu aliyebuni jina la taifa la Tanzania, Mohanmmed Iqbal Dar, amefariki Dunia akiwa usingizini jijini Birmingham, Uingereza alikokuwa akiishi akiwa na umri wa miaka 80.
Mohammed Iqbal Dar...
https://www.youtube.com/watch?v=KWyWzuAujVI
The Youth Agency Mufindi (YAM) project, with a vision to invest in avocado farming in Mufindi district, Iringa region, has expressed concerns over the...
Mi kuvaa sare za CCM au kuvaa manguo yenye picha ya Mama Abdul pia kubebeshwa bango lenye picha ya mama Abdul.
Pia kushiriki kwenye mbio za mwenge. Bora waniue kuliko kifanya hayo. Wewe je?
Kama kila anayefeli malengo anaambiwa akalime kwa nini kilimo kisifundishwe kuanzia chekechea?
Kifundishwe pote hadi IST ili wao nao wakifeli maisha wasije kusumbua motaani angalau wawe na option...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa ujumbe mkali kwa watumishi wa umma wanaosababisha migogoro kwa kuwadhulumu wananchi, akisema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza hatua...
Habari JF
leo Katika mada yangu kichwa tajwa hapo juu, Ningependa nishare nanyi Uzoefu wangu wa maisha ya marekani, maana nimeona watu wengi sana wakijadili namna watu wanavyoishi nje, ajabu kati...
Mkandarasi wa huduma ya umeme REA mtaa wa Nyantorotoro A Geita Msikitini kwa juu ametufanyia hujuma sana wananchi. Nguzo za mradi wa umeme zimewekwa kwa kujuana sana kinyume na ramani ya mradi...
Demokrasia haikuundwa kwa ajili ya Muafrika.
Jamaa anatinga magwanda na vimaneno vya ushujaa, na mnamuona mkombozi, aaah wapi, Africa ishakuwa corporate hii, africa ni mgodi😂😂
Kama aliivyoingia...
Habari za Asubuhi ?
Ninatanguliza shukrani kwa jukwaa hili la fichua UOVU.
Nimewahi kwenda kupata msaada kwenye ofisi ya mtendaji wakata ya Nyaruzumbura , Wilaya Ya kyerwa, Mkoa Kagera...
Anaekuhubiria utalindwa na roho alie juu yeye mwenyewe analindwa na bodyguards 7.
Anaekuambia ukijitoa muhanga na watu wasio kuwa wa dini yako kuna pahala pako enzini, yeye amejichimbia chini...
Kwanza naamini katika uwepo wa mungu na Kila jumapili nashiriki misa takatifu ya pili katika kanisa katoriki la karibu yangu.
Pengine katika ukuaji wangu yawezekana nilikosa elimu juu ya ufungaji...
Mzee Dar ndio alituna jina Tanzania na pia Sir name yake ndio imeunda jina Dar es Salaam.
R.I.P Mzee Dar.
https://www.instagram.com/p/DGxhx6eNP4a/?igsh=ZTQ0cW1ianR3YmYy
MALALAMIKO HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO
Mikopo ya Mama Samia vilipitishwa vikundi saba kata ya Kibondo Mjini waliitwa wakapewa na semina, wakapiga Picha na kushikishwa mabango kwamba...
𝗝𝗲 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘁𝘂𝗻𝗮 𝗪𝗮𝗻𝗮𝗮𝗻𝗴𝗮 ?
Ulimwenguni mwaka 2024 Kulikua na jumla ya wanaanga 47 ambao active wanaofanya kazi kati yao wanaume ni 27 na Wanawake 20 ila toka miaka ya nyuma mpaka Leo tuna...
Haya habari mwana JF.
Najua kuna stendi nyingi za mabasi nchini Tanzania na nyingi mno zina changamoto zake. Changamoto nyingi NI hawa vijana wapokea abiria kwa ajili ya kwenda kuwaonesha ofisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.