Sir John Bagot Glubb, mwanajeshi na mwandishi wa karne ya 20, alitoa mchango mkubwa katika historia kwa kuchunguza jinsi mataifa yanavyoinuka, kustawi, na hatimaye kuporomoka. Katika kazi yake...
Moja kati ya swali la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kuhusu mwisho wako hapa Duniani.
Unajua ni lini au ni namna gani utaondoka? Umejiandaaje?
Maandalizi mazuri zaidi ni kurekebisha njia zako...
Dkt. Gwajima D
Bado kilimo kinaonekana kama kamali machoni mwa vijana wa mjini
Bado kilimo kinaoekana primitive katika fikra za vijana wa mjini.
Lakini naamini kilimo hichi ndio mkombozi wao...
Wadau habari zenu, simu yangu iliibiwa juzi kati mtu alichomoa dirishani. Sasa nimeicheck kwa kutumia google inaonekana mara ya mwisho ilisomeka maeneo fulani(napajua) pia nimeitumia Samsung Find...
Habari wakuu
Kama title inavyojieleza naomba kufahamu hivi page ipo chini ya taasisi ya serikali au ipo chini ya mtu binafsi.
Ni kwasababu mara nyingi nimeona caption zake zinaanza na neno "...
Kwann uswahilini wengi ni masikini hata baadhi ya mitaa hata ukifungua biashara utoboi pana view nne tunaziita school of thought yaani dini, sayansi ya akili, uchawi, universe
1=. kwa majibu...
Wakuu
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Lazaro Twange amefika nyumbani tarehe 03 Februari, 2025 akisema vyombo husika vinaendelea na uchunguzi wa tukio la kutekwa kwa Damian Method huku akiitaka familia...
Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni imekuwa ikitenga asilimia kumi ya mapato ya ndani ili kuwawezesha Wananchi kiuchumi kupitia vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Gilead John Teri, amewahimiza wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya biashara na uwekezaji ili waweze...
Ulishawahi kukutana na dawa ya ugonjwa lakini ukashindwa hata kuamini imewezekana vipi?
Miezi kadhaa hapa nyuma niliamka tu mguu unaumwa kama vile umetenguka. Wakati huo sijakutana na hali...
Mchango wa Jamii Forums Katika Maendeleo ya Vijana na Taifa la Tanzania
Jamii Forums, jukwaa maarufu la majadiliano na taarifa, limekuwa na athari kubwa katika kuhamasisha, kuelimisha, na...
Habari wadau wa Jamiiforums,
Dunia ya Fedha Imebadilika, Lakini Wewe Umebaki Pale Pale?
Miaka mingi watu walidhani pesa ni noti na sarafu. Lakini walioshika kalamu ya dunia walibadilisha mchezo...
Msalaba ni zana ya kunyongea wahalifu ya utawala wa Warumi (weapon of execution) kama ilivyo kamba ya kunyogea, kiti cha umeme, sindano ya sumu au jambia la kuchinjia.
Kama Yesu angechinjwa kwa...
Baadhi ya wavuvi wanaofanya shughuli zao ndani ya Ziwa Victoria wameiomba serikali kuchukua hatua za haraka kudhibiti wimbi la uvamizi linalodaiwa kufanywa na maharamia wanaodaiwa kutoka nchi...
Tanzania, nchi yenye mandhari ya kuvutia na utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, inajivunia kuwa na mchango mkubwa katika uchumi wake kutokana na sekta mbalimbali kama madini, gesi asilia...
Mwanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Mwasamba iliyoko Kata ya Lutubiga, Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Mhoja Maduhu (15) amefariki Dunia, huku chanzo cha kifo chake kikidaiwa kuwa ni...
Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania.
Pia ni 'Ndege...
Katika halmashauri nyingi nchini imetolewa mikopo ya asilimia kumi kwa makundi ya wanawake watu wenye ulemavu na vijana. Wapo baadhi ya watu wengine wakishirikiana na baadhi ya viongozi kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.