Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo. 2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi...
8 Reactions
28 Replies
887 Views
  • Redirect
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wanasahau kuwa wizara ya afya ya gaza ipo chini ya usimamizi wa ugaidi wa hamas. Kwa hio walitegemea sisi tuamini maigizo yao "pallywood". https://youtu.be/a0srOqNem08?si=vQOuUfMNz6_5mf-q Israel...
0 Reactions
Replies
Views
Shughuli ya uzalishaji ni shughuli ambayo inazalisha bidhaa au huduma Nchi nyingi kama China, Russia, South Korea, Angola, Nigeria n.k zimeendelea Kwa kuwa asilimia kubwa ya wananchi wanashiriki...
11 Reactions
54 Replies
787 Views
Elon Musk(50) tajiri namba 1 duniani amesema hadi sasa hamiliki nyumba yoyote hata kulala huwa analala kwa marafiki zake licha ya utajiri wake kukadiriwa kuwa zaidi ya dola bilioni $200. Amesema...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Salam Wakuu, NImepita maeneo hayo asubuhi hii moja ya nguzo inayotoa umeme kwenye transfoma hiyo inatoa mlio ule wa kama kuna shoti. Wenyeji wanasema hali hiyo imeanza toka toka jana mchana...
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Najiuliza, je mbinguni ni mahala panatisha kiasi hiki? Kwamba hata watu wanaotufundisha kwamba Mbinguni ni mahala pazuri wanaogopa kwenda? Kwa mfano, hebu fikiria, Papa mwenye zaidi ya miaka 88...
10 Reactions
10 Replies
375 Views
Nyani na tumbili walipojua kwamba mkulima aliyewafukuza kutoka kwenye shamba la mahindi amekufa, walisherehekea kwa furaha. Lakini mwaka uliofuata hakukuwa na mahindi tena. Hapo ndipo...
3 Reactions
12 Replies
236 Views
Katika miaka ya hivi karibuni, biashara ya Forex imekuwa kivutio kikubwa kwa vijana wa Kitanzania wanaotafuta njia mbadala za kujiongezea kipato. Wakati Forex ni fursa halali kwa wale wenye uelewa...
8 Reactions
55 Replies
2K Views
Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Paschal Ambrose amemshukuru Waziri Innocent Bashungwa kwa kuendelea kutoa msukumo ili kazi mbalimbali zinazoendelea za ujenzi katika daraja hilo ziweze...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Miaka michache iliyopita tulimpoteza Elvis Tables Musiba aliyekuwa Mwenyekiti wa TPSF (Tanzania Private Sector Foundation). Mwaka jana tukampoteza Sir. Andy Chande aliyekuwa kiongozi wa sekta...
24 Reactions
42 Replies
10K Views
Karibu mara zote uwepo wa rangi ya udongo mwekundu ardhini husababishwa na kutu. Chuma kikikutana na hewa ya oxygen na maji hutokeza kutu. Maeneo yenye udongo mwekundu huwa na ardhi yenye madini...
2 Reactions
4 Replies
183 Views
Habari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini. Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya...
2 Reactions
19 Replies
597 Views
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu. 1. KARATU 2. KASULU 3. KIBONDO 4...
109 Reactions
494 Replies
36K Views
Cc: Marehemu Reginald Mengi, alikuwa anapenda kusaidia watu kwa kutumia pesa, lkn tumeona yaliyomkuta, unaambiwa mpaka amefariki alikuwa hana hela, migodi ya dhahabu aliifunga yote, ITV haileti...
9 Reactions
52 Replies
10K Views
Je ulilijua hili?
1 Reactions
6 Replies
245 Views
Wenzetu mliwezaje wezaje, wengine tumejipata kwenye 30 na kitu, hali za huko nyuma zilikuwa mbaya sana
10 Reactions
132 Replies
3K Views
Mwanaume ni kiongozi wa maisha yake, mwenye maono na anayepambana kujenga kesho iliyo bora. Lakini katika safari hii, kuna changamoto—moja wapo ni mzigo wa wale waliochezea maisha yao na sasa...
9 Reactions
20 Replies
470 Views
Kuna kitu kikubwa sana cha kujifunza ukienda pale Ferry Kigamboni kwenye kivuko kuna uwekazaji umefanyika na Azam yaani unaona kabisa kuna maisha sasa Kigamboni na watanzania wanaishi kwa...
0 Reactions
10 Replies
289 Views
Back
Top Bottom