Mtu huyo aliwasili Ubalozini akiwa anaendesha pikipiki na inaelezwa kuwa ni mtu pekee aliyeuawa katika mlipuko huo huku Maaskari watano wakijeruhiwa
Ubalozi huo uliopo mji Mkuu, Tunis...
Kwa mara nyingine tena shirika la ndege la Ethiopia limekataa kusitisha safari zake za ndege kwenda nchini China, licha ya kuwepo kwa shinkizo la kulitaka kufanya hivyo kutokana na mlipuko wa...
A new draft law that could make it easier for foreigners to gain permanent residency in China has stirred up a torrent of xenophobia online.
The proposal, released by the justice ministry last...
Fedha ya Uturuki Lira yaimarika baada ya mapigano kusitishwa Idlib
Sarafu ya Kituruki Lila imeimarika kidogo dhidi ya Dola leo Ijumaa, baada ya kufikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano baina ya...
Askari wa Uturuki wakimbia kwa makundi katika viunga vya Idlib, Syria
Kufuatia mashambulizi makali ya anga na mizinga ya jeshi la Syria dhidi ya maeneo ya jeshi la Uturuki katika viunga vya mkoa...
Bethlehem, Palestina. Kanisa lililojengwa katika eneo ambalo linaaminika kuwa ndipo alipozaliwa Yesu jijini Bethlehem litafungwa kwa muda baada ya kutokea maambukizi yanayodhaniwa kuwa ni virusi...
Baada ya kutokea mauaji makubwa huko Mogadishu kwa Bomu la kujitoa mhanga ambapo zaidi ya watu 300 wamepoteza maisha, hiyo imeonyesha kuwa nchi hiyo ipo mbali sana kuwa na amani. Kikundi cha...
Habari JF
Katika kupitia Hapa na pale kuhusu Mataifa yenye "Foundation" ya African political and social historical background, Nimekutana na Mataifa kama Misri, Ethiopia, Libya, Tunisa pamoja na...
Aliyekuwa afisa wa ngazi ya juu katika jeshi la Misri Hisham al-Ashmaw, amenyongwa hii jana baada ya kupewa hukumu hiyo kutokana na kuhusika na mashambulio kadhaa
Taarifa ya kunyongwa kwa...
Mamia ya watu wanaokimbia vita kutoka Syria wamekwama katika mpaka wa Ugiriki walipokuwa wakitokea Uturuki kuelekea Ulaya.
Uturuki walifungua mpakawake juzi na kuruhusu wakimbizi kutoka Syria...
Mzuqa,
Wataalamu Irani na nje wamemshauri kiongozi mkuu wa dini na siasa Iran Ayatollah kudimamisha na kuzuia maelfu ya waumini kulambalamba madhabahu na milango mitakatifu katika hijja ya mashia...
Afrika Kusini nchi iliyopo Kusini mwa Bara la Afrika imethibitisha kuwa na Mgonjwa wa kwanza wa Corona ambaye hivi karibuni alitembelea nchi ya Italia
Wizara ya Afya nchini humo imesema Mgonjwa...
Wananchi wa Israeli wanapiga kura leo Jumatatu katika uchaguzi usio wa kawaida na wa tatu nchini humo katika kipindi cha mwaka mmoja. Uchaguzi huu ndio utaamua kujulikana hatma ya Waziri Mkuu wa...
Battle for Idlib: Turkey's drones and a new way of war
Turkish forces destroyed two Syrian Su-24 fighter jets, two drones, 135 tanks, and five air defence systems and "neutralised" more than...
Kwa wale wenye umri (na uelewa) fulani; Karibu Mkuu wa zamani wa UN aliendesha juhudi za kumaliza vita kati ya Iran na Iraq amefariki dunia. Jisomee zaidi.
=====
Former UN chief and Peruvian...
Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza kuwa Korea Kaskazini imefanya jairbio jengine la makombora.
Vyombo vya habari kutoka Seoul vimeinukuu wizara ya ulinzi ya nchi hiyo ikitangaza kuwa...
Mgonjwa wa kwanza wa maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona amethibitishwa nchini Ujerumani. Msemaji wa wizara ya afya mjini Munich, amesema jana jioni kwamba mgonjwa huyo ni mwanaume...
Ndege za Marekani leo zimefanya mashambulio dhidi ya kundi la Taliban kwa mara ya kwanza tangu pande mbili hizo kutia sainimakubaliano ya amani mwishoni mwa wiki iliyopita.
Hata hivyo askari 32...
Hiki kirusi kimechomoza kichwa na mapembe yote Iran, imewabidi kuwaachia huru wafungwa 54,000 ili kupunguza maambukizi zaidi yanayosambaa kwa kasi.
---------------------------
Judiciary spokesman...
Katika vitu ambavyo Bernie haamin ni matokeo ya super Tuesday, nadhani sio Bernie Sanders almost Kila mtu haamini kinachotokea
Na ni ishara nyingine marekani hawako tayari na socialism,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.