International Forum

News and Stories from rest of the World
Habari za leo waungwana. Naomba kuuliza, mtu akiwa na mtaji wa DKK 150,000 anaweza kufanya biashara gani katika jiji la Copenhagen au katika miji ya pembeni katika nchi ya Denmark? Asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waathirika 291 wa virusi vya Corona wapona nchini Iran. Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Udaktari nchini Iran imetangaza kwamba hadi sasa watu 291 waliokuwa wameathirika na virusi vya Corona...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Cipriano Cassama, ambae alichaguliwa kuwa Rais wa muda (Interim) wa Guinnea-Bissau amejiuzulu wadhifa wake kama rais baada ya kukaa madarakani kwa siku moja tu (1 day at office). Inaelezwa kuwa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
In what reads like an excerpt from the Texas chainsaw Masscare, Billy Chemirmir, a 47-year-old Kenyan man is facing the gallows for killing 22 elderly women in Texas. Chemirmir who settled in...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais Vladimir Putin amesema Urusi itaanza kuunda makombora mapya Urusi imejiondoa katika mkataba wa kupinga uundaji wa makombora ya masafa marefu uliyofikiwa enzi ya vita baridi kufutia uamuzi...
4 Reactions
114 Replies
13K Views
Idara ya Usalama wa mitandaoni nchini Urusi (Roskomnadzor), imeendelea kufungia na kuzuia websites na mitandao mikubwa inayojihusisha na uonyeshaji na usambazaji wa Video na Picha za ngono...
7 Reactions
28 Replies
7K Views
The Enugu State Ministry of Health says the purported strike embarked upon by the Association of Resident Doctors in Enugu State University Teaching Hospital, Parklane was ill-timed. Permanent...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Ukraine, Oleksiy Honcharuk, amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa mara ya pili katika miezi miwili. Wabunge kutoka chama tawala wataamua leo kama watakubali kujiuzulu kwake au la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vikosi vya Uturuki vimedungua ndege mbili za kivita za serikali ya Syria katika mkoa wa kaskazini-maghribi wa Idlib siku ya Jumapili, baada ya Ankara kutangaza operesheni ya kijeshi ndani ya...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Watu 25 wamefariki dunia na wengine 77 hawajulikani walipo baada ya vimbunga viwili kupiga katika Jimbo la Tennessee Marekani. Watu 150 wamejeruhiwa na asilimia kubwa ya majengo yameharibiwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika mzozo wa Libya Ghassan Salame amesema anajiuzulu wadhifa wake kutokana na sababu za kiafya. Kujiuzulu kwa Salame kunakuja wakati kukiwa na ongezeko katika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kitendo cha Urusi kumuuzia Uturuki silaha aina ya S400 kilikua ni kosa kubwa sana la kimkakati lililofanywa na Urusi. Kosa hili litaigarimu na kuiumiza sana Urusi muda sio mrefu. S400...
5 Reactions
187 Replies
17K Views
Picha ya juu hapo inaonesha mgombea aliyepita wa chama cha Democrats akipongezwa na "mumewe"! Mwanasiasa wa Amerika Pete Buttigieg alipanda kutoka kuwa meya mdogo wa jiji kwenda kuwa mgombea wa...
35 Reactions
179 Replies
13K Views
Askari sita wa Jeshi la Mali wameuawa na wengine 10 wamejeruhiwa baada ya kutokea shambulio kwenye mji wa Mondoro, shambulio linalodhaniwa kutekelezwa na wanamgambo. Jeshi la Mali limeeleza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Wachambuzi wameonya kuwa shambulizi lililofanywa na ndege zisizokuwa na rubani (droni) katika vituo viwili vya mitambo ya kusafisha mafuta, inaelekea kuwa umezidi kuharibu uwezekano wa suluhisho...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri wa afya athibitisha kwamba kuna muathirka wa Corona aliyetokea Ufaransa na kwa sasa amewekwa pembeni asiwaambukize wengine. ==== Senegal on Monday confirmed its first case of the novel...
0 Reactions
17 Replies
38K Views
Uingereza Leo imeripot kuwa na wagonjwa wa4 wa ugonjwa wa korona tayar serekal ya uingereza imesha kaa na kuazimia kunfunga mpaka yake yote hamna mtu kuingia wala kutoka pia marekan imefikisha...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
18 Feb, 2020 15:51 Iranian Supreme Leader Ali Khamenei has denounced the US ahead of Iran’s elections, likening Washington to a sinking ocean liner, and calling it out as a mass oppressor...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Biden ashinda jimbo la South Carolina March 2, 2020 WASHINGTON, MAREKANI Joe Biden amepata ushindi mkubwa katika kura ya uteuzi wa mgombea wa chama cha Democratic jimboni South Carolina akipata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Democratic presidential candidate former South Bend, Ind., Mayor Pete Buttigieg, left, meets with former President Jimmy Carter, center, at Buffalo Cafe in Plains, Georgia,March 1, 2020...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom