TANZANIA TUMEJIPANGAJE NA COVID-19 (corona virus)
Tukiangalia habari nchi nyingi zenye uwezo mkubwa wa teknologia na kisayansi wanachukua hatua kubwa na kujikinga au kujitayarisha kwa mlipuko wa...
Now let's clear this right away.
The biggest purpose of media agenda is MASS DISTRACTION and CONTROL
How do you achieve control? Of course through FEAR!
1. To see the Truth..stop listening to...
Hiki kirusi hatari, hakichagui nani wala nani, kinatesa wote, Mungu atunusuru Afrika....
=====
An Iranian vice president who was a spokeswoman for the 1979 hostage-takers during the US embassy...
Mamlaka ya Afya ya Nigeria (Federal Ministry of health) imetangaza kugundulika kwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19, waziri wa afya amesema mgonjwa huyo ni raia wa Italia anayefanya kazi Lagos na...
Malawi imekua nchi ya hivi karibuni iliyoko Kusini mwa Afrika kuhalalisha kisheria ukulima na uuzaji wa ndani na nje wa bangi.
Wanaotumia bangi kama kiburudisho wanaiona bangi kama , "Malawi...
China Asks Africa To Return The Favor & Support The Chinese People For previously Helping Eradicate Ebola
China is without a doubt the most popular country in recent days following the CoronaVirus...
Rais wa Urusi Azungumza na rais Erdoğan kufuatia shambulizi dhidi ya jeshi la Uturuki na kusababisha maafa.
Urusi na Uturuki zavunja ukimya baada ya shambulizi lililowalenga wanajeshi wa Uturuki...
Wataalamu Wairani wamefanikiwa kutengeneza kifaa maalumu cha kupima kirusi cha Corona. Kifaa hicho ni cha kwanza cha aina hiyo kuundwa nchini Iran.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Fars, kifaa...
Mongolian President Khaltmaagiin Battulga has been placed under a 14-day quarantine after a one-day visit to China.
According to state news agency Montsame, Battulga along with several other...
Mtu wa kwanza aliyeambukizwa huko Gothenburg ilibidi afanye kazi kwa siku tatu kabla ya kuugua virusi vya corona.
Sasa sehemu ya kazi ya mtu huyo huko Mölndal imefungwa, inasema SVT News West...
Mgogoro mkali wa kimapenzi umeibuka katika jimbo la Kano nchini Nigeria ambapo wanaume wawili walimuoa mwanamke mmoja wakati tofauti.
Katikati ya mgogoro huo ni mwanamke kwa jina Hauwa Ali Mariri...
Ubaguzi huzaa chuki na huenda pande zote huku SA zinatakiwa zijitafakari. Video hiyo inamuonyesha mwanaume wa Kiafrika pasipo sababu zozote anamwazishia mwananchi mwezake mwenye rangi nyeupe...
Video iliyochukuliwa na drone huko Idlib lazima Turkey akasirike jinsi Magaidi yake anayoyafadhili yanauawa na Syria Army
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mara nyingine nguruwe wa Kihindu wanaua Waislamu katika mji wa New Delhi. Kama yalivyo mauaji mengine ya Waislamu duniani kote vyombo vinavyojiita vya kutetea haki za binadamu na jumuiya ya...
Wanyama hawa ambao ni haramu hata kibibilia wamesadikiwa kuchochea janga hili.
Pia wanamkakati wa kuongeza list zaidi ya wanyama mwitu,kufugwa na watambaao.
Tabia ya kulakula nyama za mwitu...
Officials in the Indian city of Ahmedabad criticised for building a wall to 'hide a slum dwelling' before the president's visit
New Delhi authorities in India have been accused of attempting to...
Shambulio la Ndege lililofanywa na Marekani limemuua Kingozi wa Al-Shabaab anayehusishwa na kupanga mashambulio kadhaa likiwepo la kwenye Kambi Jeshi ya Manda
Marekani imeeleza kuwa Kiongozi huyo...
India: 68%
Saudi Arabia: 61%
Serbia: 60%
China: 57%
United States: 54%
Argentina: 54%
Russia: 53%
Germany: 52%
Poland: 50%
Sweden: 50%
South Africa: 49%
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanachama wa Kamati ya Masuala ya Kimataifa ya Bunge la Russia (DUMA) amesema kuna uwezekano kwamba, virusi vya Corona ni silaha ya kibiolojia ya Marekani.
Dmitry Novikov ameashiria uwezekano wa...
Naibu Waziri Iraj Harirchi ambaye amekuwa mstari wa mbele nchini humo katika kupambana na #coronavirus amegundulika kuambukizwa virusi hiyo
Msemaji wa Wizara hiyo amethibitisha hayo alipokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.