Rais Paul Kagame wa Rwanda amfuta kazi Waziri wa Afya wa nchi hiyo Dkt Gashumba kwa madai kwamba Waziri huyo alimdanganya juu ya uwepo wa vifaa tiba kwa ajili ya kupima virusi vya Corona...
People’s basic human rights – their birth-right – are “under assault”, UN Secretary-General Antonio Guterres said on Monday, as he launched a Call to Action aimed at boosting equality and reducing...
Rais wa Marekani Donald Trump amepokelewa kwa kishindo kikubwa katika mji wa Ahmedabad nchini India na kuhutubia umati wa watu.
Trump alitoa hotuba hiyo mbele ya takribani raia 100,000 waliokuwa...
Huwezi amini Ila ni kweli ! Pichani Jamaa huyo Busa Krishna kutoka nchini India huu ni mwaka wa nne sasa anamuabudu Donald Trump rais wa Marekani. Anasema Trump ndie mungu wake, pia kila Ijumaa...
Kwanini Uturuki analazimisha kula mfupa ambayo Marekani ameshindwa kumeza? Ningekuwa Rais wa Uturuki ningeondoka Syria kuliko kuwatesa jeshi la Uturuki mbele ya mbabe Russia (Putin)
Sent using...
Majibu ya hapana ya Russia kwa ombi la Marekani la kuzungumza na magaidi wa Syria
Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia
Ushindi wa mfululizo wa jeshi la Syria na waitifaki wake katika mkoa wa...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo hivi karibuni alimaliza ziara nchini Senegal, Angola na Ethiopia na katika Umoja wa Afrika. Hii ni mara yake ya kwanza kufanya ziara katika nchi za...
Mzuqa
Utawala wa kero na maigizo wa akina Ayatollah Iran imeilaumu vikali na kuisingizia taifa la Israel na Marekani kusababisha wa Iran wengi kutojitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa Wabunge...
Habari za leo, jana au leo nimesikia kuwa nchi ya Togo ina uchaguzi,sasa nimeshangazwa kuwa baba wa rais wa sasa alikuwa Rais kwa kipindi kirefu si chini ya miaka 24, je huyu wa sasa yuko kwa...
An Indonesian maid identified as Tuti Tursilawati has been executed in Saudi Arabia for killing her boss while he was raping her.
Mum-of-one, Tuti Tursilawati was executed after she killed her...
Baada ya mahakama ya katiba kufuta ushindi wa rais wa Malawi uliotawaliwa na bwana Tip ex kuzibadili kura za wananchi Bunge la Malawi limepanga uchaguzi wa marudio use May 19 2020, hongera Malawi...
The U.K.’s new points system will keep low-skilled non-English speakers out, pleasing pro-Brexit voters but devastating entire sectors—from agriculture to health care.
Britain’s decision to leave...
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda na Uganda wametia saini makubaliano ya kukabidhiana wahalifu wanaosakwa na nchi hizo.
Makubaliano hayo yametiwa saini katika mkutano uliofanyika katika...
Wataalamu wa China wamethibitisha kuwa dawa ya Malaria aina ya Chloroquine Phosphate ina ufanisi wa kutibu ugonjwa wa Nimonia unaosababishwa na virusi vya Corona COVID-19.
Naibu Mkurugenzi wa...
Kwa mujibu wa Millard Ayo:
Idadi ya waliofariki kutokana na Virusi vya Corona China imeongezeka na kufikia Watu 2004, uwezekano wa vifo kuongezeka ni mkubwa, walioathirika na virusi hivyo mpaka...
Dong Samuel Luak na Aggrey Idri walitoweka January 2017
Marekani imewawekea vikwazo maafisa watano wa ngazi za juu za Usalama wa Taifa wa South Sudan, NSS, kwa kuhusishwa na utekaji na mauaji ya...
Rais Donald Trump wa Marekani amekasirishwa mno na kitendo cha maseneta wa chama cha Democrat kukutana na Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na kudai kuwa mikutano ya wanasiasa...
Maafisa wa Saudia wameagiza kukamatwa kwa mwimbaji wa kike wa muziki wa 'rap' ambaye ametoa video ya muziki kwa jina Mecca ambayo ina sifu wanawake katika mji huo mtakatifu inayosema ni wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.