International Forum

News and Stories from rest of the World
Tukio hilo limetokea leo baada ya Uturuki kushambulia magari mawili ya Syria, Russia imetoa onyo kali kwa Uturuki ikisema tukio hilo linaweza kuleta madhara makubwa kwa Uturuki na kuitaka...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
...hii sasa ni kasheshe. Kwa wanaokumbuka historia ya huyu jamaa, sijui kama kutakuwa na salama Haiti siku chache zijazo. Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa... Jean Claude and Francois...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ripoti mpya inasema kuwa zaidi ya nusu (61%) ya wanawake waliuawa na wanaume nchini Uingereza mwaka 2018 ambao walikua ni waume zao au waliokua waume zao. Matokeo ya uchunguzi huo yametokana visa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Feb 21, 2020 Waziri wa ulinzi wa Uturuki, Hulusi Akar, akiwa na mkuu wa majeshi Jenerali Yaşar Güler pamoja na mkuu wa vikosi vya nchi kavu Jenerali Ümit Dündar kwa pamoja wamekagua vikosi vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Head of China's Wuhan hospital dies over coronavirus The total death toll in China has climbed to 1,868, the National Health Commission said. In Summary • Singapore Airlines Ltd said it would...
0 Reactions
2 Replies
928 Views
Nyaraka mpya zilizovuja zinaonyesha namna mamlaka za China zinavyotumia teknolojia ya kiwango cha juu kuwafuatilia, kuwatambua na kisha kuwakamata Waislamu wa jamii ya Uighur. Nyaraka hizo...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
15 Februari 2020 Waziri wa Afya nchini Rwanda Dkt. Diane Gashumba amejiuzulu kulingana na afisi ya waziri mkuu nchini humo. Katika ujumbe uliochapishwa kwenye mtandao wa Twitter, afisi hiyo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Lesotho Thomas Thabane, 80, atashtakiwa kwa mauaji ya mkewe wa kwanza Lipolelo Thabane, Polisi wameeleza. Bwana Thabane alitangaza kuwa atajiuzulu mwezi Julai kutokana na umri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shirika la Boeing linakumbwa na hatari ya kukabiliwa tena na suala la usalama wa ndege zake baada ya vifusi kupatikana kwenye tenki za mafuta katika ndege kadhaa ambazo zilikuwa zinasubiri...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Baada ya Serikali ya Ukraine kutangaza kuwaondoa raia wake waliokuwepo China kufuatia mlipuko wa Corona Virus, Wakazi wa Mji ambao watu wao wanatarajia kukaa kwa muda wa siku 14 wakati wapo kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sitaki mabaya yatokee ila kwa sababu za kiusalama tu kwanini rais wa Burundi asiwape mafunzo na hifadhi waasi wa Rwanda FDLR wanaoteseka nchini Kongo? Nkurunziza nimesikia akilalamika kuwa Rwanda...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
14 Februari 2020 Idara ya upelelezi ya Rwanda imesema inamshikilia mwanamuziki Kizito Mihigo baada ya kufikishwa kwenye idara hiyo na polisi tarehe 13 mwezi Februari . Kwenye ukurasa wa Twitter...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Shambulio la mjini Hanau magharibi mwa Ujerumani lililotokea jana usiku, limewaua watu kadhaa na kuwajeruhi watu wengine. Polisi imethibitisha watu wanane wamepoteza maisha na wengine watano...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mpaka sasa imeripotiwa vifo takriban 1,803 huku maambukizi yakifikia 73,000. Katika hali ya kushangaza kuna wagonjwa 9,000+ wamepona na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Cha kushangaza dunia...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na uvumi kuwa Corona ni gonjwa pandikizi yaani Ni bio Weapon ambayo Mchina Katupiwa ili ashuke kiuchumi Lakini mshangao ni wachina wenyewe hawajamhusisha...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Mwanamke wa Ethiopia aliyeshambuliwa kawa tindikali na mumewe mwaka 2017 anasema licha ya hali ngumu anayopitia baada ya shambulio hilo ana kila sababu ya kuwashukuru watu waliomsaidia. "Kuna...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo ameonya mipango ya serikali ya Afrika Kusini kunyakua ardhi pasipo fidia kuwa ''utaleta madhara mabaya sana'' kwa uchumi na taifa kwa ujumla. Bwana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Waziri Mike Pompeo wa serikali ya Marekani leo amemaliza ziara yake ya nchi kadhaa barani Afrika huku akiwataka viongozi wa kisiasa barani humu kuacha mara moja tabia ya kuongoza kiimla. Pompeo...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
NA MOHAMMED ABDULRAHMAN Mapema mwezi huu wa Februari mahakama ya katiba nchini Malawi ilitoa uamuzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na kumaliza mvutano uliosababishwa na matokeo ya uchaguzi wa Rais...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Chuo Kikuu cha Ghana kimesimamisha wahadhiri wawili, Profesa Ransford Gyampo na Dk Paul Kwame Butakor, kwa vipindi tofauti bila mshahara Video iliyochukuliwa na waandishi ilionyesha udhalilishaji...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom