International Forum

News and Stories from rest of the World
Chama tawala nchini Lesotho kimemtaka waziri mkuu kujiuzulu leo Februari 20, 2020, ikiwa ni siku 2 tu tangu mkewe wa sasa aliposhtakiwa kwa mauaji ya mkewe wa awali. Mke wa sasa wa Waziri Mkuu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
LONDON (AP) — WikiLeaks founder Julian Assange plans to claim during an extradition hearing that the Trump administration offered him a pardon if he agreed to say Russia was not involved in...
0 Reactions
2 Replies
750 Views
Serikali ya China imesema kuwa itazuia matumizi ya fedha za noti (fiat currencies) ikiwa ni njia ya kuzuia ueneaji wa virus hatari vya corona Serikali imesema pia itazitibu fedha zote katika...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Leo February 19, 2020 Baada ya mwanamfalme wa Uingereza Prince Harry na mkewe Meghan Markle kutangaza kujiondoa kwenye familia ya Kifalme (Royal Family), leo limetoka tamko jipya. Malkia...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Secretary of State Michael Pompeo pressed African governments to adopt the Trump administration’s limited-government approach for economic success, taking a veiled swipe at the Chinese model of...
0 Reactions
3 Replies
960 Views
Uingereza itaanzisha mfumo mpya wa uhamiaji baada ya kujitoa katika Umoja wa Ulaya, ikitoa kipaumbele kwa wafanyakazi wenye ujuzi duniani kote, imetangaza serikali ya Uingereza, ambayo inatarajia...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
A lawyer for Julian Assange has alleged that President Donald Trump offered to pardon the Wikileaks founder, if he said Russia was not involved in leaking emails during the 2016 US election. The...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Mlipuko wa nzige mbaya kabisa kutokea Afrika Mashariki katika miaka 70 umefikia Sudani Kusini, nchi ambayo karibu nusu ya idadi ya watu tayari wanakabiliwa na njaa baada ya miaka ya vita vya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mahakama moja imebadilisha uamuzi wa miaka miwili iliopita kwamba wanandoa waliooana kupitia sheria ya Kiislamu wana haki ya kutalakiana. Mahakama kuu iliamuru 2018 kwamba wanandoa hao waliofanya...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Watu wasiopungua 15 wameuawa huku wengine zaidi ya 10 wakitekwa nyara katika shambulio linalodaiwa kutekelezwa na wanamgambo wa Uganda wa ADF huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tatiana Pereira amehukumiwa jela miaka 25 na miezi nane kwa kumuua makusudi mwanae wa kiume aliyefahamika kwa jina la Lozano (17) kisa ni shoga ambapo hakupendezwa na sexuality ya mwanae huyo...
7 Reactions
113 Replies
15K Views
Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa siku ya Jumatano, inasema ulimwengu umeshindwa kumlinda mtoto na hatari za kiafya zinazotokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi na lishe hafifu. Ripoti...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
https://realgistonline.com/wp-content/uploads/2020/02/Business-man-1.jpg A wealthy businessman – and husband of six – has died after allegedly being forced into a marathon sex session with his...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbio za uchaguzi wa wa marekani kumchagua rais, wabunge congress wote 435 na maseneta 35 kati ya 100 zimeanza kuwapa nguvu bainba ya Democrats na Republicans. Kwa sasa hivi Democrat ina wabunge...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
UKIWA RAIS UNAFANYA KILA KITU, UKIONDOKA UNAFANYWA KILA KITU MIAKA 38 ya mamlaka, amri, ushawishi na nguvu ya kufanya kila kitu, tamati yake ilikuwa Septemba 2017. Baada ya hapo, zikaingia zama...
14 Reactions
10 Replies
2K Views
In Somalia, there are thought to be no more than a thousand Christians in a resident population of 8 million people, with perhaps a few thousand more in the diaspora. The Islamist Shabab militia...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Watu 23 wapoteza maisha wakigombania chakula Niger Feb 18, 2020 07:57 UTC [https://media] Kwa akali watu 23 wameuawa katika mkanyagano wa kugombania chakula cha msaada nchini Niger. Duru za...
1 Reactions
1 Replies
961 Views
Waziri mkuu wa Libya Fayez al-Serraj anayeongoza serikali inayoungwa mkono na jumuiya ya kimataifa amesema kufungwa kwa miundombinu ya mafuta nchini humo kutasababisha mgogoro mkubwa wa kifedha...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Munich - U.S. Secretary of Defense Mark Esper has said that China tops the list of the Pentagon’s potential adversaries. speaking at the Munich Security Conference in Germany, Esper said Beijing...
0 Reactions
3 Replies
946 Views
Mpaka sasa imeripotiwa vifo takriban 1,803 huku maambukizi yakifikia 73,000. Katika hali ya kushangaza kuna wagonjwa 9,000+ wamepona na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Cha kushangaza dunia...
0 Reactions
3 Replies
605 Views
Back
Top Bottom