Rais Vladimir Putin amesema Urusi itaanza kuunda makombora mapya!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Rais Vladimir Putin amesema Urusi itaanza kuunda makombora mapya

Urusi imejiondoa katika mkataba wa kupinga uundaji wa makombora ya masafa marefu uliyofikiwa enzi ya vita baridi kufutia uamuzi sawa na huo uliyochukuliwa na Marekani.
Mkataba huo uliyofikiwa kati ya Marekani na muungano wa Sovieti, USSR na kutiwa saini mwaka 1987 ulipiga marufuku mataifa yote dhidi ya matumizi ya makombora ya masafa mafupi na yale ya kadri.

"Washirika wetu wa Marekani wametangaza kusitisha wajibu wao katika mkataba huo nasi pia tunafuata mkondo wao,"alisema Bw. Putin siku ya Jumamosi.

Katibu mkuu wa muungano wa kijeshi wa mataifa ya magharibi Nato, Jens Stoltenberg amaiambia kuwa: "Washirika wote [Ulaya] yameunga mkono hatua ya Marekani kwasababu Urusi imekiuka mkataba huo kwa miaka kadhaa."

Alisema makataa ya miezi sita iliyotolewa na Marekani kwa Urusi kufuata kutekeleza kikamilifu yanafaa kuzingatiwa.
Urusi itaunda makombora yaliyopigwa marufuku chini ya mkataba wa vita baridi ikiwa Marekani itajiondoa katika mkataba unaodhibiti silaha hizo, ameonya rais Vladimir Putin
.

Tamko lake linakuja baada ya shirika la kujihami kwa mataifa ya magharibi Nato, kuilaumu Urusi kwa kukiuka mkataba wa makubaliano kudhibiti uundaji wa makombora ya masafa ya kadri (INF).

Makubaliano hayo yaliyotiwa saini mwaka 1987 kati ya Marekani na USSR,yalipiga marufuku mataifa hayo yote mawili dhidi ya kuunda makombora ya masafa mafupi na yale kadri.

Urusi inalaumiwa kwa nini?
Marekani imesema ina ushahidi kuwa kombora mpya iliyoundwa na Urusi ni moja ya mokombora yaliyopigwa marufuku katika mkataba wa INF.

Baadhi ya maafisa wa Marekani wanasema kuwa makombora ya aina ya 9M729 - yanayotambuilwa na Nato kama SSC-8 tayari yameanza kutumika.

Mwezi Disemba mwaka jana, Rais wa Marekani Donald Trump, aligusia kuwa taifa hilo huenda likajiondoa katika mkataba wa INF ikiwa Urusi haitabadili msimamo wake.

Nini kitakachofuata?
Katika mkutano wa Jumamosi akiandamana na mawaziri wake ulinzi na wa mambo ya nje, rais Putin alisema wataanza kuunda silaha mpya ikiwa ni pamoja na makombora ya kulipua meli na mengine yaliyo na kasi ya mara tano zaidi ya mlio wasauti.

Bw. Putin hata hivyo amesema kuwa hatajihusisha katika mradi wa gharama ya juu ya uundaji silaha na kuongeza kuwa taifa lake litatumia silaha hizo endapo marekani itaanza kuzitumia.

''Mashindano ya uundaji wa silaha kama hizo ni tishio kubwa kwa mataifa ya bara Ulaya''
Ni yapi yaliyomo katika makubaliano ya kuunda makombora ya masafa ya kadri (INF)?
9M729.jpg
Komm.jpg
Put.jpg
9M729.jpg
Contr.jpg

Mkataba huo uliotiwa saini na Marekani na USSR mwaka in 1987, ulikuwa wa kudhibiti uundaji wa silaha za nuklia na makombora ya masafa ya mafupi na ya kadri, isipokuwa yale ya kurushwa baharini.
  • Marekani ilikuwa na hofu kuhusiana hatua ya Usoviyeti kuunda kombora la USS-20 na kujibu hatua hiyo kwa kuunda makombora ya kulipua meli barani Ulaya - hatua hiyo ililaaniwa sana.
  • Kufikia mwaka 1991, karibu makombora 2,700 ilikuwa imeharibiwa.
  • Mataifa yote mawili yaliruhusiwa kukagua mitambo ya mwingine.
  • Mwaka 2007, rais wa Urusi Vladimir Putin ilitangaza kuwa mkataba huo haulindi tena maslahi yake
  • Hatua hiyo ilikuja baada ya Marekani kujiondoa katika mkataba wa kudhibiti uundaji wa makombora ya masafa marefu uliyofikiwa mwaka 2000
    • Mara ya mwisho Marekani ilijiondoa katika mkataba wa silaha ilikuwa mwaka 2002, wakati rais George W Bush alipojiondoa kutoka mkataba wa kudhibiti uundaji wa makombora ya nuklia ambayo ilipiga marufuku uundaji wa silaha za kujibu mahambulio ya silaha hizo.
 
Putin, ataendelea kuichokonoa US, ila iko siku haina jina, US watampiga miti na hataamini utakuwa ndio mwisho wake..!! Mark my words
Hy mambo yalisha tabiliwa kwenye vitabu Na wao Ndio walijua Mwisho Wa urusi 1991 lkn majamaa WA medunda IPO siku USA atajikuta Yuko pekee Yake maana madhara ya vita ulaya yana yafahamu Sana Ndio maana hawako tayari kurudi waliko toka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin, ataendelea kuichokonoa US, ila iko siku haina jina, US watampiga miti na hataamini utakuwa ndio mwisho wake..!! Mark my words
Watu hawajajua,,,,na hata tukiangaloa records anaeingizwa mkenge mara mingi ni russia,,kuanzia kudanganywa kuuza alaska,,,hata mikataba hii, kuanguka kwake,,usitishwaji wa ndege zake zile,,,ukiangalia kwa jicho la tatu unaona mmarekan kila kukicha anajitahid sana sana kujitanua kuizunguka,,anajitahidi sana kupunguza nchi za kikomunist..unaona venezuela kama vile tunamwaga,,,north korea naona kama vile nae kagwaya anaaaga...iko cku moscow hataamin,,sema putin analijua hilo na alishatamka

Mmarekani kimkakati,kuendelea kutawala dunia amejipanga vizuri. Ila huyu trump sina uhakika na akili yake.
 
If wishes were horses, beggars would ride.

Uchumi wa Russia hata haufikii California State, wala Texas, wala New York, yaani ukichukua Russia GDP iko nyuma ya California kwa mbali sana, to make you understand kidogo tu, California alone GDP is twice that of Russia, Dec 2018 GDP.. au Texas au New York zimeipita Russia sana tu kiuchumi..!!

So US is the Super Power if compared to Russia, na hakuna nchi duniani itakuwa na nguvu ya kijeshi kali huku uchumi wake ni dhaifu.. So Russia military is weaker compared to US military due to economy..!! US military budget 2018 was $ 700 bil, while Russia military budget was $ 40 bil..

So just using the common sense, kama ww muelewa utajua kabisa Russia can not ever ever be able to engage in war with US.. Hana military muscles to sustain in the war for months..!! US GDP Dec 2018 $ 22 trillions.. Russian GDP 2018 $ 1.3 trillions

Vita vinahitaji uchumi imara kabisa..!!

Now njoo na data zako za mapenzi kwa Russia bila kuijua kiundani..!! Russia sio kwamba ni dhaifu kwa mataifa mengine, ila unapolinganisha au kutaka kusema anataka kuchuana na US hapo ndipo unajidanganya 100%, hayuko ktk level ya US in every step..!!

US ni kitu kingine kabisa..!! Putin mwenyewe kakiri muda US is only Super Power in the world..!! Ww nani Lumumba sasa? Kwanini unajidanganya hivyo?

Putin says accepts U.S. is sole superpower, dilutes Trump praise | Reuters
 
Now njoo na data zako za mapenzi kwa Russia bila kuijua kiundani..!!

US ni kitu kingine kabisa..!! Putin mwenyewe kakiri muda US is only Super Power in the world..!! Ww nani Lumumba sasa? Kwanini unajidanganya hivyo?

Putin says accepts U.S. is sole superpower, dilutes Trump praise | Reuters
Vita ya nyuklia haihitaji uchumi mkubwa Kama ufikiriavyo..labda conventional war uchumi mkubwa utahusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa Russia hata haufikii California State, wala Texas, wala New York, yaani ukichukua Russia GDP iko nyuma ya California kwa mbali sana, to make you understand kidogo tu, California alone GDP is twice that of Russia, Dec 2018 GDP.. au Texas au New York zimeipita Russia sana tu kiuchumi..!!

So US is the Super Power if compared to Russia, na hakuna nchi duniani itakuwa na nguvu ya kijeshi kali huku uchumi wake ni dhaifu.. So Russia military is weaker compared to US military due to economy..!! US military budget 2018 was $ 700 bil, while Russia military budget was $ 40 bil..

So just using the common sense, kama ww muelewa utajua kabisa Russia can not ever ever be able to engage in war with US.. Hana military muscles to sustain in the war for months..!! US GDP Dec 2018 $ 22 trillions.. Russian GDP 2018 $ 1.3 trillions

Vita vinahitaji uchumi imara kabisa..!!

Now njoo na data zako za mapenzi kwa Russia bila kuijua kiundani..!! Russia sio kwamba ni dhaifu kwa mataifa mengine, ila unapolinganisha au kutaka kusema anataka kuchuana na US hapo ndipo unajidanganya 100%, hayuko ktk level ya US in every step..!!

US ni kitu kingine kabisa..!! Putin mwenyewe kakiri muda US is only Super Power in the world..!! Ww nani Lumumba sasa? Kwanini unajidanganya hivyo?

Putin says accepts U.S. is sole superpower, dilutes Trump praise | Reuters
Tatizo mnamezeshwa sana Na hamtumii akili kubwa kufikilia uchumi mkubwa haifungaman Na vita Kwa mfano tukiangalia vita kt ya Israel na mataifa ya kiarabu pale yanapo ungana zid ya taifa moja Na kipind hicho ni changa sana lkn liliweza shinda vita ndani ya siku chache vita ni teknic tu na swala LA bajet ya marekani kuwa kubwa sasa Na familia ya watu nane ulinganishe Na familia ya watu wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa Russia hata haufikii California State, wala Texas, wala New York, yaani ukichukua Russia GDP iko nyuma ya California kwa mbali sana, to make you understand kidogo tu, California alone GDP is twice that of Russia, Dec 2018 GDP.. au Texas au New York zimeipita Russia sana tu kiuchumi..!!

So US is the Super Power if compared to Russia, na hakuna nchi duniani itakuwa na nguvu ya kijeshi kali huku uchumi wake ni dhaifu.. So Russia military is weaker compared to US military due to economy..!! US military budget 2018 was $ 700 bil, while Russia military budget was $ 40 bil..

So just using the common sense, kama ww muelewa utajua kabisa Russia can not ever ever be able to engage in war with US.. Hana military muscles to sustain in the war for months..!! US GDP Dec 2018 $ 22 trillions.. Russian GDP 2018 $ 1.3 trillions

Vita vinahitaji uchumi imara kabisa..!!

Now njoo na data zako za mapenzi kwa Russia bila kuijua kiundani..!! Russia sio kwamba ni dhaifu kwa mataifa mengine, ila unapolinganisha au kutaka kusema anataka kuchuana na US hapo ndipo unajidanganya 100%, hayuko ktk level ya US in every step..!!

US ni kitu kingine kabisa..!! Putin mwenyewe kakiri muda US is only Super Power in the world..!! Ww nani Lumumba sasa? Kwanini unajidanganya hivyo?

Putin says accepts U.S. is sole superpower, dilutes Trump praise | Reuters
Ninaweza kukupa sifa ww ili kuficha mambo yangu

Na wa nchini kwenu una hali gani kila siku tunatembeza bakuli kuomba msaada ulishawahi sikia Russia anaomba msaada?
 
Back
Top Bottom