Rais Vladimir Putin amesema Urusi itaanza kuunda makombora mapya!

Rais Vladimir Putin amesema Urusi itaanza kuunda makombora mapya!

Russia amesema ili aweze kurudi kwenye mkataba haya lazima yafanyike. Russia mpya imeingia kwenye eneo lake.
===
In order to achieve this, the US must “destroy its Mk-41 universal launchers, designed for launching Tomahawk cruise missiles and target missiles,” which in fact have the same specifications as ground-based medium- and shorter-range ballistic missiles prohibited by the INF.

The American attack drones should also be disposed of because they fall under the definition of “land-based cruise missile” in accordance with the deal, the ministry added.

In early February, Washington unilaterally withdrew from the INF deal, which had been the cornerstone of European security since 1987. The US accused Russia of building prohibited missiles, but said that it may return to the accord if Moscow eliminates the violation within the next 180 days.

=====
Russia to US: Destroy Tomahawk launchpads & attack drones to return to INF compliance
 
Haikuhitaji Uchumi mkubwa sana kwa Mujahedeen kupigana na Wasovieti. Vita imebadilika sana na nimemshangaa ambavyo anasema wewe hujui ukasome: Changamoto kubwa kwenye karne hii ni Irregular Warfare, ambapo unakuta kikundi kidogo kinapigana na nchi yenye nguvu na kinawasumbua. Israel ni mtaalamu wa Conventional Warfare lakini Hezbollah ni mtaalamu wa Assymetric Warfare, nadhani mwaka 2006-2007 tulishuhdia nini kilitokea.

Upande mwingine kuna Cyber Warfare na Terrorism kama sehemu mpya ya vita ambayo mpaka leo hii tumeshuhudia zikitumika vibaya sana kuyadhuru mataifa makubwa. Japan na jeshi lake wakati anavamia Marekani mwaka 1941 hakuua watu wengi na kusababisha madhara makubwa kama ambavyo kikundi cha Al-Qaeda kilisababisha mwaka 2001. Tena ni majamaa wadogo tu waliofanikisha ule mpango.

MI6 wanasema magaidi waliopo Ulaya siku hizi hawatumii tena mabomu ya kujilipua kama zamani: Teknolojia ya vyombo vya usalama imekuwa ni kubwa sana. Wanachofanya ni kujigawa kwenye vikundi vya watu watatu watatu na kutumia silaha kama visu, au wanabaka. Sasa watu kama hawa utajisifia Conventional Warfare kweli ???

NB: Kama ulivyosema vita vya kinyuklia havihitaji uchumi kabisa, leo hii Korea Kaskazini nchi Masikini sana inatoa matamko ambayo yanamfanya mtu mwenye GDP kubwa akose usingizi nalo hili ni dogo anadhani! Hata leo hii sisi tukiwa na Nyuklia Warheads hata mbili tu, tutaheshimika sana na watajipanga sana katika kuzungumza na sisi.
2020

And


How modern day terrorists wage Irregular- Warfare within Europe's homestead.
 
Uchumi wa Russia hata haufikii California State, wala Texas, wala New York, yaani ukichukua Russia GDP iko nyuma ya California kwa mbali sana, to make you understand kidogo tu, California alone GDP is twice that of Russia, Dec 2018 GDP.. au Texas au New York zimeipita Russia sana tu kiuchumi..!!

So US is the Super Power if compared to Russia, na hakuna nchi duniani itakuwa na nguvu ya kijeshi kali huku uchumi wake ni dhaifu.. So Russia military is weaker compared to US military due to economy..!! US military budget 2018 was $ 700 bil, while Russia military budget was $ 40 bil..

So just using the common sense, kama ww muelewa utajua kabisa Russia can not ever ever be able to engage in war with US.. Hana military muscles to sustain in the war for months..!! US GDP Dec 2018 $ 22 trillions.. Russian GDP 2018 $ 1.3 trillions

Vita vinahitaji uchumi imara kabisa..!!

Now njoo na data zako za mapenzi kwa Russia bila kuijua kiundani..!! Russia sio kwamba ni dhaifu kwa mataifa mengine, ila unapolinganisha au kutaka kusema anataka kuchuana na US hapo ndipo unajidanganya 100%, hayuko ktk level ya US in every step..!!

US ni kitu kingine kabisa..!! Putin mwenyewe kakiri muda US is only Super Power in the world..!! Ww nani Lumumba sasa? Kwanini unajidanganya hivyo?

Putin says accepts U.S. is sole superpower, dilutes Trump praise | Reuters

Story hizi za kumanghushi yalikuwa yanasikika tangu 1917 lakini mpaka sasa Urusi inadunda kama kawa, actually kwenye miaka ya 1950s na earily 1960s Uchumi wa Urusi aikuwa inaongoza kiuchumi Duniani, hilo huwa alisemwi?

Kazi zenu kutabiri kifo cha Urusi kila kukicha, media za magharibi zimewachota akili kweli kweli mnarudia rudia propaganda za mataifa ya magharibi bila ya kufanya tafiti zakina kwanza - mnatekwa nyara na CNN, Fox News, BBC, Al Jazeera nk; mna amini kwamba kila wasemalo ni Gospel truth!!
 
Naona umenishambulia sana mimi binafsi hadi ukapoteza mwelekeo mzima wa huu mjadala. Tafadhali usifanye hivyo tena, maana kama na mimi nikikujibu kwa kukushambulia wewe binafsi tunaweza kujikuta tumepoteza maana nzima ya huu mjadala mzuri. Tujibu hoja hata kama hatupendi kuzisikia. Naomba nikutaarifu kabisa kwamba leo sintatumia RT, BBC, CNN wala FOX News katika kukujibu, bali nitakupa tafiti za kitaalamu ambazo zimefanywa na wanazuoni wakubwa tena wale wa nchi za Magharibi. Hebu sasa tuanze kuchambua hoja zako ulizoziwasilisha hapo juu:



Naomba nikubali kwamba nchi ya Marekani ndiyo nchi kubwa sana duniani na yenye uchumi mkubwa kuliko zote ukitumia kiwango cha GDP. Pia Marekani ndiyo nchi yenye bajeti kubwa ya kijeshi kuliko zote ambapo ukichukua bajeti za nchi zote duniani ukaziunganisha hawawezi kufika kwa Marekani.

Lakini sasa hoja yako uliyoileta hapa inaonyesha huna ufahamu mkubwa sana na mambo ya Uchumi, kama ungekuwa nao basi ungekuwa na mtizamo tofauti kabisa: Upande wa pili wa hoja yako ni kwamba unaangalia upande moja wa shilingi bila kujifunza kupitia historia ya mataifa makubwa yaliyowahi kutokea hapa duniani kabla ya Marekani.

Hoja ya kuwa na Uchumi mkubwa ni kuwa na jeshi kubwa ni nzito sana lakini siyo timilifu (Not decisive). Mara nyingi Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha Duniani (IMF) huwa zinapima uchumi wa nchi kwa kutumia mbinu kuu mbili: Gross Domestic Product (GDP) au Purchasing Power Parity (PPP).

GDP inaonyesha jinsi gani Uchumi wa nchi ulivyo imara kwa kuangalia kiasi cha bidhaa na huduma ambazo zinazalishwa na kutumiwa ndani ya nchi husika mara nyingi ndani ya kipindi cha mwaka. Upande wa pili PPP inatumika kulinganisha nguvu ya fedha ya nchi mbili katika manunuzi ya bidhaa.

Kwenye GDP marekani hakamatwi lakini kwenye PPP wa kwanza ni Uchina. Katika hili tunakuja na kanuni ya kiuchumi iitwayo The BIG MAC INDEX iliyoandaliwa na jarida la The Economist. Ambapo wanasema unachukua dola ya kimarekani halafu ukaweka nchi ya Marekani na Uchina halafu unapima nguvu ya manunuzi.

Leo hii ukichukua dola 10 halafu dola tano ukawa nazo kule Beijing na dola tano nyingine ukawa nazo kule Washington: Itakuwa hivi, Washington utanunua Beef Burger mbili, wakati Beijing utanunua Beef Burger tatu kwasababu maisha yako chini.

Hii ndiyo PPP na mwaka 2014 IMF iliitangaza Uchina kuwa ndiyo nchi ya kwanza katika PPP hivyo basi GDP ya California kuwa kubwa kuliko Urusi isikudanganye na kusema Urusi ni nchi dhaifu. Hili linatujengea msingi mzuri katika kujibu hoja yako ifuatayo:



Ndiyo vita vinahitaji Uchumi imara, lakini Uchumi mzuri ni ule ambao unazalisha kwa bei ya chini bidhaa ambazo wenzake wanazalisha kwa gharama kubwa. Tukija kwenye PPP na GDP sasa: Marekani ana bajeti kubwa kwasababu Uchumi wake ujo juu na gharama za maisha ziko juu sana. Hivyo rasilimali ni gharama, kodi kubwa, wafanyakazi kuwalipa ni gharama sana ndiyo maana unakuta ana bajeti ya Bilioni 700.

Lakini upande wa pili nchi kama Uchina na Urusi wananufaika na PPP, ambapo kama ukimpa Urusi na Marekani bilioni 10, ambapo Marekani atanunua vifaru 300 kutoka viwanda vya nchini kwake basi Urusi kwa bilioni 10 atanunua vifaru 350 vyenye kiwango kilekile nchini kwake. Unajua ni kwanini ?? Gharama za uzalishaji ni ndogo nchini Urusi.

Ndiyo maana Uchina na Urusi wanatengeneza hypersonic missiles ambazo ni Mach 10, unadhani hela wanazitoa wapi ??

Ushahidi wa hili amelisema mtu anaitwa Dr Peter Navarro kwenye vitabu vyake Death by China na The Crouching Tiger. Nadhani utakuwa unamjua vizuri huyu jamaa, yeye ndiye mshauri wa Raisi Donald Trump kwenye mambo ya Biashara na Sera za Viwanda: Kiufupi huyu ndiye mwanzilishi wa trade war baina Trump na Xi. Amekiri kabisa kwamba gharama ndogo za uzalishaji zinawabeba wachina na mataifa mengine.

NB: PPP ndiyo ilimpa Marekani uwezo wa kuwa na nguvu na taifa kubwa ambalo liliweza kuwafanya washinde vita zote za dunia dhidi ya Ujerumani. Kama ulikuwa haufahamu hadi mwaka 1900 Ujerumani ndilo lilikuwa taifa lenye nguvu kubwa ya viwanda kuliko hata Uingereza na Marekani. Marekani alikuwa hashindani na Uingereza kwa lolote lile kuanzia nguvu ya sarafu na GDP, lakini Marekani alikuwa ndiyo taifa lenye PPP kubwa duniani tokea mwaka 1872. Huyu anayesema haya ni Proffesor Joseph Nye wa Harvard University.

Mfano mzuri: Ulikuwa ukiwapa Marekani na Uingereza kiasi sawa cha pesa, basi Marekani alikuwa ana uwezo wa kufanya nayo kazi nyingi kuliko Uingereza kwasababu ya maisha yake kuwa chini. Kwenye vita za dunia yeye ndiyo alikuwa anawauzia silaha na aliajiri wanajeshi wengi sana. Sasa ukikimbilia kuangalia GDP, Uingereza alikuwa kamwacha Marekani mbali sanaa, lakini kwa PPP Marekani alikuwa kamuacha Uingereza mbali sana.

Hivyo bwana Jay One, Uchumi ni kitu kipana sana na ningezungumzia hapa mambo ya vita kuonesha udhaifu wa hoja yako lakini sina muda kwasasa.......

JF inahitaji nondo kama hizi, najua @magonjwamtambuka anaona nyota tu hapa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story hizi za kumanghushi yalikuwa yanasikika tangu 1917 lakini mpaka sasa Urusi inadunda kama kawa, actually kwenye miaka ya 1950s na earily 1960s Uchumi wa Urusi aikuwa inaongoza kiuchumi Duniani, hilo huwa alisemwi?

Kazi zenu kutabiri kifo cha Urusi kila kukicha, media za magharibi zimewachota akili kweli kweli mnarudia rudia propaganda za mataifa ya magharibi bila ya kufanya tafiti zakina kwanza - mnatekwa nyara na CNN, Fox News, BBC, Al Jazeera nk; mna amini kwamba kila wasemalo ni Gospel truth!!

Stop being stupid..
Don't think every body has poor IQ like you do. Ww ndio una preach gospel with no data. Poor you. It seems ur shuleless kabisa ww. Still working on propaganda tu.



Texas
• GDP:
$1.6 trillion
• Country w/ similar GDP: Russian Federation ($1.7 trillion)
• Texas population: 28.3 million (Russian Federation: 144.5 million)
• Texas GDP per capita: $57,077 (Russian Federation: $11,441)
The second largest state economy in the country, the GDP of Texas rivals that of world superpower Russia. Russia's economy depends on gas, though not as much as many other nations on this list. About half of the country's exports are petroleum. Similarly, Texas is the top oil and natural gas-producing state in the U.S. Though they have similar GDPs, Texas has a GDP per capita roughly five times that of Russia.
 
Na uwepo wa miji ya chini ya ardhi itakuwa ni wewe tu na Urusi mnayefahamu, na Marekani haijui wala hukuwahi kuisikia.
KAMA WEWE NDIYO UNACHOFANYIWA HICHO ENDELEA MAANA UTAMU WAKE UNAUJUA LAKINI KAA UKIJUA YA KUWA MAREKANI PAMOJA NA NATO KWA PAMOJA WAKIPIGANA NA MRUSI NA KAMA WATATUMIA CONVETIONAL WEAPONS BASI HIYO VITA ITADUMU MIAKA ZAIDI YA 10 NA MSHINDI HAJULIKANI, LAKINI IKITOKEA UNCONVERSIONAL WEAPONS ZIKATUMIKA BASI US WATU 160.0 MIL. WATAAGA DUNIA NA URUSI 5.0 MIL. WATAAGA DUNIA WHY KWA SABABU URUSI NDIYE MWENYE MIJI MINGI ILIYOJENGWA CHINI YA ARDHI KULIKO NCHI YYTE NA HII NI KWA AJILI YA KUJIHAMI VS NUCLEAR EXCHANGE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin, ataendelea kuichokonoa US, ila iko siku haina jina, US watampiga miti na hataamini utakuwa ndio mwisho wake..!! Mark my words
Hivi marekani aliwahi kushinda Vita gani....pengine ile ya irak na libya
 
Kichwa kimejaa mavi unazungumzia uchumi imara au nguvu za kijeshi....Marekani anahangaika na North Korea kila siku wakati north Korea Ina uchumi mbovu kuliko hata Tanzania yako ya jiwe, bila Urussi dunia yote ingetawaliwa na Marekani....god bless Russia state

Sent using Jamii Forums mobile app
Vijitu vingine vimekua hiki kipindi Cha Chuck noris,Rambo,Van Damme na Anold.
Haviijui Moscow vizuri.
Vimebakia kusema uchumi uchumi.
Vinadjani uchumi ndio Lila kitu.
Kama uchumi ni kila kitu Leo hi Marekani wangekua Mabingwa wa Soccer wa kudumu.nadhani World cup lingekua Mali yao.
Marekani anapambana na kikundi Cha Watalabani kwa kushirikiana na washirika wake.Urusi alipambana na waafghanistani wakisaidiwa na Us, Uk,Pakistan,China,Saudia,na vinchi vingine vingi.
 
Ni kweli kwamba uchumi Mkubwa ni ngao muhimu ktk vita LAKINI SIYO KILA WAKATI mfano hakuna aliyetegemea COSSOVO ingeisumbua NATO kiasi kile
 
Hivi marekani aliwahi kushinda Vita gani....pengine ile ya irak na libya
Vita ambazo Marekani amepigana akiwa peke yake na akashinda ni zile za miaka zaidi ya 100 iliyopita. Mwaka 1846-1848 alipigana na Ufalme wa Mexico na kumnyang'anya majimbo kama California, Utah, Nevada, New-Mexico, Colorado, Arizona na Wyoming.

Mwaka 1898 Marekani aliutwanga Ufalme wa Uhispania na kumnyang'anya majimbo kama Ufulipino, Puerto Rico na Guam.

Mwaka 1812-1814 Marekani alitwangwa na Muingereza baada ya kutaka kuvamia Canada na kuigeuza kuwa jimbo lake. Muingereza alimkung'uta hadi akafika pale mtaa wa Columbus na kuchoma moto Ikulu yote ya Marekani (The White House) ambapo walifanikiwa kuokuoa tu picha ya Raisi George Washington.

Akiwa ameshirikiana na mataifa mengine:
Mwaka 1805 Marekani akiwa na Ufalme wa Uswidi walivamia Tripoli na kuanzisha vita ya kwanza ya Barbary (The First Barbary War). Hili lilisababishwa na wafalme wa kiarabu kuwatumia maharamia kuteka meli za biashara za Marekani na kuwaletea utajiri. Hii ndiyo ilikuwa vita ya kwanza jeshi la Marekani lilipigana nje ya mipaka ya Bara la Marekani na kupata mafanikio makubwa sana.

Vita vya kwanza na vya pili vya dunia mchango wa Marekani kijeshi ulikuwa ni mkubwa mno, japo sasa haifahamiki kama Marekani angeweza kusimama peke yake dhidi ya Ufalme wa Ujerumani (Imperial Germany) au Ujerumani ya Wanazi (NAZI Germany) kama ambavyo Uingereza na Urusi walisimama.

NB: Vita nyingine ndogo ndogo ndiyo kama zile za Afghanistan, Iraq na Japan kipindi cha Commodore Perry.
 
Back
Top Bottom