Bado sana hujui Military wars..!! Go, search and learn..!!
You better also search and learn....More to it, try to be somehow objective in your analysis...
Bado sana hujui Military wars..!! Go, search and learn..!!
marekani pia anayo lakini unachoshindwa kujua ni kwamba ikitokea vita makombora ya urusi yatafika marekani kwenye majimbo yake muhimu ndani ya nusu saa tu ila marekani itatumia zaidi ya masaa mawili kurusha kombora kufika majimbo muhimu ya urusi. kama unajua kusoma vizuri ramani utanielewa. hivyo marekani anajihani kwa kambi nyingi ambazo hazitaweza kufanya kazi kwa urusiWakati huo marekani yeye hans bomber za kurusha makombora kutokea new york ama California mbona mnapenda kujitoa ufahamu kiasi hiki jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
hao wamarekani weusi uwa wanatoa point dhaifu sana hasa ya uchumi wa russia dhaifu sijui nini, putin alisema kuwa ikitokea vita na marekani ni nusu saa tu vita ina kuwa imeisha, sasa hapo uchumi imara utasaidia nini? uchumi dhaifu zungumzia nchi kama Iraq, somalia , DRC ambazo zitafanya vita za muda mrefu hivyo inahitaji uchumi mkubwa ili kuendelea na vitaKichwa kimejaa mavi unazungumzia uchumi imara au nguvu za kijeshi....Marekani anahangaika na North Korea kila siku wakati north Korea Ina uchumi mbovu kuliko hata Tanzania yako ya jiwe, bila Urussi dunia yote ingetawaliwa na Marekani....god bless Russia state
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita ni techologia mambo yakuwa na base Nying yalishapitwa na mda bl kuwa Na strategic base tu Ndio maana ht putin kasema hatutoweza weza kuingia kwenye mashindano ya silaha Na bajet ya jeshi itakua ni Hyo Hyo hatuto ongeza@@@ hpo ndipo nilipo muona Huyu jamaa ni smart sana amekwepa lile jinamiz LA Soviet kutumia pesa Nying kwenye silahamarekani pia anayo lakini unachoshindwa kujua ni kwamba ikitokea vita makombora ya urusi yatafika marekani kwenye majimbo yake muhimu ndani ya nusu saa tu ila marekani itatumia zaidi ya masaa mawili kurusha kombora kufika majimbo muhimu ya urusi. kama unajua kusoma vizuri ramani utanielewa. hivyo marekani anajihani kwa kambi nyingi ambazo hazitaweza kufanya kazi kwa urusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Kuna viji-afisa usalama vya JF ukivileza ukweli vinapeleka taarifa Lumumba mkuu wanakupoteza....hao wamarekani weusi uwa wanatoa point dhaifu sana hasa ya uchumi wa russia dhaifu sijui nini, putin alisema kuwa ikitokea vita na marekani ni nusu saa tu vita ina kuwa imeisha, sasa hapo uchumi imara utasaidia nini? uchumi dhaifu zungumzia nchi kama Iraq, somalia , DRC ambazo zitafanya vita za muda mrefu hivyo inahitaji uchumi mkubwa ili kuendelea na vita
Uchumi wa Russia hata haufikii California State, wala Texas, wala New York, yaani ukichukua Russia GDP iko nyuma ya California kwa mbali sana, to make you understand kidogo tu, California alone GDP is twice that of Russia, Dec 2018 GDP.. au Texas au New York zimeipita Russia sana tu kiuchumi..!!
So US is the Super Power if compared to Russia, na hakuna nchi duniani itakuwa na nguvu ya kijeshi kali huku uchumi wake ni dhaifu.. So Russia military is weaker compared to US military due to economy..!! US military budget 2018 was $ 700 bil, while Russia military budget was $ 40 bil..
So just using the common sense, kama ww muelewa utajua kabisa Russia can not ever ever be able to engage in war with US.. Hana military muscles to sustain in the war for months..!! US GDP Dec 2018 $ 22 trillions.. Russian GDP 2018 $ 1.3 trillions
Vita vinahitaji uchumi imara kabisa..!!
Now njoo na data zako za mapenzi kwa Russia bila kuijua kiundani..!! Russia sio kwamba ni dhaifu kwa mataifa mengine, ila unapolinganisha au kutaka kusema anataka kuchuana na US hapo ndipo unajidanganya 100%, hayuko ktk level ya US in every step..!!
US ni kitu kingine kabisa..!! Putin mwenyewe kakiri muda US is only Super Power in the world..!! Ww nani Lumumba sasa? Kwanini unajidanganya hivyo?
Putin says accepts U.S. is sole superpower, dilutes Trump praise | Reuters
Not true.. US ana makombora ya nuclear pale turkeymarekani pia anayo lakini unachoshindwa kujua ni kwamba ikitokea vita makombora ya urusi yatafika marekani kwenye majimbo yake muhimu ndani ya nusu saa tu ila marekani itatumia zaidi ya masaa mawili kurusha kombora kufika majimbo muhimu ya urusi. kama unajua kusoma vizuri ramani utanielewa. hivyo marekani anajihani kwa kambi nyingi ambazo hazitaweza kufanya kazi kwa urusi
Indeed, Vietnam War and The Bay of Pigs are solid proofs of your assertions!Kwenye "Conventional War" hakuna nchi humu duniani inaweza ikapambana na Marekani, hata mataifa yooote yaungane, atawapiga kwa "Knockout" tena mapema kabisa.
The US has the Battle Hardened Force no any country can match. The country like Russia falls far behind them by 50 solid years, even the Russians know this and that's why their military strategy is always defensive. Only idiots will argue this.
They will never forget those listed incidentsIndeed, Vietnam War and The Bay of Pigs are solid proofs of your assertions!
unadhani ikitokea vita , urusi itaanza kupiga nchi zipi? jibu ni kwamba , ndani ya robo saa , ulaya na nchi za uarabuni na Asia ambazo zipo jirani naye na hazina ushirika naye ama kuonekana ni mshirika wa marekani tayari zitakuwa ni historia, na hapo itabaki miamba miwili ulimwenguni yaani urusi na marekani ndio watakaopigana
turkey ndio ya kuitisha urusi? you must be kidding. turkey akitupiwa makombora matatu tu ya satan 2, mchezo umeisha hapo na hata marekani hatoingilia kwa hofu kuu
Hesabu za gharama za uzalishaji wa silaha za nyuklia haziko wazi sana na mara chache sana kuwa 'published' mfano kitabu hiki Atomic AuditHata leo hii sisi tukiwa na Nyuklia Warheads hata mbili tu, tutaheshimika sana na watajipanga sana katika kuzungumza na sisi.
USA kweli ana nguvu kubwa katika Millitary hakuna ubishi katika hili ila elewa fika hawezi kudiriki kuingia vita na mataifa makubwa anajua athari zake Kiuchumi..Putin, ataendelea kuichokonoa US, ila iko siku haina jina, US watampiga miti na hataamini utakuwa ndio mwisho wake..!! Mark my words
Hahahahahaha......
Hitler ya wajerumani walipigana vita karibu ulimwengu wote kwa wakati mmoja..mpaka kuja kumwangusha ilichukua miaka sita..hapo kumbuka mataifa yote makubwa kuanzia Uingereza,Ufaransa,USA,Soviet Union etc...Uchumi wa Russia hata haufikii California State, wala Texas, wala New York, yaani ukichukua Russia GDP iko nyuma ya California kwa mbali sana, to make you understand kidogo tu, California alone GDP is twice that of Russia, Dec 2018 GDP.. au Texas au New York zimeipita Russia sana tu kiuchumi..!!
So US is the Super Power if compared to Russia, na hakuna nchi duniani itakuwa na nguvu ya kijeshi kali huku uchumi wake ni dhaifu.. So Russia military is weaker compared to US military due to economy..!! US military budget 2018 was $ 700 bil, while Russia military budget was $ 40 bil..
So just using the common sense, kama ww muelewa utajua kabisa Russia can not ever ever be able to engage in war with US.. Hana military muscles to sustain in the war for months..!! US GDP Dec 2018 $ 22 trillions.. Russian GDP 2018 $ 1.3 trillions
Vita vinahitaji uchumi imara kabisa..!!
Now njoo na data zako za mapenzi kwa Russia bila kuijua kiundani..!! Russia sio kwamba ni dhaifu kwa mataifa mengine, ila unapolinganisha au kutaka kusema anataka kuchuana na US hapo ndipo unajidanganya 100%, hayuko ktk level ya US in every step..!!
US ni kitu kingine kabisa..!! Putin mwenyewe kakiri muda US is only Super Power in the world..!! Ww nani Lumumba sasa? Kwanini unajidanganya hivyo?
Putin says accepts U.S. is sole superpower, dilutes Trump praise | Reuters
In the Vietnam war actually the US won the war and the Vietnamese won the battle although the stalemate ended with massive human loss to the Vietnamese than the Americans.Indeed, Vietnam War and The Bay of Pigs are solid proofs of your assertions!
Hlo Ndio ambalo aliwahi kuzungumza Bwana putinunadhani ikitokea vita , urusi itaanza kupiga nchi zipi? jibu ni kwamba , ndani ya robo saa , ulaya na nchi za uarabuni na Asia ambazo zipo jirani naye na hazina ushirika naye ama kuonekana ni mshirika wa marekani tayari zitakuwa ni historia, na hapo itabaki miamba miwili ulimwenguni yaani urusi na marekani ndio watakaopigana
In the Vietnam war actually the US won the war and the Vietnamese won the battle although the stalemate ended with massive human loss to the Vietnamese than the Americans.
In the Bay of Pigs Invasion, actually that wasn't a war in the literal meaning of the word but rather a bungled invasion undertaken by about 1500 American based Cuban exiles assisted by a handful of the US paramilitary forces.
It is an undisputed fact that in a conventional battle neither the Cubans nor the Vietnamese who can presently withstand the American military muscle and only lunatics can deny this and I don't think you want to be one.
Hahahaha, mzee unataka Tanzania imiliki silaha za kinyuklia ???Nimeyaeleza haya kuonyesha kuwa tunaweza kujipanga kama nchi nasi "tukadhalisha" bidhaa hii kwa bei ndogo kabisa (wanafizikia na wataalamu wengine wa mbambo haya nadhani tunao). Tukifanikiwa hili, itasaidia kuwfanya mabunge ya Ulaya na kwingineko kufikiria mara mbili kutoa lugha za kuudhi kwa washirika wetu achilia sisi wenyewe. TUJITEGEMEE inawezekana.
Karibu wanaJF kuliangalia hili na kulijadili kwa mtazamo elimishi.
Mkuu, kwa kutumia kauli za Trump, nasema njia zote mbadala juu ya hili ziko juu ya Meza. Wao wawenazo wana nini na sisi tusiwenazo kwa nini!!Hahahaha, mzee unataka Tanzania imiliki silaha za kinyuklia ???