Uchumi wa Russia hata haufikii California State, wala Texas, wala New York, yaani ukichukua Russia GDP iko nyuma ya California kwa mbali sana, to make you understand kidogo tu, California alone GDP is twice that of Russia, Dec 2018 GDP.. au Texas au New York zimeipita Russia sana tu kiuchumi..!!
So US is the Super Power if compared to Russia, na hakuna nchi duniani itakuwa na nguvu ya kijeshi kali huku uchumi wake ni dhaifu.. So Russia military is weaker compared to US military due to economy..!! US military budget 2018 was $ 700 bil, while Russia military budget was $ 40 bil..
So just using the common sense, kama ww muelewa utajua kabisa Russia can not ever ever be able to engage in war with US.. Hana military muscles to sustain in the war for months..!! US GDP Dec 2018 $ 22 trillions.. Russian GDP 2018 $ 1.3 trillions
Vita vinahitaji uchumi imara kabisa..!!
Now njoo na data zako za mapenzi kwa Russia bila kuijua kiundani..!! Russia sio kwamba ni dhaifu kwa mataifa mengine, ila unapolinganisha au kutaka kusema anataka kuchuana na US hapo ndipo unajidanganya 100%, hayuko ktk level ya US in every step..!!
US ni kitu kingine kabisa..!!
Putin mwenyewe kakiri muda US is only Super Power in the world..!! Ww nani Lumumba sasa? Kwanini unajidanganya hivyo?
Putin says accepts U.S. is sole superpower, dilutes Trump praise | Reuters