FaizaFoxy,
Middle East Respiratory Syndrome ni ugonjwa hatari ambao binadamu huupata kutoka kwa wanyama jamii ya ngamia wanaopatikana kwa wingi maeneo ya Masharaki ya Kati.
Ugonjwa huu...
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema waasi nchini Syria wamewauwa wanajeshi 40 wa serikali na kuwajeruhi wengine zaidi ya 80, katika mashambulizi waliyoyafanya katika jimbo la Idlib.
Shirika la...
The Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) has unveiled, for the first time, the wreckage of a highly-advanced American surveillance aircraft that the elite Iranian defense forces shot down last...
Mamia ya safari za ndege zimefutwa nchini Ujerumani kutokana na kimbunga kikali cha msimu wa baridi ambacho kimeleta shida kaskazini mwa Ulaya, huku maelfu ya nyumba zikiachwa bila umeme kutokana...
Legend wa Filamu China, Jackie Chan ameahidi kutoa Yuan Million moja (wastani wa Million 330 za Kitanzania) kwa atakayefanikiwa kugundua kinga ya virusi vya corona “Sayansi na Teknolojia ndio...
Viongozi wa Afrika wamelaani pendekezo la mpango wa amani Mashariki ya Kati ulitolewa na Rais Donald Trump wa Marekani, wakisema haufuati sheria, wakichukua fursa hiyo Kilele cha mkutano wa...
Miaka thelathini imekamilika leo tangu mtetezi wa wanyonge Nelson Mandila Madiba, rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini kuachiliwa huru, baada ya kuzuiliwa kwa kipindi cha miaka 27 wakati wa...
China’s biggest military technology company has set up a national laboratory to research advanced policing technologies such as crime prediction and emotion recognition, giving its first wave of...
Marekani awashtaki wanajeshi ''wadukuzi'' wa Kichina..
Zaidi ya Wamarekani milioni 147 waliathiriwa mwaka 2017 wakati wanaodaiwa kuwa ni wadukuzi, ambao ni wajumbe wa Jeshi la Ukombozi la Wachina...
Viongozi wa upinzani wnasema kwamba wanatishiwa na wanajeshi
Wanajeshi na maafisa wa polisi waliojihami nchini El Salvador wamevamia bunge , wakitaka kuidhinishwa kwa mkopo wa dola milioni 109 ili...
Nchi ya Somalia imetangaza uvamizi wa nzige katika maeneo mbalimbai ya nchi hiyo kama janga la kitaifa huku Wizara ya Kilimo, ikisema kuwa hatua hii imefikiwa baada ya wadudu hao kuendelea...
Israel has begun to draw up maps of land in the occupied West Bank that will be annexed in accordance with U.S. President Donald Trump's proposed peace plan, Prime Minister Benjamin Netanyahu said...
Mwanajeshi mmoja nchini Thailand amewashambulia kwa kuwafyatulia risasi watu kadhaa na kuua idadi "kubwa" ya watu.
Tukio hilo limetokea katika mji wa Nakhon Ratchasima pia ukijulikana kama Korat...
je madai ya marekani yana ukweli kiasi gani?au wanatafuta sababu,maana uchaguzi umekaribia
===
Ripoti: Iran yasogeza silaha za maangamizi kuishambulia Marekani
Ripoti: Iran yasogeza silaha za...
Democratic Party wapo kwenye wakati mgumu( establishments).Joe Biden ndio Alikuwa tegemeo ila inaonekana establishment wamechokwa.Sasa Kati ya hilo group nani unafikiria atamshinda Trump ?.Je...
China yaishukuru Iran kwa kutuma misaada ya kitiba kwa ajili ya janga la Corona
Feb 08, 2020 08:07 UTC
[https://media]
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu...
Msemaji wa Idara ya Mahakama nchini Iran Bw. Gholam Hossein Esmaili, amesema Mahakama Kuu ya nchi hiyo imemhukumu kifo raia mmoja wa Iran ambaye ni jasusi wa Shirika la Upelelezi la Marekani, CIA...
Raisi Masisi akila kiapo wakati akiapishwa kuwa raisi wa Botswana mwaka 2018. Picha na AFP
Maisha ya raisi wa Botswana Mokgweetsi Masisi yako hatarini baada ya mafisadi wakishirikiana na baadhi...
US military confirms 2 troops killed & 6 injured in Afghanistan by ‘individual in Afghan uniform’
At least two US service members were killed and six others injured after an individual in “Afghan...
Mahakama ya Katiba nchini Malawi leo Februari 3, 2020 imebatilisha Matokeo ya Urais ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Mei 2019 kutokana na kasoro kwenye uchaguzi huo.
Wananchi wametanda mitaani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.