Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema upo uhusiano kati ya mabadiliko ya hali ya hewa na nzige waliovamia nchini Ethiopia na katika eneo la Afrika Mashariki.
Guterres...
Kukombolewa Khan Tuman; ushindi muhimu nchini Syria
Jan 31, 2020 11:59 UTC
[https://media]
Vikosi vya jeshi la Syria vimelikomboa eneo la Khan Tuman katika operesheni za kuyatimua makundi ya...
Dar es Salaam. Siku mbili baada ya Bunge la Seneti kumuondolea mashtaka yaliyokuwa yakimkabili Rais wa Marekani, Donald Trump amewafukuza kazi maofisa wake waandamizi wawili waliotoa ushahidi...
Wizara ya Ulinzi nchini Marekani (Pentagon) imetahadharisha juu ya ongezeko la kujiua maafisa wa jeshi la anga la nchi hiyo.
Katika indhari mpya ya Pentagon kuhusiana na ongezeko la kujiua askari...
Mwanajeshi huyo ameingia eneo la madukani huku akiwa na bunduki iliyojaa risasi, akaanza kumiminia kila yeyote bila kujali nini wala nani, na mpaka sasa wana usalama wanapambana naye...
A Thai...
Baada za kupamba moto mivutano baina ya Moscow na Ankara kuhusiana na hali inayotawala huko kaskazini mwa Syria, Rais wa Uturuki ametangaza kuwa, nchi yake haitambui rasmi suala la kuunganishwa...
Leo ule mchakato wa uingereza kujitoa umoja wa ulaya unakamilika rasmi na hivyo rasmi uingereza haitokuwa mwanachama wa ulaya ifikapo saa nane usiku kwa saa afrika ya mashariki.
BBC inaripoti...
Nimefuatilia changamoto inayoikumba China katika kukabiliana na virus vya Corona nikajiuliza hivi hii ingetokea hapa kwetu ingekuwaje. Ninavyoamini China ni kati ya nchi iliyoendelea sana katika...
NA MOHAMMED ABDULRAHMAN
Suala la Libya bado limetugawa wengi. Tukijiuliza nini suluhisho, nini mustakbali wa taifa hili.
Majuma machache Yaliopita, viongozi wa karibu nchi 12 na Wakuu wa Umoja...
Salaaam wakuu
Kuna tetes kwamba china imepeleka ombi mahakaman kuomba wapewe ruhusu ya kuwachoma sindano ya sumu wote walio athirika na virus vya corona coz wameshindwa kuvizuia kusambaa na iyo...
Rais Donald Trump amewafuta kazi maafisa wawili waandamizi waliotoa ushahidi dhidi yake katika kesi ya kutokuwa na imani naye iliyokuwa inamkabili.
Balozi wa Marekani kwa Muungano wa Ulaya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Qatar Airways amesema kuwa, shirika hilo liko katika mazungumzo ya kununua asilimia 49 ya hisa ya shirika la taifa la uchukuzi la RwandAir.
Kununua hisa...
Kikosi cha Jeshi cha Anga za Juu cha Marekani ambacho ni tawi jipya la Jeshi la Marekani kimefanya jaribio la kombora la balistiki la Minuteman III.
Kikosi hiki cha masuala ya kijeshi katika...
Kiongozi wa Al-Qaeda katika Rasi ya Uarabuni AQAP ameuawa na vikosi vya Jeshi la Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha.
Qasim al-Raymi, ambaye ameongoza kundi hilo tangu mwaka...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus ameonya kuwa ulimwengu unakabiliwa na uhaba wa vifaa maalum vya kufunika uso pamoja na vifaa vingine vya kujikinga na virusi vya...
Rais wa Malawi, Peter Mutharika amekosoa uamuzi wa Jumatatu wa Mahakama ya Kikatiba kuwa ulikuwa wenye kujaa dosari ambazo zilipaswa kurekebishwa.
Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kutolewa...
Kuanzia leo nakuendelea nitakuwa nawaletea majina ya mataifa ya Afrika alphabetically na historia ya waasisi wa mataifa hayo.
1.ALGERIA.
Ahmed Ben Bella alizaliwa 25 Dec 1916 alimuoa Zohra...
Serikali ya Rwanda inajadiliana na Qatar Airways kuwauzia hisa 60% ikiwemo kuwauzia na uwanja wa ndege.
Hii imekuwa faida kwa Qatar kwani Kuna njia hawaruhusiwi kupita Ila RwandaAir wanaenda...
The endangered pangolin may be the link that facilitated the spread of the novel coronavirus across China, Chinese scientists said Friday.
At least 31,000 people have been infected and 630 killed...
Wachimbaji wawili wa dhahabu wamekufa na wengine karibu 20 wamenaswa chini ya ardhi nchini Zimbabwe baada ya miamba ya migodi nchini humo kuporomoka.
Watu hao walikuwa wakifanya kazi kinyume cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.