Morning an esteemed member of JF. Hope you are all doing great.
I'm very excited to see Malaysia has begun implementation of a SUGAR TAX on sweetened beverages. As you know, high sugar contents...
Waziri wa Mazingira wa Malaysia, Yeo Bee Yin akiwa kwenye ziara Pengani, leo, Januari 20 amesema kuwa makontena 110 ya taka yaliyoingizwa nchini humo kutoka nchi mbalimbali yatarudishwa kwenye...
Photo credit: Greg Lynch/The Wade Brothers, from left to right: Zachary, Aaron, Nigel, and Nick
Something really incredible just happened in the Wade household. Ohio quadruplet brothers Zachary...
Utafiti uliofanywa na wizara na Unicef
Utafiti uliofanywa na Wizara ya Elimu kwa ushirikiano na UNICEF umebaini kuwa zaidi ya watoto milioni 3 hawahudhurii masomo nchini Sudan
Watoto wa Sudan...
Hii airport ya uwezo wa kuhudumia abiria milioni 100 kwa mwaka nadhani itakuwa mfuniko kwa nchi nyingi sio Africa peke yake!!
=====
With a $5 billion worth airport facility, Ethiopia will soon...
Shirika la wanahabari wasiokuwa na mipaka, limewataka maafisa wa usalama wanaochunguza mauaji ya wanahabari watatu wa urusi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati mwaka 2018 kutoa ripoti kamili ya...
In a scene that could have come right out of ‘Top Gun’, India seems to have knocked its own helicopter out of the sky with a missile aimed at intruding Pakistani jets, according to media reports...
Mahakama yaamuru Netflix kufuta filamu inayoonyesha Yesu kama mtu anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja
Jaji huko Brazil ameamuru Netflix iache kuonyesha filamu "ya kufuru" ambayo inaonyesha Yesu...
Misri, Ethiopia na Sudan wamefikia makubaliano ya awali ya kujaza maji na shughuli nyingine kwenye bwawa kubwa linalojengwa Mto Nile.
Taarifa ya pamoja iliyotolewa na nchi tatu, pamoja na...
Imeelezwa kuwa nchi ya Ethiopia inaanza programu ya kufundisha lugha ya Kiswahili katika ngazi ya cheti, stashahada na shahada katika Chuo Kikuu cha Addis Ababa, ifikapo Septemba 2019...
IRAN WILL NEVER HAVE A NUCLEAR WEAPON!
Washington (AFP) - Rais Donald Trump Jumatatu alirudia usisitizo wake kwamba Iran haitaruhusiwa kupata silaha ya nyuklia, huku kukiwa na mvutano juu ya...
Haipendezi na si ya kushabikia, lakini ngoja tuone "ubabe" wa Iran! Iran ana kila sababu ya "kumpiga" USA maana USA amemchokoza IRAN kwa kuua "mbabe " wao! Haya Iran uwanja ni wako!
Mikakati ya kiufundi ndio huamua matokeo ya mpira uwanjani. Unaweza kuwa na timu nzuri ikaambulia magoli mengi.
Hali kadhalika katika uwanja wa vita mikakati ya kivita almaarufu kama mbinu za...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe walilazimika jana kuondolewa kwa dharura kutoka ukumbi wa sinema baada ya waandamanaji kujaribu kuingia ukumbuni na kuvuruga onesho lililokuwa...
Israel imeanza hii leo kuchimba eneo la mpaka wake na Lebanon kwa ajili ya kufunga mfumo wa kujilinda utakaopita chini ya ardhi hii ikiwa ni mujibu wa jeshi la nchi hiyo.
Luteni kanali Jonathan...
Mchezaji mpira maarufu wa Kikorea katika ligi kuu nchini England katika Club ya tottenham Hotspurs amelalamika katika vyombo vya habari kuwa anabaguliwa (ubaguzi wa rangi) sasa tupige picha hawa...
Tarehe 13 mwezi Octoba mwaka 1961, mwanamfalme Louis Rwagasore wa iliyokuwa Burundi (ikiitwa Urundi wakati huo) aliuawa kwa kupigwa risasi na mtu asiejulikana.
Urundi ilikuwa chini ya utawala wa...
Roketi kuanza kusafirisha watu kati ya miji kwa dakika tu
Source: Roketi kuanza kusafirisha watu kati ya miji kwa dakika tu
Hivi karibuni watu wataweza kusafiri kutoka mji mmoja hadi mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.