Kombora la kwanza lenye teknolojia ya kisasa la Avangard Hypersonic limeanza kufanya kazi, wizara ya ulinzi ya taifa hilo imesema.
Hawakusema ni wapi kombora hilo lilifanyiwa majaribio lakini...
Mzuqa wanajamvi!
Pichani hapo chini ni Raymond Matimba mzimbabwe aliyekulia Manchester Uingereza na kubadili dini kuwa Muislam na kutorokea Syria na vijana wengine 2014 na kujiunga na kundi la...
Waziri Mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane ametangaza kwenye chama chake cha All Basotho Convention (ABC) kwamba atajiuzulu.
Msemaji wa ABC ambacho ndicho chama tawala amesema kuwa Thabane atatangaza...
Marekani imesema ipo "tayari kujadiliana na Iran bila masharti" baada uhasama uliozuka baina ya nchi hizo kufuatia mauaji ya jenerali Qasim Soleimani.
Katika waraka wake kwa Umoja wa Mataifa...
Waziri Mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev ametangaza kuwa serikali imejiuzulu. Taarifa hiyo inakuja muda mfupi baada ya Rais Vladimir Putin kutoa hotuba yake ya kila mwaka ya kitaifa.
Kukubaliana na...
Habari za leo wanajukwaa
Nijikite moja kwa moja kwenye hoja, haya ni maoni yangu binafsi na ushauri binafsi.
Ningekuwa kiongozi mkuu wa Iran, ningeomba tukae meza ya mazungumzo na kiongozi wa...
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetoa wito wa fedha zaidi kwa ajili ya juhudi zake za kupambana na njaa katika nchi za kusini mwa Afrika ambazo watu wengi wanakabiliwa na ukosefu wa...
Huyo kijana ni mkimbizi aliyekimbia kutoka Burma kwenda Bangladesh, hakuwaacha wazazi wake ambao walikuwa hawana uwezo wa kutembea, aliwabeba mabegani mwake kwa muda wa Siku 7 mpaka alipofika...
7 ACTUAL REASONS WHY AFRICANS ARE POOR
The exist many reasons why africans are poor. Knowledge is power and success is a treasure. Knowledge is the only true key to success.
There is a saying...
Kama unasafiri au unategemea kwenda nchini China kimasomo, kibiashara au kutalii itakubidi uwe offline kwa muda mpaka utakapo toka huko ndiyo uanze kupatikana kwenye account zako za mitandao ya...
Baada ya aibu ya Jeshi la Iran kuweweseka na kuchanganyikiwa na kupiga kombora ndege ya abiria, na pia maandamano ya raia ya siku nne, Rais wa nchi hiyo amejitokeza na kuagiza jeshi litolee...
Ndege ya Ukraine iliyokuwa imebeba watu 180 pamoja na Wafanyakazi wake imeanguka karibu na Mji Mkuu wa Iran, Tehran dakika tatu baada ya kuruka ikitokea katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa...
.
Katika barua hiyo ilioandikwa Octoba tarehe 9 na kutumwa baada ya vikosi vya Marekani kuondolewa Syria, Bw. Trump alimuambia Erdogan: "Usijifanye kuwa na nguvu. Usiwe mpumbavu!"
Vyanzo vya...
Texas imetekeleza hukumu ya kwanza ya kifo kwa mwaka 2020 nchini Marekani, kwa kumuua kwa sindano ya sumu mtu aliyekutwa na hatia ya kumuua mkewe miaka 15 iliyopita kwa sababu alidai talaka...
Jeshi la Sudan linayashikilia makao makuu ya kikosi cha usalama wa taifa cha nchi hiyo ambacho awali kilikuwa kitiifu kwa rais aliyepinduliwa Omar al-Bashir, ripoti zinaeleza.
Mapambano yalianza...
The recent Ukrainian Airplane incident in which the plane was shot down by an Iranian cruise missile in the land of Iran just a minutes after having taken off in Tehran and claimed the lives of...
Shirika la kutetea haki za binadamu lililo na makao yake Mjini New York Marekani Human Rights Watch, limesema China inaweka mikakati ya kuidhoofisha mifumo ya kulinda haki za binadamu duniani...
NA MOHAMMED ABDULRAHMAN
Guinea Bissau taifa la Afrika magharibi lenye idadi ya wakaazi milioni moja na laki sita ni dogo, lakini limekuwa likigonga vichwa vya habari tangu lilipojinyakulia uhuru...
Reinhard Bonnke nadhani kizazi cha miaka ya 1990 hadi 2000 mwanzoni watakuwa wanamjua vyema huyu mhubiri ambaye mikutano yake ilikuwa inatikisa vilivyo.
RIP
======
German Pentecostal evangelist...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.