The SANA state news agency claimed missiles shot by aircraft caused limited damage to the T-4 air base, which is thought to be used by Iranian forces and allied Shiite militias.
“Our air defenses...
Chama cha Wanawake Wanasheria Malawi kimefungua kesi dhidi ya jeshi la polisi nchini humo kwa kushindwa kuchunguza kesi za ubakaji zilizoripotiwa dhidi ya baadhi ya maafisa wa polisi.
Mara baada...
Mzuqa,
Juzi tuikio la ajabu lilitokea Tehran Iran ambapo waandamanaji wanaopinga utawala wa Ayatollah walikwepa kukanyaga Bendera za Marekani na Israel walipokuwa wanaandamana kupinga utawala...
LONDON - Uingereza imelaani shambulio la kombora la Iran kwenye kambi za kijeshi nchini Iraq zilizokuwa zikikaribisha vikosi vya muungano vinavyoongozwa na Marekani pamoja na wafanyakazi wa...
Baada ya wiki kadhaa, hatimaye Baraza la Wawakilishi linataraji kupiga kura leo Jumatano kupeleka mashtaka dhidi ya Donald Trump mbele ya Bunge la Seneti.
Hii ni hatua ya mwisho kabla ya kuanza...
We are helping Apple all of the time on TRADE and so many other issues, and yet they refuse to unlock phones used by killers, drug dealers and other violent criminal elements. They will have to...
Kuna technology bora duniani zimefanya dunia isiwe sehemu salama ya kuishi.
Technology zingine zina uwezo wa kuharibu Jiji kwa dakika chache, kibaya zaidi nchi nyingi zinazidi kujikita kwenye...
Serikali ya Iran imetangaza kuwakamata watu kadhaa waliohusika kulipua kombora kimakosa na kuangusha ndege ya Ukraine.
Tukio hilo lilisababisha watu wote 176 waliokuwapo ndani ya ndege hiyo...
Mara tu baada ya mashambulizi kutekelezwa katika kambi mbili za kijeshi zinazotumika na majeshi ya Marekani nchini Iraq, Rais wa Marekani, Donald Trump alikuwa alihutubie taifa la Marekani kwa...
Rais Edgar Lungu amesema haikubaliki kwa watu wa nje kuamuru jinsi nchi za Afrika zinavyopaswa kuongozwa kwasababu Afrika inapaswa kuruhusiwa kuamua jinsi inavyojitawala badala ya kuamrishwa na...
Kateryna Gaponenko ambaye ni mke wa rubani wa ndege ya abiria ya Ukraine iliyoanguka muda mchache baada ya kuondoka kutoka uwanja wa ndege mjini Tehran amesema kuwa alimuonya mumewe asisafiri na...
Marekani imekataa kutoa visa kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif, ambaye alitarajiwa kuhudhuria mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa jijini New York Alhamisi wiki...
Hapa ndio waarabu na jamaii kama hizo zinapofeli
Kundi la waandamanaji limetaka Kiongozi wa Juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao baada ya kukiri...
Kuna msemo wa kiingereza husema hivi "mpe mbwa wako jina baya, kisha umuue". Mnamo tarehe 8 mwezi huu Raisi wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba jeshi la mapinduzi la Iran, ambalo ni sehemu...
Mwanamfalme wa Uingereza na mjukuu wa Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza, Harry pamoja na mkewe Meghan wamejaaliwa ku[pata mtoto wa kiume mapema asubuhi ya leo.
Meghan au kwa jina la kifalme...
Kwa hali hii inayoendele irani ni hatari kwa serikali,Wigi kashasema pawe na mazungumzo ya Amani bila hata kuwawekea magogo ila ukiangalia kwa undani hapa uonaona kabisa mgogoro unaendeshwa...
Maafisa kutoka nchini Marekani wamedai kuwa ndege ya abiria ya Ukraine Boeing 737-800 iliyoanguka nchini Iran ilitunguliwa kwa kombora la Iran.
Wakati huohuo Pentagon kupitia afisa wa juu wa...
Footage on state TV shows the vehicle disappearing inside the sinkhole in the city of Xining as people run away
Photo: Chinese rescuers prepare to lift a bus out of the ground after the road...
Rais wa Marekani bwana Donald Trump amezidi kuwa kituko duniani pale aliposikika akiwalaumu watoaji wa tuzo ya Nobel kwa kumpatia tuzo hiyo Waziri Mkuu wa Ethiopia na kumuacha yeye ambaye amefanya...
Rais wa zambia, Edgar Lungu ameandika barua kwa serikali ya marekani kutaka kuondoshwa kwa balozi wa nchi hiyo nchini zambia.
Hatua hiyo imekuja baada ya balozi huyo wa marekani nchini zambia Bw...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.