Naibu generali ndugu Mohammad Reza wa jeshi la walinzi wa mapinduzi ya Irani(IRGC) amesema kuwa licha ya kuwa Iran ina makombora yaliyo thabiti na inauwezo wa kuivamia USA kwa njia ya ardhini na...
Habari ya muda huu wachambuzi wa masuala ya dunia hasa yanayoendelea huko Mashariki ya Kati.
Kufuatia vuguvugu la vita kati ya Iran na Marekani, mpaka wakati huu Adui wa Marekani North Korea...
Katika hali isiyo ya kawaida,Iran imesema kuwa haitaikabidhi Boeing kile Kisanduku cha taarifa.
Yetu macho na masikio.
Iran will not give black box from crashed Ukrainian airliner to Boeing...
Vita sio jambo la kushabikia hata kidogo.takibani siku chache kumekua na kila dalili za nchi ya marekani na iran kutaka KUINGIA kwenye vita kutokana na migogoro yao iliyodumu kwa miongo mingi bila...
Mwili wa kijana mdogo uligunduliwa katika sehemu ya gurudumu la ndege ya Boeing 777 ya shirika la ndege la Air France iliyokuwa ikitokea Abidjan, Cote d'Ivoire, mapema Jumatano wiki hii, kwenye...
Kumbe Iran kuna vivutio vingi sana. Vya Utalii. Hakika nimetokea kuvutiwa sana na vivutio hivyo na jinsi wanavyotangaza.
Kwa kweli mwaka huu lazima niande nikashuhudie utajiri wa Utalii mchini...
Leo Jumanne televisheni ya taifa ya Oman imetangaza kuwa Afya ya Mfalme wa nchi hiyo inaendelea kuimarika na kwamba hatua za matibabu zinaendelea kama kawaida.
Mheshimiwa Qaboos bin Said...
Sasa imefahamika kwa picha za satelite kwamba Iran iliitungua ndege ya abiria ya Ukrain na kuuwa zaidi ya abiria 170. Canada wamekuja juu, German wamekuja juu na uingereza wamekuja juu...
Iran kwa mara nyingine imakana madai kuwa makombora yake yaliidungua ndege ya abiria ya Ukraine karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Tehran siku ya Jumatano.
Mkuu wa mamlaka ya anga amesema ana...
Source BBC swahili.
Uamuzi wa rais Donald Trump wa kumuua Qasem Soleimani, Jenerali wa vikosi vya Qudsi vinavyoungwa mkono na Iran umesababisha msururu wa maafa ambayo yameanza kushuhudiwa...
Serikali ya Sudan imefirisi mali za rais wao aliye itawala nchi hiyo kwa muda mrefu na kwa mabavu.
Pia serikali hiyo imekipiga marufuku chama kilichokuwa kinaongozwa na rais huyo.
Sudan...
Iran kwa mara nyingine imakana madai kuwa makombora yake yaliidungua ndege ya abiria ya Ukraine karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Tehran siku ya Jumatano.
Mkuu wa mamlaka ya anga amesema ana...
Baba mlezi wa IS awasaidia watoto zake.Alafu kuna watu wanadai US anapambana na Ugaidi.RIP Soleimani.
............................
Uamuzi wa rais Donald Trump wa kumuua Qasem Soleimani, Jenerali...
US President Donald Trump has sent a birthday message to North Korean leader Kim Jong-un, said South Korean National Security Advisor Chung Eui-Yong.
Speaking with reporters, the official, who...
Habari wanajamvi!
Hili taifa linaitwa Azabaijan watu wake wanaitwa Azeris. Ni taifa lililopakana na Iran, Georgia na Armenia na karibu wote ni Waislamu wa madhehebu ya Shia.
Azabaijan na...
Habari zilizojiri hivi punde ni shambulizi la maroketi mawili katika eneo la Green Zone huko Baghdad karibu na ubalozi wa USA.
Makombora hayo yamerushwa masaa kadhaa baada ya Rais Donald Trump...
Rwanda na Shirika la Ndege la Qatar zimeingia makubaliano ya TZS 3trilioni, ambapo Qatar itajenga, itamiliki (60%) na kuendesha uwanja mpya wa ndege wa kimataifa wa Rwanda.
Uwanja huo utaweza...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imemueleza Balozi wa Iran nchini humo kuwa inayazingatia mashambulizi ya makombora ya siku ya Jumatano asubuhi katika kambi mbili za jeshi la Marekani nchini Iraq...
Mwanzo Trump alisema kama Iran itaretaliate basi Marekani itagonga hadi cultural sites za Iran. Hata hivyo Iran imejibu.
Baada ya Iran kujibu, Marekani anakuja na propaganda kuwa hakufa mtu hata...
Maelfu ya Ngamia kusini mwa Australia watauawa kwa risasi kutoka kwenye helikopta kutokana na kuwepo kwa joto kali na ukame.
Zoezi hilo la siku tano limeanza Jumatano, jamii ya eneo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.