International Forum

News and Stories from rest of the World
Kama ingekua hivyo,Basi saa hivi,mheshimiwa mapanki angeshaweka mitambo sawa,na kifuatacho kingekua mkono tu,mapanki Hana Cha kuremba yule, Babu Trump angepagawa saa hivi,maana mapanki...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
UK prime minister succeeded where his predecessor repeatedly failed; getting Brexit legislation through Commons. The United Kingdom now has one foot out of the European Union's door after Prime...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
bush senior aliuondoa ubabe wa iraq ndani ya kuwait. clinton sikumbuki. ila nakumbuka ishu ya monika lewinski 🤣 bush mtoto alikomesha utawala wa talenan, akala kichwa cha saddam obama akala...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
In a show of military might, the US Air Force conducted a massive “elephant walk” exercise involving the launch of 52 F-35A Lightning II fighter jets in Utah, officials said. The state-of-the-art...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Shirika la upelelezi nchini Marekani, FBI liliwakamata raia wawili wa China mwishoni mwa juma kwa kosa la kupiga picha kinyume cha sheria kambi ya Jeshi la majini la Marekani huko Florida. Hili...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Daesh(ISIS) was created by the United states for it's Middle East Geopolitical interests and probably "other" interests. The aftermath of Daesh's creation saw the murder of thousands of innocent...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Australia is planning to kill more than 10000 camels amid high temperatures facing that nation. This act is against animal rights and it is not proper for a country relatively wealthy harbouring...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Maafisa wa polisi wakiwa kwenye eneo ambapo mhamiaji kutoka Mexico alijikata koo baada ya kukataliwa kuingia Marekani. (Picha: Reuters) Mhamiaji mmoja kutoka Mexico anayekadiriwa kuwa katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kote duniani kumezoeleka mashindano ya urembo ya binadamu, ila amini usiamini nchini Saudi Arabia, kwa sasa kunafanyika mashindano ya urembo ya mnyama anayependwa sana nchini humo, ngamia.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wachunguzi wa Iran wamedai wafanyakazi wa ndege ya abiria ya Ukraine ambayo ilianguka karibu na Tehran hawakufanya mawasialiano ya redio kuomba msaada na walikuwa wakijaribu kurejea kwenye uwanja...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa (magnitude) 4.9 limekumba eneo la Borazjan nchini Iran, Mamlaka ya Jiolojia ya Marekani (USGS) imeripoti. Imesema tetemeko hilo limetokea karibu na kinu cha nyuklia...
3 Reactions
89 Replies
9K Views
Shirika la Afya Duniani WHO limesema nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo mlipuko wa ugonjwa wa surua mkubwa zaidi ulimwenguni umesababisha vifo vya maelfu ya watu ijapokuwa ugonjwa huo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Uchunguzi mpya wa maoni umeonyesha kuwa, raia wengi wa Ujerumani wanaamini kwamba, Rais Donald Trump wa Marekani ni hatari kubwa zaidi kwa usalama na amani ya dunia. Ripoti iliyochapishwa na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
‘Mwaka Mpya’ Mbinu ya Wanademokrasia Kusahaulisha Malengo ya Umri Mwaka 325 AD Kanisa Katoliki lilifanya mkutano mkuu wa kwanza huko Nicea. Mkutano huu uliitishwa na Mfalme Constantine (mpagani)...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Serikali ya Washington imeamua kumuadhibu Makamu wa Kwanza wa Rais, Taban Deng Gai. Marekani inaendelea kuiwekea shinikizo Juba wakati mchakato wa amani unaendelea kucheleweshwa. Serikali ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
As long as I am President of the United States, Iran will never be allowed to have a nuclear weapon. Good morning. I'm pleased to inform you: The American people should be extremely grateful and...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Utafiti umeonesha nchi za Afrika zinamkubali Rais Trump kuliko Marekani yenyewe hata baada ya Trump kuzitukana nchi za Afrika kwa tusi kubwa “shithole countries “. Ndio maana hata viongozi wabovu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati moto ukiwaka kwa kasi baina ya Marekani na Iran ghafla bwana Putin akapiga ziara ya kushitukiza Syria kisha akaelekea Uturuki kukutana na Edorgan. Binafsi nikajua ziara yake inahusiana na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mzuqa wanajamvi! Yule contractor aliyeuwawa na waandamanaji na vikundi uchwara vya kigaidi vyenye vimelea na Hezbollah na Iran katika ubalozi wa Marekani Baghdad na ambaye kifo chake kinaweza...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Jibu la swali hili ni HAPANA kwasababu ifuatayo: China [emoji630] iliitangazia dunia May 2019 kuwa itapingana na vikwazo vyovyote vya marekani vya kumzuia kununua mafuta kutoka Iran. India...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom