International Forum

News and Stories from rest of the World
Serikali ya Ufilipino imeamuru kuwaondoa raia wake kutoka Iraq huku walinzi wa pwani wakisema wanapeleka meli kwenda Mashariki ya Kati ili kuwapeleka raia wake kwenye usalama ikiwa hali ya uadui...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
November 10, 2019 La Paz, Bolivia Jeshi lamlazimisha Rais kujiuzulu Bolivia Rais wa Bolivia Mhe. camarade Evo Morales ameachia ngazi bila kutegemea leo jumapili na kutangaza kujiuzulu kufuatia...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Watu tisa wamekufa na wengine 30 wamejeruhiwa katika mlipuko katika mji wa Fotokol kwenye mpaka wa Cameroon na Nigeria. "Kijana alichukua kifaa cha kulipuka akidhani ni kipande cha chuma na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndege maalumu za mashambulizi mazito (B-1B Lancer Bombers) zawasili nchini Saudi Arabia Jeshi la anga la nchini Marekani limetuma idadi isiyojulikana ya ndege maalumu za mashambulizi mazito na...
3 Reactions
72 Replies
10K Views
Ukisoma andiko la "the great Israeli plan for the 21ST century" utabaini hili. Muizraeli au Zionist ndiye Masterplanner; ndio anae ipressure USA kitambo sana since 9/11 afanye anayoyafanya sasa...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
The U.S. Air Force is sending six B-52 Stratofortress bombers to Diego Garcia, a military hub that acts as a strategic location for operations in both the Middle East and the Pacific. Citing a...
4 Reactions
74 Replies
7K Views
Adel Abdul Mahdi Kaimu Waziri Mkuu wa Iraq, Adel Abdul Mahdi amesema kuwa, Luteni Jenerali Qassem Soleimani alielekea nchini Iraq akiwa mgeni rasmi wa serikali na alikwenda na ujumbe wa Saudi...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameuonya vikali utawala wa kifalme wa Aal-Saud dhidi ya kufanya maamuzi yoyote ya kipuuzi dhidi ya taifa hili na kusisitiza kwamba Jeshi la Iran...
9 Reactions
251 Replies
22K Views
Rais Trump amesema ameorodhesha maeneo 52 ya Iran watakayoyashambulia kwa nguvu na haraka iwapo ataguswa Mmarekani au eneo lolote la Marekani kama kulipa kisasi Jana, Iran yenyewe ilibainisha...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
Published: 7 Jan 2020 | 14:01 GMT Just hours after attending Christmas service in St. Petersburg, Russian President Vladimir Putin landed in Damascus for a surprise visit to Syria, amid regional...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Makamu wa rais wa Ufilipino ameitaja vita ya Rais wa taifa hilo, Rodrigo Duterte, dhidi ya dawa za kulevya kuwa imeshindwa. Leni Robredo alisema ni asilimia 1 tu ya makadirio ya dawa za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja ameshtakiwa kwa makosa 159 ya unyanyasaji kingono, yakiwemo makosa 136 ya ubakaji, jaji amesema kuwa labda mtu huyo hataachiwa huru tena kwa kuwa si mtu salama. Reynhard Sinaga...
0 Reactions
9 Replies
863 Views
Waziri Mkuu mpya wa Finland Sanna Marin amependekeza nchi hiyo iwe na siku nne tu za kufanya kazi ili wananchi wawe na fursa kuwa na familia zao kwa muda mrefu zaidi na kufanya mambo mengine ya...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Bintiye Shahidi Soleimani: Jina la Haj Qassem Soleimani linawatia kiwewe Wazayuni, Wakufurishaji na Mabeberu Bintiye Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi...
6 Reactions
82 Replies
7K Views
SAN JUAN, Puerto Rico (AP) - Temeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.5 limeikumba Puerto Rico kabla ya alfajiri ya Jumanne, likiwa ni kubwa zaidi katika matetemeko ambayo yamepiga maeneo ya Amerika...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
In addition to securing physical structures, the Diplomatic Security Service runs simulations of protests in a model city in Virginia. A simulated city at a State Department training center in...
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Donald Trump amesema kuwa Marekani imetumia Dola Trillioni 2 kwa ajili ya Vifaa vya Kijeshi. Na kuongeza kuwa wao ni bora zaidi Duniani Ameonya kuwa iwapo Iran itashambulia kituo chochote cha...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Anguko hilo limepelekea kuadimika kwa baadhi ya bidhaa katika maduka makubwa ya nchi hiyo Sukari ya magendo yauzwa kiholela. Wauzaji wamepata ujasiri baada ya kubaini Wananchi hawana chaguo...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Akili za Trump anazijua mwenyewe baada ya Iraq kuiamuru Marekani kuwaondoa wanajeshi wa Marekani nchini humo kutokana na Marekani kukiuka makubaliano ya uwepo wa wanajeshi hao. Trump hakuchelewa...
6 Reactions
74 Replies
8K Views
Waziri wa ulinzi wa Marekani Mark Esper amekanusha madai kuwa majeshi yake yanataka kuondoka Iraq, baada ya barua kutoka kwa jenerali wa Marekani kupendekeza waondoke. Barua ilisema kuwa Marekani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom