Mbivu mbichi kujulikana...!
Guaido atikisa kiberiti...risasi za sikika Caracas. Fuatilia hapa kinachoendelea
=======
Venezuelan opposition leader Juan Guaido said on Tuesday he had begun the...
Kila kukicha Iran inaibuka na mpya, mara bendera nyekundu, mara imetoa hela kwa ajili ya kichwa cha Rais Trump, mara itapiga ikulu ya Marekani, sasa yesema itaunda silaha za nyuklia bila kujali...
Kipindi cha utawala wa Obama Trump alitweet kupitia mtandao wa twitter akitahadharisha kuwa Obama ataishambulia Iran ili kuonesha jinsi alivyo na nguvu ili achaguliwe tena kwa muhula mwingine wa...
Which countries in Africa have the best education systems? The World Economic Forum accessed 140 countries, including 38 African countries, to rank the best education systems based on skill...
Wewe jifanye unawatukana na kuwaita Mabeberu huku unaua na kuteka raia wako kwa kisingizio cha kupigana vita ya uchumi huku ukipora na kupoteza matilioni ya fedha za wananchi.
Endelea sana kuteka...
Qassem Soleimani jenerali mkuu wa kikosi cha Quds force huko Iran ameuawa na marekani kwa shambulizi la anga. Huyu ndiye alikuwa anatoa maneno makali sana dhidi ya USA, alimwonya Trump asicheze na...
Ni kawaida kwa Australia kupata majanga ya moto, kwa kile kipindi ambacho kinafahamika kwa jina la fire season, Msimu wa moto. Lakini mwaka huu msimu huu wa moto ni mbaya kuliko yote, hali...
Esmail Ghaani, mrithi wa Qassem Soleimani
Esmail Ghaani, jenerali wa Iran anayechukuwa nafasi ya Qassem Soleimani aliyeuawa katika shambulio la Marekani ameiambia runinga ya serikali leo Jumatatu...
Marekani, Uingereza & Norway zimeitaka Sudan Kusini kuunda serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa kabla ya Februari 22, 2020 ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya amani. Mambo yanayoleta mvutano ni...
Daughter of former President accuses Lourenço government of political ‘witch-hunt’.
January 5, 2020 by David Pilling, Joseph Cotterill.
Isabel dos Santos, Africa’s richest woman and the daughter...
Jengo hilo limeanguka leo asubuhi na mpaka sasa watu 8 wanadaiwa kujeruhiwa huku Mamlaka zikiendelea na zoezi la uokoaji kutokana na baadhi ya raia kunasa kwenye vifusi
Bado haijafahamika haraka...
Dear Media Friends in Nairobi and Dar es Salaam
I am due to be in Nairobi Jan 15-20 and in Dar Jan 20-25. Aims of my trip: to visit families of prisoners in Hong Kong for drug trafficking, and to...
Waandamanaji wengi sana!
An imaginary situation, USA akidondosha ka bomu kamoja katka utitiri huo, ataua wangapi! Kitatokea nini?
Trump amesema " I will hit back severely if Iran retaliates"...
Mzozo wa Iran na Marekani ndio habari ya dunia sasa. Katika makala tatu za mda mrefu ambazo niliandika juu ya Korea, Syria na Iran, nilisema kuwa Syria lazima ivamiwe na kuwa uwanja wa vita maana...
Marekani itarajie kisasi kikali kwa hatua yake ya kumuua Qassim Soleimani
Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni katika Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa, Marekani...
Msemaji mashuhuri wa serikali ya Libya wakati wa mwisho wa uongozi wa 'Comrade' M. Gaddafi (R.I.P), ndugu Moussa Ibrahim yupo hai. Ashukuriwe Mungu kwa hili. Ni mtu muhimu sana ambaye anaeleza...
Aliyekuwa bosi wa kampuni ya kutengeneza magari ya Nissan, Carlos Ghosn ametoweka kitatanishi nchini Japan, ambako ameshtakiwa kwa kukiuka kanuni za fedha na sasa yuko Lebanon huku polisi wa...
Habarini wanajf.
Ikiwa ni asubuhi murua kabisa hapa kwetu Tanzania, huko kwa wenzetu USA & Iran mambo ni moto.
Joto la msuguano liko juu sana, Muda wowote vita kamili inaweza kuanza japo...
At least 28 people have been killed in an attack on a military academy in the Libyan capital, the health minister of the Tripoli-based government said.
"An air raid on the military school of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.