Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis (83) jana ameomba radhi kwa kupiga kibao Mwanamke aliyemvuta mkono wakati akisalimia watu katika Usiku wa Mwaka Mpya
Kabla ya Misa ya Mwaka Mpya...
Foreign Policy: Meja Jenerali Qasem Soleimani ni kati ya watu 10 bora wa kijeshi duniani
Jan 24, 2019 08:28 UTC
Jarida la Marekani la Foreign Policy limemtaja Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi...
Kama kichwa cha habari kinavyo sema,imekuwa ni desturi kwa mataifa yenye nguvu kuyatumia mataifa dhaifu kuoneshana umwamba hivyo kuyaharibu mataifa husika na kuwahangaisha raia wake.
Mfano mzuri...
Rais al Bashir atishia kukata mikono ya waandamanaji Sudan
Rais Hassan al Bashir wa Sudan
Rais Hassan al Bashir wa Sudan amekemea vikali "maandamano ya mkate" yanayoendelea kwa zaidi ya wiki...
Haya ni maoni binafsi yanayotokana na kitendo cha marekani kumuua kanda wa Quds Force Qasem Soleimani mapema leo.
Iran itajibu mapigo kwa kupeleka kikosi cha makamanda na wanajeshi wa kujiyolea...
USA ni mwisho wa safari they own internet .Trump amesema tukitoa internet tutawamaliza. Obama alikata internet siku moja kuwaadhibu North Korea.walitapatapa in a day.
Ubalozi wa Marekani nchini Iraq nchi ambayo Marekani imekuwepo kijeshi kwa muda mrefu tangu walipompindua Saddam Hussein umechomwa moto na waandamanaji wenye mrengo wa kuiunga mkono Iran. Hii...
From the CIA-orchestrated overthrow of Iran's prime minister in 1953, to tension and confrontation under President Trump, a look back over more than 65 years of tricky relations between Iran and...
Trump asema hatarajii vita na Iran
Rais wa Marekani Donald Trump amesema haoni taifa lake likiingia vitani na Iran, baada ya waandamanaji kuuvamia ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
Trump...
IRGC commander threatens to 'destroy' Israel
Head of Iran’s Revolutionary Guards says Iran will “destroy” the US, Israel and Saudi Arabia if they cross its “red lines”.
Hossein Salami, deputy...
Marekani imemuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Cuba, ikimtuhumu kwa ukiukaji wa haki za binaadamu na kumuunga mkono Rais wa msoshalisti nchini Venezuela Nicolas Maduro.
Marekani imemuweka kwenye...
Mtandao mkubwa zaidi wa simu barani afrika MTN unasema kuwa unafatilia shutuma dhidi yao, ya kuwafadhili na fedha makundi ya itikadi kali ya Afghanistan.
Shutuma hizo zimetolewa na madai...
Watu wapatao 24 wamethibitishwa kuuawa baada ya kambi ya kuhifadhi watu waliopoteza makazi nchini Sudan kuvamiwa jimbo la Darfur Magharibi.
Kambi ya Krinding, ilivamiwa mnamo Desemba 29 hadi 30...
Mapigano ya Ngumi kati ya wanajeshi wa Marekani na Urusi nchini Syria ,mapigano hayo yametokea baada ya wanajeshi wa Marekani kwenda katika kijiji cha Tel Tamer ambako walikuwa wanachukua taarifa...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameamua kutafuta kinga ya bunge dhidi ya mashitaka ya ufisadi yanayomkabili.
Hatua hiyo huenda ikachelewesha kesi dhidi yake hadi uchaguzi utakapofanywa...
Waziri Mkuu wa Israel Benjami Netanyahu ataachia mamlaka ya wizara kadhaa ambazo awali zilikuwa chini yake, huku akiwa anakabiliwa na mashtaka ya ufisadi.
Ofisi yake imethibitisha leo kwamba...
Maelfu ya watalii wameamriwa kuondoka kutoka maeneo yaliyokumbwa na janga la moto nchini Australia wakati taifa hilo likijitayarisha kwa wimbi la joto kali linalotarajiwa kuongeza kasi ya kusambaa...
Suge Knight's chances of getting out of jail to attend his mother's funeral have dwindled down to about zero ... because rules are rules.
We spoke to the L.A. County...
Serikali katili ya China, hata maiti za waislamu wa Ulghur zilizolala maburini zinakuwa Razed kufuta memories za wapendwa wao! na kujenga parking lots Ndiyo hayo ya udikiteita
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.