Polisi wa Nigeria wamevamia shule ya kidini na kuwaokoa wavulana 300 waliokua wamefungwa kwa minyororo kama watumwa na kulawatiwa kila siku huku wakipata mafunzo ya kidini...
Katika kuwalinda raia wake Ethiopia imeingia mikataba maalumu na mataifa ya kiarabu kurasimisha kazi za majumbani kwa raia hao
Katika kuzuia uhamiaji haramu Ethiopia imetuma maelfu ya wafanyakazi...
Hii inafaa kuwa funzo kwenye mataifa ambayo bado yanawalea "wasiojulikana", kwamba chini ya utawala mpya mambo hukengeuka na kibao kubadilshwa. Kule Sudan wamekusanywa 27 ambao walikua mashushushi...
The global music icon said he will start the tour in Ghana.
In an interview with Joy News, he explained that the aim of the tour is to project Africa and highlight the business opportunities in...
Ahmad al-Khair, 36, alikufa wakati ameshikiliwa na maafisa hao baada ya kukamatwa wakati wa maandamano ya kumtoa Rais Omar al-Bashir madarakani.
hii ni moja ya kuhumu za mwanzo kabisa kutolewa...
Mfichuasiri 'whistleblower' aliepelekea Rais Trump kuanza kuchunguzwa na kupelekea kupigiwa kura ya kumuondoa madarakani kufanyika afichuliwa.
Jana alhamisi Rais Trump alilaumiwa kwa kusambaza...
Huyu ni Fatmata, binti ambaye aliiba hela za shangazi yake ili kwenda Ulaya, maisha yalimsinda na akaamua kurudi kwao Siera Leone. Hiko ndio chanzo kikubwa cha yeye kutopokelewa kwa shangwe...
A SCIENTIST dubbed “China’s Dr Frankenstein”, who created the world’s first babies specially ”gene-edited” to prevent HIV infection, has been jailed for three years after being convicted of...
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran amesema shambulio lolote dhidi ya nchi yake, kufuatia hujuma dhidi ya miundombinu ya mafuta ya Saudi Arabia litasababisha vita kamili na kuongeza mvutano...
Aged 22yrs, a 400 level theartre art student of LAGOS STATE University (LASU) was gruesomely murdered on the 8th of December 2019 at Ikoyi Ile in Ikire,Osun State.
She came home to see her...
Hongera sana Rwanda, kainchi kadogo kiasi cha mkoa lakini kanaskika na kutikisa...
Raisi wa Urusi, Vladmir Putin amesema kuwa nchi yake inaweza kuisaidia Afrika bila masharti ambayo...
KAULI YA HAKI YA MESUT OZIL KWA UKANDAMIZAJI WA WAISLAMU WA CHINA
Kauli ya mchezaji Mesut Ozil kuhusu dhulma ya China kwa Waislamu wa Urghurs imedhihirisha haya:
1. Ukafiri ni mila moja, hii ni...
Habari wakuu
Nchi za Afrika zinazotarijiwa kufanya uchaguzi mwaka 2020 ni nyingi kama tunavyoziona, na changamoto kubwa ni haki katika chaguzi zetu sisi Waafrika ambapo mara nyingi hupelekea hali...
Serikali ya Ukraine na waasi wanaotaka kujitenga mashariki mwa nchi ambao wanaoungwa mkono na Urusi wameanza kubadilishana wafungwa hii leo.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Rais wa Urusi...
Rais mstaafu wa Pakistani, Pervez Musharraf (76) amehukumiwa kifo katika kesi ya uhaini mkubwa iliyohusisha kuweko kwa dharura ya Kikatiba mnamo 2007.
Hukumu hiyo imetolewa leo wakati kiongozi...
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kwa mara nyingine amebainisha msimamo wake wa kutogombea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.Hatua ambayo imeonekana kuwashangaza raia wengi wa Burundi huku...
Uingereza inaajiri sana sasa hivi, kada ya afya ni wote, kuanzia Doctors, pharmacists, laboratory technicians, nurses, auxiliary nurses n.k.
Kada nyingine ni IT na hospitality.
Hospitali nyingi...
Bomu hilo lililokuwa limetegwa kwenye gari, limelipuka wakati gari hiyo ikiwa kwenye Kituo cha Ukaguzi cha Polisi
Mmoja wa Maafisa wa Polisi, Kapteni Mohamed Hussein amesema kuwa shambulio hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.