International Forum

News and Stories from rest of the World
Watu wapatao 21 wamepoteza maisha na wengine 22 kujeruhiwa kutokana na ajali za barabara nchini Zambia katika kipindi cha Krismasi mwaka huu. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa msemaji wa naibu wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Profesa wa Chuo kikuu huko Pakistan Junaid Hafeez amehumiwa kifo kwa kukufuru. Profesa huyo anadaiwa aliandika kwenye mtandao wa kijamii maneno ambayo yaliusema vibaya Uislam. Sent using Jamii...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Graduating with a degree is not enough to succeed in the real world as students have to develop other soft skills that are also important for the journey outside the school walls. One of these...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Bunge la India limepitisha muswada ambao unaruhusu kutoa uraia wa India kwa wahamiaji kutoka nchi tatu za jirani - lakini sivyo ikiwa ni Waislamu. Muswada huo unalenga kuwezesha utoaji wa uraia...
4 Reactions
511 Replies
36K Views
Warren Buffet is one of the richest men in the world and also the most prolific investor of this era. He has personally confessed that he spends most of his time reading books and this is where...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Donald Trump amesaini Ijumaa sheria inayoruhusu kuundwa kwa kituo cha kijeshi cha angani na kuwapa wafanyakazi wa serikali kuu wiki 12 za likizo ya uzazi kwa wazazi wote wawili. Baraza la...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Maandamano yaliyosaidia kuibadilisha nchi ya Sudan mwezi Aprili mwaka 2019 Serikali ya Sudan imeruhusu siku ya Krismasi kuadhimishwa nchini humo na kuwa siku ya mapumziko kwa mara ya kwanza, baada...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Shannon Lee ameishtaki Kampuni ya Vyakula iliyotumia sure ya Baba yake kwenye matangazo yao ya biashara bila ya kukubaliana na familia ya Bruce Lee Kampuni ya 'Kungfu Catering' imeshtakiwa kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndege hiyo ya Bek iliyokuwa imebeba abiria 95 na wahudumu 5 ilianguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Almaty siku ya Ijumaa alfajiri saa za eneo hilo Watu 14 tayari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MANILA (Reuters) - At least 11 people have been killed and more than 300 treated in hospital after drinking coconut wine in the Philippines, including some who were celebrating at a Christmas...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mahakama kuu jijini Abuja imetangaza kwamba ukahaba sio uhalifu nchini Nigeria. Uamuzi huo umejiri katika kesi iliyokuwa inashirikisha wanawake 16 waliokamatwa kwa kufanya ukahaba. Ni mara ya...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wizara ya Usalama wa Umma ya China imesema, Polisi nchini humo imefungua kesi 118,000 za uhalifu wa utapeli kwa kutumia simu za mkononi na kuwakamata watu elfu 99 wakati wa operesheni ya "Cloud...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
#HABARI Mamlaka ya Polisi nchini Scotland limeadhinisha vazi la hijab kuwa moja ya vazi rasmi kwa askari wake ili kuwavutia wanawake wengi wa Kiislam ambao hawaipi kipaumbele kikubwa kazi hiyo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya nje wa Iran amezilaumu nchi za Marekani, Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kuifumbia macho Israel ambayo ina silaha pamoja na makombora ya nyuklia. Zariff ameeleza kwamba...
10 Reactions
63 Replies
7K Views
Bwana mmoja mwenye ndevu nyeupe alifanya uvamizi wa benki siku mbili kabla ya Krismasi na kuzirusha juu kwa furaha na kuwatakia kheri ya siku kuu wapita njia, mashuhuda wameeleza. Polisi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kimbunga Phanfone kimeikumba nchi hiyo siku ya Siku Kuu ya Krisimas huku ikielezwa kuwa kimbunga hicho kiliambatana na mvua kubwa na upepo uliovuma kwa kazi ya Kilomita 120 kwa saa. Zaidi ya Watu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona medie karibu zote duniani zipo live kwa watanzania wenzangu unaweza kujifunza kitu kwa local channel ITV wamejiunga na CNN wapo live. Mnyukano ni kati ya Democratic wanao pigakura kumwondoa...
10 Reactions
175 Replies
18K Views
Rais wa Urusi, Vladmir Putin amewafuta kazi majenerali 5 waliokuwa wakifanya kazi katika wizara na mashirika mbalimbali. Kwa mujibu wa uamuzi wa Rais uliosambazwa katika mfumo wa sheria za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuingia madarakani kwa Donald Trump ilikuwa kwa nguvu na njama za Israel ili kukamilisha agenda zao za kuimeza Palestina. Na kweli tangu kuingia madarakani matarajio yote ya Israel yametimia...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Mahakama imesema kuwa hakukuwa na ushahidi wa kutosha kuthibitisha uhusika wa viongozi wawili wa juu wa Serikali ya Saudi Arabia Hapo awali Mwana wa Mfalme wa Saudia, Mohammed bin Salman alikuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom