Why is there still poverty in America?
In America almost 40m people one eighth of its population live in poverty. Why does the richest big country in the world still have so many people living in...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, ningependa kuuliza na kujua wale waliochagulia dv-2020, je wameendelea na process gani mpaka sasa, na pia mwaka huu, itakua lini kujaza form kwa dv-2021...
In Syria and Lebanon, Christmas is a national holiday celebrated by every segment of society regardless of faith.
Meanwhile, Israel, the so-called “only democracy in the Middle East”, has banned...
Nikiri tu wazi,
naupenda sana uoga wa Democrats, una ladha tamu sana kwa republicans, Democrats wamejawa chuki zinazowafanya wawe na hofu na wasiwasi kwa chochote anachofanya au wanachodhani...
Wakuu salamu,naomba kujua kazi ya hiki kikosi kitakachoanzishwa na Marekani kitakuwa na majukumu gani na kambi zake zitakuwa ni huku huku duniani au ni angani au ni mwezini au ni kwenye sayari...
Maelfu ya watu wamejiunga na wimbi jipya la maandamano dhidi ya sheria mpya ya uraia nchini India huku idadi ya waliokufa katika vurugu hizo za karibu wiki mbili ikifikia watu 23.
Idadi ya vifo...
African Development Bank President Dr Akinwumi Adesina received the African of the Year Award from the All Africa Business Leaders Awards (AABLA™), Thursday, in recognition of his bold leadership...
Kama ukipata bahati ya kutembelea miji ya Canada kama Vancouver, Calgary, Toronto, Ottawa na Montreal ni mizuri sana na haina ghetto.
Ila miji ya Marekani kama Chicago, New York city, Los...
Mtandao wa kijamii wa Twitter umesema leo kuwa umezifuta akaunti 6,000 zilizokuwa sehemu ya juhudi kubwa ya serikali ya Saudi Arabia na watu binafsi ya kutanua maslahi ya kisiasa na kieneo ya...
''Boris Johnson will go to court to challenge the order from parliament to delay Brexit, the foreign secretary has revealed. Dominic Raab insisted the government would not break the law – after...
Mke wa Makamu wa Rais wa Zimbabwe ambaye anashikiliwa kufuatia mashitaka ya kujaribu kuua, udanganyifu, utapeli na usafirishaji wa fedha nje ya nchi sasa anadai kuwa mgonjwa sana kuweza kujibu...
Rais Donald Trump na Spika Nancy Pelosi
Rais Donald Trump ameukosoa uchunguzi unaokaribia kufanyika kwa kuandika barua kwa Spika Nancy Pelosi, akimtuhumu kutangaza vita vya wazi dhidi ya...
Shirika la Chakula Duniani (FAO) limesema nchi ya Somalia inakumbwa na uvamizi wa nzige ambao unateketeza makumi ya maelfu ya hekta za mazao na maeneo ya malisho. Imeelezwa kuwa uvamizi huo ni...
FILE PHOTO: U.S. Air Force RQ-4 Global Hawk aircraft wait in a hangar In a military installation at an Air Force Base in the Arabian Gulf, March 14, 2017.
REUTERS/HAMAD I MOHAMMED/FILE PHOTO
NATO...
Marekani imesema imepata frequency za mfumo wa makombola ya Russia S-400.
Imesema imesema nimepata frequency hizo baada ya kupitisha Ndege yao ya upelelezi karibu na mambo ya kijeshi ya Urusi...
Maelfu ya watu wameteremka majiani katika miji kadhaa ya India , masaa machache tu baada ya dazeni kadhaa za waandamanaji na maafisa wa polisi kujeruhiwa, machafuko yaliporipuka katika viwanja...
Dunia ina mambo mengi ya ajabu.
Mtoto alieibiwa hospitalini huko Chicago mwaka 1964 akiwa na umri wa siku moja baada ya mwanamke mmoja aliejifanya nesi kuingia hospitali na kumchukua mtoto kwa...
Baada ya uchaguzi mkuu nchini Uingereza, Scotland imejinyakulia vitu 48 ambavyo ni ushindi mkubwa kwa Scotland, First Minister of Scotland amesema kwamba, Scotland inajiamulia wenyewe own future...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.