Nancy Pelosi kisheria anatakiwa kumpa makaratasi ya impeachment kwa senator leader .Nancy Pelosi anakaa sasa Nancy akifanya mchezo case will be dismissed .
Ninatambua kwamba kwa hakika mamlaka aliyo nayo Rais katika mfumo wa katiba yetu ni makubwa.
Kwa yale mema ambaye Rais ameyafanya katika awamu hii ni matokeo ya kuyatumia vizuri madaraka yake ya...
Aliyekuwa mgombea binafsi wa urais wa Namibia Panduleni Itula, amewasilisha pingamizi la kisheria ya kupinga kushindwa kwake katika uchaguzi uliomalizika mwezi uliopita.
Itula ameitaka mahakama...
At least one person has been killed and five wounded in a shooting at the headquarters of Russia's Federal Security Service (FSB) in central Moscow, Russian media say.
A gunman who opened fire...
Muda mfupi baada ya Baraza la Wawakilishi la Marekani kupitisha uamuzi wa kumshitaki Rais Donald Trump, mwenyewe ameitisha mkutano wa hadhara kuwashambulia vikali wajumbe wa Democrat waliopiga...
Papa Francis ametangaza mabadiliko makubwa kwa jinsi Kanisa Katoliki linavyoshughulikia kesi za unyanyasaji wa kingono kwa watoto na kukomesha kanuni ya "usiri" ambayo iliwaficha makasisi...
Africa na Latin America ndo bado kuna udikteta, na viongozi Mara Nyingi udhani wana haki ya kuwafanya raia wanavyotaka wao,
1. Paul Kagame ni dikteta anayepatikana Rwanda
2.Piere Nkurunzinzah...
1. Ni Yahudi anayetumika kuuchafua Uislamu na fikra ya serikali ya kiulimwengu ya Kiislamu (Khilafah/Caliphate)
2. Baada ya kumaliza kandarasi yake sasa ameamuliwa avue makanzu na anyoe nywele na...
Maelfu ya watu wasio na makazi wamefariki dunia mjini London
Dec 16, 2019 12:12 UTC
Vyombo vya habari nchini Uingereza vimetangaza habari ya kufariki dunia maelfu ya watu wasio na makazi mjini...
The House Judiciary Committee just advanced both articles of impeachmentagainst President Trump.
What happens next:
The articles now go to the House floor for a vote next week. This could make...
Ukimwi Tawi la Tatizo la Ubepari
on December 1, 2019
Siku ya tarehe 1 Disemba ya kila mwaka imetangazwa kimataifa kuwa ‘Siku ya Ukimwi’. Maradhi ambayo mpaka sasa bado hayana kinga wala tiba...
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson na Rais wa Marekani Donald Trump wamesema wanatafakari namna ya kuendeleza uhusiano wao wa karibu na kukubaliana kwa kile walichokiita "makubaliano makubwa...
BARAZANI
Boris Johnson alivyokiangusha chama cha Labour
Na Ahmed Rajab
Tunauzungumzia usiku wa Alhamisi iliyopita. usiku wa kutangazwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa Uingereza wa Desemba 12, 2019...
Wananchi wa Rwanda kwenye mpaka wa Gatuna wanasema kwamba mikakati hiyo ni pamoja na kuwapiga risasi wanaojaribu kuvuka na kujihusisha na biashara haramu (LUKE DRAY)
Uhusiano baina ya Rwanda na...
Bunge la Marekani (Congress) limepiga kura ya kihistoria kutokuwa na Imani na Rais wa nchi hiyo Donald Trump kura ambayo imefungua milango ya mashtaka dhidi yake.
.
Kura hii inamaanisha kuwa...
Polisi nchini India wamewatia mbaroni zaidi ya watu Mia Moja waliokuwa wakishiriki katika maandamano ya kupinga muswada wa uhamiaji uliopitishwa na Mabunge yote mawili ya nchi hiyo, Muswada ambao...
1) Hadi kufikia 2011 zilikuwa ni nchi mbili TU ambazo hazikuwa na madeni, nazo ni LIBYA na BRUNEI
2) Brunei ndio nchi ambayo asilimia kubwa ya raia wake wanamiliki magari, wastani wa 1 kwa mtu...
Katibu Mkuu wa NATO akiri kushtadi mzozo ndani ya shirika hilo la kijeshi
Nchi wanachama wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), zimershiriki katika kikao cha maadhimisho ya mwaka wa...
C&P FROM BBC SWAHILI TWITTER PG
Donald Trump amekuwa rais wa tatu katika historia ya Marekani kupigiwa kura ya matumizi mabaya ya madaraka, hatua inayompeleka moja kwa moja katika kesi dhidi yake...
Serikali ya Ujerumani hapo jana umetia saini mpango wa kuwasajiri wakazi wasio katika Umoja wa Ulaya kwa lengo la kuziba pengo la wataalam katika sekta ya ajira.
Hatua hiyo inatekelezwa baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.