International Forum

News and Stories from rest of the World
Korea Kusini: Si ajabu Kim Jong-un akatangaza kufuta kabisa mazungumzo na Marekani Wizara ya Umoja ya Korea Kusini imetangaza kwamba iwapo hakutapatikana maendeleo chanya katika mazungumzo kati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shirika la utetezi wa haki za binaadamu la Amnesty International limesema takribani watu 304 waliuawa katika siku tatu za ukandamizaji dhidi ya waandamanaji nchini Iran mwezi Novemba. Awali...
1 Reactions
8 Replies
996 Views
Mbali na kutengeneza au kuunda silaha kali tu, kama wengi wanavydhania, Urusi pia ni mabingwa wa bidhaa kwa matumizi ya kawaida, kwa matumizai ya kiraia, kibiashara na mambo mengine. Sasa...
9 Reactions
144 Replies
19K Views
Uturuki yatishia tena kufunga Kituo cha Anga cha Incirlik Rais Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki kwa mara nyingine tena ametishia kwamba atafunga shughuli za majeshi ya Marekani katika Kituo cha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar wamejikubalisha kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kabla ya mwisho wa mwezi wa Februari mwakani, baada ya kumalizika kwa siku 100...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mke wa makamu wa rais wa Zimbabwe ameshtakiwa na jaribio la kutaka kumuua mumewe. Mary Mubaiwa ambaye tayari anashutumiwa kwa madai ya ufisadi, aliwasilishwa mbele ya mahakama moja ya Harare siku...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Australia has experienced its hottest day on record with the national average temperature reaching a high of 40.9C (105.6F), meteorologists say. The Bureau of Meteorology said "extensive" heat on...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Qatar: Waarabu wanapaswa kuanza mazungumzo na Iran Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amewataka wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi kuanza mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Raia 22 wakiwamo watoto wamefariki dunia katika huko kaskazini mashariki mwa Syria baada ya majeshi ya serikali na Urusi kufanya mashambulizi ya anga. Kundi la kujitolea la Syrian Civil Defence...
1 Reactions
1 Replies
942 Views
Hii ni picha imechorwa kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa rangi,lakini imeibua maswali mengi sana kwani wanadai imekaa kuchochea ubaguzi... Nini maoni yako?? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kampuni inayotengeneza ndege ya Boeng imetangaza kusitisha uzalishaji wa ndege aina ya 737 Max kuanzia mwezi Januari mwaka ujao, pamoja na sababu nyingine ili kuweza kupata ridhaa ya kiusalama...
1 Reactions
3 Replies
832 Views
Mwaka 2019 waandishi wa habari 49 wameuawa kwenye nchi tofauti kama inavyoonyesha hapo juu. 49 journalists murdered in 2019 Forty-nine journalists were killed across the world in 2019...
0 Reactions
4 Replies
692 Views
Two women tried to vacuum blood out of their vaginas while on their period. Watch the video for the whole story. === We’re disappointed that we have to bring this to your attention, but at least...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali ya Zambia imehalalisha kilimo cha bangi kwa sababu za kiuchumi na tiba. Kwa hatua hiyo, taifa hilo linakuwa la hivi karibuni kabisa katika kuridhia matumizi ya bangi. Kwa mujibu wa...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
IMF imeidhinisha mkopo wa Dola milioni 368.4 kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ili kuwezesha nchi hiyo kukidhi mahitaji ya haraka. Shirika la fedha duniani IMF limeidhinisha mkopo wa Dola...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Waasi wa kundi la ADF wameshambulia tena mji wa Beni katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kuuwa watu 22 katika eneo la Ndombi na Kamango. Waasi hao wanaelezwa kuwashambulia wakaazi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Takwimu mpya zinaonesha idadi ya wakimbizi wanaoingia katika mataifa ya Umoja wa Ulaya kwa njia haramu mwaka huu zimeongezeka kwa asilimia 46 ikilinganishwa na mwaka uliopita. Hayo yameibuliwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
China imetoa kanuni za maadili kwa waandishi wa habari ambazo inawataka wanahabari kushikilia mamlaka ya Chama cha Kikomunisti na kuongozwa na itikadi ya Rais Xi Jinping. Kanuni hizo ambazo...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
For the first time since the end of the INF Treaty, the U.S. Air Force has tested a ground-launched, intermediate-range ballistic missile. A screen grab of the Dec. 12 flight test of U.S. ground...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Haya kumekucha tena. Marekani yamtolea uvivu Kim na deadline zake. Soma hiyo. ======= SEOUL, South Korea (AP) — A senior U.S. diplomat said Monday that Washington won’t accept a year-end deadline...
0 Reactions
4 Replies
950 Views
Back
Top Bottom