International Forum

News and Stories from rest of the World
Mwandishi wa habari maarufu wa Libya amekamtwa na kuwekwa kizuizini na chombo cha kijasusi ambacho kinatajwa kuwa na uhusiano na serikali inayoungwa mkono na jumuiya ya kimataifa. Chombo hicho...
0 Reactions
1 Replies
635 Views
Wizara ya mambo ya nchi za nje ya India imesema mabaharia wake 20 wametekwa wakati meli yao ya mafuta ikiwa katika eneo la bahari la Afrika Magharibi. Katika siku za hivi karibuni eneo hilo la...
1 Reactions
2 Replies
813 Views
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson leo hii anatarajiwa kuelezea mipango yake, ya namna gani atatekeleza ahadi zake za kufanikisha kujiondoa katika Umoja wa Ulaya haraka na kupanua wigo wa...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Viongozi na wawakilishi wa ngazi ya juu kutoka karibu mataifa 20 yenye idadi kubwa ya waislamu duniani wanakusanyika leo mjini Kuala Lumpur, Malaysia, kujadili masuala yanayowatia misukosuko...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mchakato wa Kumuondoa Rais Trump Madarakani Unaendelea Kwa Kasi. Mchakato huo utapitia hatua tatu Muhimu Kamati Za Bunge ( Uchunguzi na kuandaa hati ya Mashtaka) Baraza la Wawakilishi(Kupiga Kura)...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Waendesha mashtaka katika mji mkuu wa Bolivia wametoa hati ya kukamatwa Rais wa zamani Evo Morales, kwa tuhuma za uchochezi na ugaidi. Waziri wa Mambo ya Ndani Arturo Murillo hivi karibuni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ACCORDING TO INTERNATIONAL LAW THE NEW BRIDGE IN THE KERCH STRAIT BELONGS TO UKRAINE AND SO DOSE CRIMEA !!! AND WHEN KIEV KICKS OUT THE MOSCOW SCUM, FROM UKRAINIAN CRIMEA AND SEVASTOPOL !!!! WE...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Profesa nguli wa siasa Marekani ambaye ametabiri kwa usahihi ushindi wa marais wote wa marekani toka mwaka 1984; na ambaye pia alitabiri ushindi wa Trump, profesa Litchman amekuja na utabiri wake...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
President Trump leo amekuwa na siku mbaya kabisa, amekuwa kama mfungwa anayetegemea hukumu ya kifo leo. Na mimi nasema ATAJIJU Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
A nine-year-old Belgian boy who was on track to become the world's youngest university graduate has terminated his studies at the Dutch university of Eindhoven following a dispute over his...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Najua wengi mmemmiss sana bwana Osama bin Laden, Mbali zaidi amekufa bila watu kuwahi kusikia hata sauti yake , Katika mahojiano yake alitoa sababu kuu nne 1. Marekani imeset standard zake...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
The Irkut corporation and Air Tanzania will study the possibility of supply short and medium-range aircraft MS-21 to Tanzania, according to a memorandum of understanding signed by the companies on...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael pamoja na Atos ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo" Kampuni ya uzalishaji wa mifumo ya kijeshi ya Rafael (Rafael Advanced Defense Systems) ya Israel...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wachimbaji kumi na watatu wameokolewa baada ya kukwama chini ya vifusi kwa zaidi ya masaa 80 katika mgodi mmoja katika mkoa wa Sichuan kusini magharibi mwa China, viongozi wa eneo hilo walisema...
1 Reactions
2 Replies
767 Views
Waandamanaji walikusanyika mjini New York, Marekani hapo jana kwa lengo la kushinikiza kushitakiwa na kuondolewa madarakani rais Donald Trump. Mkusanyiko huo unafanyika katika kipindi kifupi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Impeachment is backfiring big time.Trump akichaguliwa itakuwa catastrophic .
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa anatarajiwa kusafiri kwenda Niger kwa ajili ya kumbukumbu ya heshma kwa wanajeshi 71 ambao waliuwawa kwa shambilizi la wenye itikadi kali, mapema mwezi huu. Macron...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Katika takribani miaka sita iliyopita Umoja wa Mataifa na makundi mengine ya misaada ya kiutu, umefanikiwa kuvuka mpaka kuingia Syria kutokea Uturuki, Iraq na Jordan, ikiwa ni maeneo manne ambayo...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kuzingatia kuongeza vikwazo zaidi dhidi ya Sudan Kusini kama serikali ya taifa hilo haijatekeleza makubaliano ya amani na upande wa upinzani...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jenerali Antonio Guterres jana ameyataka mataifa kuongeza jitihada zao za kuwalinda wakimbizi katika maeneo tofauti ya ulimwengu, katika kipindi hiki ambacho idadi...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Back
Top Bottom