International Forum

News and Stories from rest of the World
Habari za hivi Punde zikiripotiwa na Shirika la habari la Uingereza BBC, ni Aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amefariki Dunia akiwa na miaka 95. Habari zaidi zinakuja. President Emmerson...
11 Reactions
280 Replies
27K Views
Nilipokuwa mdogo nikiwaza sana kufika London nchini Uingereza. Pengine kwa vile redio yetu pekee enzi hizo taarifa ya habari hakuisha bila kutaja London. Halafu nikawa mpenzi sana wa kufika...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
A court in Sudan convicted former President Omar al-Bashir of money laundering and corruption on Saturday, sentencing him to two years in a minimum security lockup. That’s the first verdict in a...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. KWANZA FUNGUA LINK HAPO CHINI USOME...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais mstaafu wa Botswana, Ian Khama Rais mstaafu wa Botswana Ian Khama amesema ataishitaki serikali kwa udhalilishaji kufuatia ripoti za serikali za hivi karibuni zinazomuhusisha kiongozi huyo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiukweli dunia haijapata kuona nchi iliyoleta maendeleo duniani Kama uingereza uingereza ndio nchi ya Kwanza duniani kuleta mapinduzi ya viwanda pia ndio nchi iliyoistaarabisha dunia uingereza...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
Mnamo Jumanne ya wiki hii watu wawili walifanya mauaji ya kutumia risasi na kuuwa watu wa nne katika mji wa New Jersey. Hawa jamaa ambao ni wamarekani weusi walilenga kuvamia grosari inayouza...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Abdelmadjid Tebboune ameshinda kiti hicho kwa kupata asilimia 58.1% ya kura zote > Alikuwa Waziri Mkuu, kuanzia Mei 2017 hadi Agosti 2017 pia Waziri wa Makazi kuanzia mwaka 2001 hadi 2002 na 2012...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kimasihara Trump anaondoka Ikulu tayari Jerry Nadler ameshawasilisha articles mbili za impeachment pia Waziri wa Mambo ya nje wa Urusi, Ivan Ravlov ameenda kuokoa jahazi. Je, ya Richard...
14 Reactions
90 Replies
9K Views
Boris Johnson is on course to secure a huge Tory majority in the Commons, according to the exit poll. Exit poll results in full Conservatives: 368 Labour: 191 SNP: 55 Liberal Democrats: 13 Plaid...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Othodoksi la Quds amuunga mkono Sayyid Hassan Nasrullah Dec 09, 2019 12:23 UTC [https://media] Askofu Mkuu wa Kanisa la Othodoksi katika mji mtukufu wa Baitul Muqaddas...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora jipya la balestiki Nov 29, 2019 02:36 UTC [https://media] Jeshi la Korea Kusini limetangaza kwamba Korea Kaskazini imelifanyia majaribio kombora lake...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
US House Judiciary Committee Approves two Article of Impeachment against Donald Trump White House says Trump looks forward to receive fair treatment and due process in the Senate. Articles of...
1 Reactions
3 Replies
800 Views
Mkutano wa kilele uliotarajiwa kuwakutanisha Waziri Mkuu wa India Narendra Modi na mwenzake wa Japan Shinzo Abe umeahirishwa. Kulingana na wizara ya mambo ya kigeni ya India hatua hiyo inatokea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya Chama cha Conservative cha Boris Johnson kupata ushindi mkubwa wa viti zaidi ya 326 vya Ubunge Uingereza, Waziri Mkuu huyo ameweka msisitizo kwamba Januari 31,2020 Uingereza itajiondoa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mousavi: Iran itatoa jibu la kujutisha kwa uchokozi wa aina yoyote ile Dec 09, 2019 12:24 UTC [https://media] Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Hatimaye viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya wamekubaliana hii leo kuwa na dhamira ya kufikia kiwango kinachokubalika cha kutosababisha gesi inazochafua mazingira ifikapo mwaka 2025 baada ya...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
House of Judiciary Vote on Article of Impeachment Delayed Until Friday Morning
0 Reactions
2 Replies
531 Views
Chama cha kihafidhina cha Waziri Mkuu Boris Johnson kinaelekea kupata ushindi mzuri katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Uingereza kwa mara ya tatu mnamo kipindi kisochozidi miaka mitano...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Maelfu ya Wananchi wamejitokeza katika Mitaa ya Mji mkuu wa nchi hiyo, Algiers kupinga Uchaguzi Mkuu unaoendelea nchini humo wakiuita ni Uchaguzi wa Uongo huku ukiwa unafanyika chini ya ulinzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom