Mmoja wa wanaume sita waliohukumiwa kwa kumbaka na kumpiga kikatili mwanafunzi wa kike kwenye basi jijini New Delhi ameiomba mahakama kumuondolea adhabu ya kifo kwakuwa hewa chafu nchini humo...
chanzo DW mchana wa leo
Pametokea mafuriko huko SA. Hali hiyo imepelekea nchi hiyo kukosa umeme kwa siku tatu mfululizo.
Kwa kuona na kwa kujali wananchi wake, raisi wa huko amekatisha ziara...
Naomba kufahamu Kwa mwenye uelewa wa hii serikali ya China kuwanyanyasa Waislamu na kuwaweka kwenye sehemu maalumu kama kambi nini chanzo au serikali ya China ina lengo gani kwa watu wanao amini...
Rais wa Rwanda Paul Kagame amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri na kumteua Dkt Richard Sezibera kuwa waziri mpya wa mashauri ya nchi za nje.
Jenerali James Kabarebe...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain ameitaja hatua ya Amir wa Qatar ya kutoshiriki kikao cha wakuu wa nchi wanachama wa Baraza la ushirikiano la Ghuba ya Uajemi huko Riyadh Saudi Arabia kuwa ni...
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuilaani hatua ya Urusi kuukalia mkoa wa Crimea na mji wa Sebastapol nchini Ukraine na kuitolea wito kuondoka mara moja.
Azimio hilo...
Baada ya vyama vya siasa nchini Israel kushindwa kuunda serikali hadi muda wa mwisho kumalizika Jumatano, sasa bunge limejivunja na nchi hiyo inaingia katika uchaguzi wa tatu mkuu katika kipindi...
Ujerumani iliwafukuza maafisa wawili wa ubalozi wa Urusi kwa kile ilisema Urusi imegoma kutoa ushirikiano kwenye uchunguzi unaoendelea wa mauaji ya raia wa Georgia aliyeuawa Berlin.
Urusi naye...
Wanajeshi 73 wa Niger wameuawa katika shambulio lililofanyika katika kambi ya jeshi iliyo magharibi mwa nchi hiyo.
Taarifa ya Wizara ya Ulinzi inasema jeshi liliwadhibiti magaidi wengi katika...
Uingereza yaanza kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa tatu chini ya miaka mitano.
Uchaguzi huu, ambao ni wa kwanza kufanyika mwezi Disemba karibia miaka 100, unafuata ule uliotangulia ndani ya...
Viongozi wa Umoja wa Ulaya leo wanakutana mjini Brussels katika mkutano wao wa mwisho wa kilele kwa mwaka huu, ambapo ajenda zitakazotawala katika mkutano huo wa siku mbili zikiwa ni kuhusu vita...
Uchaguzi wa Israel unatarajiwa kufanyika Machi 2 mwakani, ikiwa ni wa tatu katika kipindi cha mwaka mmoja. Muswada wa kulivunja bunge, ambao pia unatangaza tarehe ya uchaguzi, utapitisha sehemu...
Mkuu wa Majeshi wa Myanmar, Jenerali Min Aung Hlaing
Marekani imeweka vikwazo dhidi ya viongozi wa kijeshi wa Myanmar kwa sababu ya ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na Myanmar dhidi ya...
Sheria kila siku Saudi Arabia zinazidi kubadilika ninazozikumbuka ni ile ya wanawake kuendesha magari, wanawake kwenda kutazama mpira uwanjani, juzi pambano la Joshua na Ruiz limefanyikia kule leo...
Aliyaona yanatendeka kama kiongozi wa nchi hakuyakemea meaning aliyabariki!
Myanmar's leader Aung San Suu Kyi is appearing at the UN International Court of Justice (ICJ) to defend her country...
Wizara ya ulinzi ya Marekani imesitisha kwa kiasi fulani mafunzo ya marubani wa kijeshi kutoka Saudi Arabia kufuatia lile shambulizi katika kambi ya kijeshi ya Marekani mjini Florida.
Kulingana...
A verdict in the corruption trial of Sudan's deposed president Omar al-Bashir is expected to be delivered on Saturday, months after his ouster in April in the face of unprecedented mass protests...
Afisa mmoja wa polisi na takriban watu watano wamefariki katika msururu wa makabiliano makali ya risasi katka mji wa Jersy katika jimbo la New Jersy.
Maafisa wawili wa polisi pia walijeruhiwa...
Rais wa Rwanda Paul Kagame mnamo Jumanne alimsihi Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Tito Mboweni asiache kutumia Twitter baada ya Waziri huyo kutishia kuacha kutumia mtandao huo wa kijamii kwa kile...
Wanamgambo wa Alshaabab nchini Somalia wamekiri kuhusika na shambulio linaloendela katika hoteli ya kifahari mjini Mogadishu SYL nchini Somalia. Taarifa zinasema kuwa makundi ya wanajeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.