Spika wa bunge la Sudan Kusini amejiuzulu baada ya kushutumiwa na wabunge wenzake kwa kushindwa hadi wakati huu kuwasilisha ripoti jumla ya ukaguzi wa mahesabu ya serikali.
Spika wa bunge la...
Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua
Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua nchini Iran.
Naibu Waziri wa Afya wa Iran Ali Riza Reisi, ameliambia shirika rasmi la...
Iran yazindua drone mpya yenye uwezo mkubwa wa kivita
Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua ndege mpya isiyo na rubani (drone) yenye uwezo mkubwa wa kioparesheni na kivita...
Kwa mara ya kwanza leo katika kipindi cha miaka mitatu kutafanyika tena kile kinachoitwa Mkutano wa Kilele wa Normandy kuhusu mzozo wa mashariki mwa Ukraine.
Mkutano huo ulioandaliwa na Rais wa...
World bank imeikubali kuipa China mkopo wa dola bilioni 1.9 licha ya pingamizi kutoka serikali ya Marekani.
Je, wataalamu wa uchumi hii imekaaje kwani huyu China ndio mtoa mikopo mikubwa kwa nchi...
Mteja akila nyama ya mbwa huko Yogyakarta Mei 28, 2011 [Picha: Dwi Oblo/Reuters]
Kila mwaka nchini Indonesia, takribani mbwa milioni moja huuuliwa kwa matumizi ya wanadamu. Hii ni kwa mujibu wa...
Mtu aliyekuwa anatarajiwa kugombea nafasi ya Waziri Mkuu wa Lebanon Samir Khatib amesema anajiondoa kutoka kwenye kugombea wadhfa huo. Hatua hiyo inaurefusha mzozo wa kisiasa wa nchi hiyo...
Shirika la habari la jimbo la Florida limesema mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman amempigia simu Rais Donald Trump na kutoa rambirambi zake kwa familia na wahanga wa tukio la...
Dr Stergomena Lawrence Tax
SADC Executive Secretary Dr Stergomena Lawrence Tax proved why she is the Iron Lady of the region over the weekend when she stood her ground to a barrage of abuse by...
Picha ikionesha moshi uliotanda angani mara tu baada ya volcano hiyo kulipuka. Picha: Michael Schade/AFP
Mlipuko wa volcano umetokea katika eneo linalotembelewa na watalii wengi huko nchini New...
Mlipuko huo ametokea asubuhi ya leo na imeelezwa kuwa wengi wa waliofariki ni Wafanyakazi wa Kiwanda hicho waliokuwa wamelala
Kikosi cha Zimamoto kimefika eneo la tukio na kuendelea na juhudi za...
Makao makuu ya jeshi la Iran nchini Syria yashambuliwa na kuharibiwa na mashambulizi ya anga ya Israel.
=======
Israel destroyed an apparent Quds Force headquarters in Syria according to...
Mr. Netanyahu said:
Only 70 years ago! The Jews were taken to slaughter like sheep.
- 60 years ago!
- No country. No Army.
Seven Arab countries declared war on the small Jewish state, only a...
Korea Kaskazini imesema imefanya jaribio la kombora la masafa marefu, ikieleza kwamba litakua matokeo muhimu katika eneo lake la kimkakati.
Shirika la Habari la Korea CNA limesema jaribio hilo...
1.GROVER CLEVELAND: Kabla ya kuwa Rais, alikuwa mnyongaji wa wahukumiwa wa hukumu ya kifo.Ni rais aliyeongoza kwa mihula miwili isiyofuatana 1885-1889 na 1893-1897.
2.HARRY S TRUMAN: 'S' iliyopo...
Mchungaji Sam Little (25) ambaye ni raia wa Uingereza amekamatwa nchini Uganda kwa tuhuma za kuwanywesha waumini wake dawa ya kujichubua na kuwaaminisha kuwa ni tiba ya miujiza inayotibu magonjwa...
Rais wa Marekani Bwana Trump ameitaka Benki ya Dunia kusitisha kuipa mikopo China kwa sababu China ina pesa nyingi ambazo inakopesha nchi nyingine, iweje China anakopesha wengine kupitia mradi...
Shirika la Human Rights Watch limesema katika ripoti yake iliyotolewa leo kuwa maafisa wa serikali na wanachama wa kundi la vijana linaloogopwa la chama tawala wanaitisha pesa kwa lazima za...
Shirika la World Economic Forum limetoa orodha ya nchi 137 katika viwango vya ubora wa huduma za Vikosi vya Majeshi ya Polisi duniani.
Orodha hii imezingatia kiwango cha kuaminika na kutegemewa...
Former CIA agent sentenced to 19 years for conspiracy with China
Jerry Chun Shing Lee was accused of delivering secrets to Chinese intelligence officers in exchange for $840,000
A former CIA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.