Bunge la Liberia laitishwa kwa dharura Rais George Weah wa Liberia amewaomba Wabunge wa Bunge la nchi hiyo kukatisha likizo yao na kukutana kwa dharura kujadili mambo muhimu yanayolihusu Taifa...
Korea Kaskazini itatuma zawadi ya Krismasi kwa Marekani angawa zawadi hiyo itategemea matokeo ya mazungumzo kati ya nchi hizo mbili.
Maneno hayo yametafsiriwa na baadhi ya watu kuwa ni dalili ya...
Takriban magaidi 20 na askari watatu waliuawa katika shambulizi mbili dhidi ya vituo vya jeshi huko Burkina Faso, jeshi la nchi hiyo lilisema hapa katika taarifa ya Jumanne.
Mashambulio hayo...
Wataalamu watatu wa sheria nchini Marekani, wameiambia kamati ya masuala ya sheria ya Baraza la Wawakilishi mjini Washington kuwa wanaamini kwa ukamilifu kuwa Rais Donald Trump alifanya matendo...
Viongozi wa jumuia ya kujihami yenye nguvu zaidi ulimwenguni, NATO waliozozana kuhusu masuala ya kibinafsi na ya kisera jana, wamekamilisha mkutano wao wa kilele na kutangaza taarifa ya pamoja...
Ufaransa imeathiriwa na mgomo mkubwa ambao unafanyika leo wa wafanyakazi katika sekta ya usafiri wa umma. Treni nyingi hazifanyi kazi, shule zimefungwa na wasimamizi wa mnara wa Eiffel wametoa...
A Federal High Court sitting in Lagos has ordered the siezure of an aircraft belonging to Emirates Airline over N8.1 million judgment debt.
The order was sequel to a motion filed by Dr Charles...
Andy Carter, senior winners' adviser at The National Lottery, said: 'One very lucky UK ticket-holder has scooped tonight's entire £40 million EuroMillions jackpot.
Self-employed Steve Thomson 42...
Mfano mtu anaamua kabisa kwenda public kwamba anatangaza vita dhidi ya Serikali iliyopo Madarakani na lengo lake ni kuiondoa (Serikali) Madarakani kwa nguvu, hayo ni mapinduzi, je Serikali haina...
Watu 6 wamepoteza maisha yao na wengine zaida ya 150,000 wameathirika kutokana na mvua nzito nchini Sri Lanka, kituo kinachosimamia maswala ya maafa nchini humo (DMC) kiliripoti leo (Jumatano)
...
Nyambizi za Jeshi la Wanamaji la Iran zasheheniwa makombora ya cruise ya Jask-2 yaliyotengezwa nchini
Dec 01, 2019 03:06 UTC
[https://media]
Kamanda wa kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Jamhuri...
''Recently just over 8,000 large central bank sized - four hundred troy ounce gold bars - or put more bluntly, 100 tonnes of gold bullion - were carefully transported by armed guards under the...
PARIS, UFARANSA
RAIS Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa kauli yake kwamba Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepatwa na kifo cha ubongo ilipiga kengele ya hatari kwa nchi...
Viongozi kutoka mataifa ya Magharibi yanayounda jeshi la pamoja la kujilinda NATO, wanatarajiwa kujaribu kuzungumza kwa sauti mmoja wanapokutana leo Jumatano jijini London nchini Uingereza...
Ethiopia yatangaza kuzindua satalaiti yake ya kwanza
===
Mamlaka ya utafiti wa anga za mbali nchini Ethiopia watangaza kuzindua satalaiti yake ya kwanza Disemba 17.
MKurugenzi wa shirika la...
Ndege isiyo na robani (drone) ya kipelelezi ya Jeshi la Wanamaji la Iran imeruka juu ya manowari yenye mitambo ya hali ya juu ya Marekani katika Ghuba ya Uajemi na kuchukua picha wakati wa luteka...
Nchi 15 za Latin Amerika zimekubaliana kumzuia Rais Nicolas Maduro na washirika wake wa karibu kusafiri katika mipaka ya nchi zao kama hatua ya kumshinikiza Maduro kuachia ngazi.
Mkutano huo...
Mwandishi wa Newsweek ambaye aliandika kwamba Donald Trump ametumia sikukuu ya thanksgiving kutweet na kucheza gofu, ameachishwa kazi, masaa machache kabla ya kushikwa na vikosi vya wanamgambo...
Visitors to the UK from the European Union and the Commonewealth will have to comply with a US-style electronic visa system after Brexit, under plans set out on Monday by Home Secretary Priti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.