International Forum

News and Stories from rest of the World
Tiba ya sindano badala ya vidonge vya kila siku kwa wagonjwa wa ukimwi nchini Rwanda yameshika kasi na sasa iko katika awamu ya mwisho. Wizara ya afya ya Rwanda imetangaza kwamba mnamo miaka...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Korti ya Afrika Kusini Ijumaa ilitupilia mbali maombi ya Rais wa zamani Jacob Zuma kwa kukata rufaa ya uamuzi wa mapema wa korti wa kumstaki. Mahakama kuu ya Pietermaritzburg katika Mkoa wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Urusi yuko pekee na NATO ni Ulaya plus USA na Canada ila Urusi anabakia kiwa tishio mno kwa NATO yote. 1. Nyambizi - Inaaminiwa Urusi ndo kiongozi wa nyambizi, linapokuja suala la Submarine...
7 Reactions
65 Replies
11K Views
Watu 9 wakiwemo watoto 2 wamefariki katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea katika jimbo la Dakota ya kusini nchini Marekani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya Marekani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Akizuru kambi ya kikosi cha jeshi la wanaanga la Marekani huko Bagram, Rais wa Marekani Donald Trump amekutana naRais wa Afghanistan Ashraf Ghani na kula chakula cha jioni na askari wa Marekani...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali mpya ya Sri Lanka inakusudia kutupilia mbali mpango wa kuikodishia China Bandari ya Hambantota kwa miaka 99, kutokana makubaliano kutokuwa na maslahi kwa taifa. Serikali iliyopita...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Makao makuu ya EU Brussels The EU is ‘’Institutionally racist’’ and only lets black people in to clean the toilets, a Brexit party MEP claimed. ….. …… ……. Mathew Patten, who was elected...
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Habari wanaJF, Natumai mungali bukheri wa afya. Niende kwenye mada. Ikiwa imesalia miezi kadhaa tu kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu nchini Burundi, nchi ambayo inakosolewa na jumuiya ya...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Wairaq waendeleza maandamano mjini Baghdad na Nassiriya Raia nchini Iraq wameendelea na maandamano kwenye mji mkuu Baghdad na eneo la kusini ya nchi hiyo ikiwa ni ishara ya kutoridhishwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ya mpito nchi Sudan imekifutilia mbali Chama cha NCP kilichokuwa kikiongozwa na dikteta Omar Al Bashir, ikiwa ni katika juhudi za kuleta amani ya kweli nchini humo, lengo ni kuondoa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu 9 pamoja na watoto wawili wamefariki na wengine 3 kujeruhiwa jana (Jumamosi) mchana baada ya ndege waliokuwa wakisafiria kuanguka kutokana na hali mbaya ya hewa muda mfupi baada ya kuondoka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jerusalem dead sea oldest town Jerusalem myahudi akikatiza katikati ya jiji daraja la kisasa kabisa katikati ya mji underground railway tel Aviv Haifa town tel Aviv bandari ya Jaffa...
15 Reactions
85 Replies
9K Views
Kwa hali ya masikitiko dada wa aliyekuwa mpiganaji Fred Gisa Rwigema ajulikanaye kama Joy Agaba alikutwa juzi amenyongwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana. Mauaji ambayo yalifanana na yale ya...
5 Reactions
34 Replies
6K Views
North Korea's state media on Saturday lashed out at Japanese Prime Minister Shinzo Abe as an "imbecile and political dwarf" for calling Pyongyang's latest test of a large multiple-rocket launcher...
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Katika hali isiyo ya kawaida nchini Iran maarufu kwa propaganda za nchi za wenzie sasa mambo yanawaendea kuwa Magumu kila mji uujuao nchini Iran kisa kikuu ni Kupandishwa bei ya Mafuta mara mbili...
7 Reactions
217 Replies
19K Views
Wahamiaji 117 kutoka waliokuwa wamezuiliwa Libya wamewasili nchini Rwanda mapema leo asubuhi, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHR. Wengi wa wahamiaji wa kundi hili la sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump amesaini muswada wa kuunga mkono maandamano yakudai demokrasia mjini Hong Kong na kuwa sheria. Rais huyo alitia saini sheria hiyo licha ya pingamizi kutoka kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
A man has been shot near London Bridge wielding a knife. More to come. A man has been shot by police after a number of people were believed to be injured in a stabbing attack around London...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
November 28, 2019 Galicia, Spain Spanish Civil Guard divers stand over the refloated prow of the submersible. LALO R. VILLAR (AFP) Spanish police officers have been inside the “narco-submarine”...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom