She was touted as perhaps the next Obama.
She had the looks. She had all the ingredients, so they said, to make it to the White House.
But, thanks to Rep. Tulsi Gabbard, today Kamala Harris...
The typhoon is expected to pass near the capital, Manila, on Tuesday.
===
The Philippines evacuated 200,000 people in coastal and mountainous areas amid fears of flooding and landslides, and...
Ufilipino imewahamisha watu 200,000 katika maeneo ya pwani na yenye miiinuko kufuatia hofu ya mafuriko na maporomoko ya ardhi, huku ikifunga uwanja wa ndege wa kimataifa.
Kimbunga Kammuri...
Nimekuwa Mchunguzi Wa Marekani, Katika Nyanja Kuu Tano; Uchumi, Siasa, Sheria, Ujasusi Na Teknolojia. Kwa Upande Wa Marais Nimeweza Kung'amua Kwamba Marais 25 Waliopita Ni Wanasheria Kitaaluma...
The untamed technological ambitions of the young creatives and inventors all across Africa is an attestation of a generation that is hungry to deliver cutting-edge technology to the continent...
Utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani umependekeza ushuru wenye thamani ya dola bilioni 2.4 dhidi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka Ufaransa kama jibini na mikoba ya wanawake, kulipiza kisasi hatua...
Kufuatia mapinduzi ya mwaka 1989 yaliyomweka madarakani rais wa Sudan aliyeondolewa madarakani Al Bashir, sasa atashtakiwa kwa makosa ya kuhujumu mfumo wa kidemokrasia. Endapo atatiwa hatiani...
Takriban watu 16 wamefariki kwenye ajali ya ndege ya jeshi kwenye jimbo la Mississippi nchini Marekani.
Ajali hiyo ilitokea katika kaunti ya Leflore karibu kilomita 160 kusini mwa mji mkuu wa...
Gunfire rang out in the DR Congo town of Beni on Monday as protesters demanding the United Nations' withdrawal from the city again marched towards the UN headquarters.
Security forces blocked...
Mapigano makali yaliyodumu kwa muda wa masaa 48 huko kaskazini Magharibi mwa Syria yamewaua watu 96, kulingana na shirika linalofuatilia haki za binadamu la nchini humo.
Shirika hilo limesema...
To mark 50 years of Ugandas independence, New Vision will, until October 9, 2012, be publishing highlights of events and profiling personalities who have shaped the history of this country...
Ripoti ya uchunguzi inayolenga kumshitaki Rais Donald Trump wa Marekani, itawasilishwa leo kwa faragha mbele ya wabunge muhimu wakati wabunge wa chama cha Democratic wakizidi kuongeza shinikizo...
Kuna hali ya sintofahamu kati ya nchi hizi 2 jirani na ndugu baada ya Burundi kushutumu mara kwa mara kuwa wanachokozwa kwa kuvamiwa na Rwanda.
Na hiyo imetokea baada tukio la juzi la kambi ya...
Watu 24 wamefariki na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya basi huko nchini Tunisia. Basi hilo limedondokea katika bonde karibu na mto.
Taarifa ya Wizara ya Utalii nchini Tunisia imeeleza kuwa...
China imesitisha ziara ya manowari ya Marekani na kuiwekea vikwazo asasi moja ya Kimarekani, ikiwa ni hatua ya kulipa kisasi kutokana na kusainiwa kwa muswada unaowaunga mkono waandamanaji...
Watu takriban 14 wameuwawa baada ya shambulio la wazi ndani ya kanisa nchini Burkina Faso.
Waathirika wa shambulio hilo walikuwa wamehudhuria ibada katika kanisa la Hantoukoura, mashariki mwa...
Ikiwa Ufaransa leo inatoa heshima kwa walinda amani wake 13 waliopoteza maisha nchini Mali juma lililopita, nchi hiyo imejikuta kwenye simanzi nyingi kubwa baada ya kupoteza raia wake watatu...
Jeshi la DRC latangaza kulitimua kundi la waasi kutoka Rwanda
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza kulitimua kundi wa waasi wa Kihutu kutoka Rwanda kutoka katika ngome yake...
Trump akaidi kushiriki katika kikao cha uchunguzi dhidi yake
Wakili wa rais Donald Trump wa Marekani amesema Ikulu ya White House haitashiriki katika kikao cha uchunguzi bungeni Jumatano ijayo...
Habari!
Uganda na Rwanda ziko mbioni zaidi ya mataifa mengine ya Afrika Mashariki katika mabadiliko ya kiteknolojia kuelekea magari yatumiayo nishati ya umeme ingawa mapungufu ya miundombinu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.