International Forum

News and Stories from rest of the World
Hivi majuzi tumesikia kua serikali ya bwana Trump imeiweka kampuni ya mawasiliano ya kichina, Huawei kwenye orodha ya makampuni machafu(balcklist). Je umewahi kujua chanzo au hiztoria ya mgogoro...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Hivi inawezekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote. Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo...
4 Reactions
115 Replies
11K Views
"I am not a conspiracy theorist but recall that on December 27th, China, Iran, and Russia began an unprecedented exercise in naval war games and training in the waters around Iran. Clearly big...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Jeshi la Iran limesema kuwa limejipanga kutumia makombora ya masafa ya kati na ya mbali kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati ikiwa ni mpango wa kulipa kisasi...
3 Reactions
107 Replies
11K Views
IRAN inaitafsiri amri ya Rais Donald Trump wa Marekani iliyopelekea kuuliwa Meja-Jenerali Qassem Solaimani wa Iran Januari 3, 2020 kuwa ni mwanzo wa vita baina ya Marekani na Iran. Kuna hata...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mashirika mbalimbali ya ndege duniani yamekwepa anga za Iran na Iraq kufuatia mzozo wa Marekani na Iran. Kufuatia shambulio la kombora la Iran dhidi ya kambi za kijeshi ambapo vikosi vya jeshi la...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Muungano wa Marekani wahamisha makao yake makuu kutoka Iraq hadi Kuwait Jan 08, 2020 02:51 UTC Muungano eti wa kupambana na kundi la Daesh unaoongozwa na Marekani umehamisha makao yake makuu...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanausalama wakiwa karibu na mabaki ya gari lililolipuka baada ya shambulizi la bomu mjini Mogadishu Jumatano, Januari 8, 2020 (AP Photo/Farah Abdi Warsameh) Watu 3 wamefariki dunia na wengine 6...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni kuhakikisha anaingia ikulu kiurahisi baada ya kuanzisha vita na Iran. Na kwa jinsi raia wengi Wamarekani walivyo 'weupe kabisa' kuhusu masuala ya Middle East na walivyokuwa brainwashed" na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
JAMII, TEKNOLOJIA NA VITA VYA BAADAYE Vita vinabadilika kutokana na mapinduzi ya habari, teknolojia nk, Lakini historia imeonyesha kuwa ni ngumu sana kujua ni vipi teknolojia mpya italeta jambo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kaimu Naibu Waziri Mkuu wa Uhispania, Carmen Calvo amesema nchi yake imeanza kuondoa baadhi ya Wanajeshi wake huko Iraq kutokana na sababu za kiusalama. Amesema Wanajeshi waliokuwa katika maeneo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wafungwa 11 wamepoteza maisha katika gereza kubwa nchini DRC la Makala jijini Kinshasa, tangu kuanza kwa mwaka huu wa 2020. Ripoti zinasema kuwa, vifo hivyo vimesababishwa na uhaba wa chakula na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bei za mafuta na dhahabu katika soko la kimataifa kote duniani zimepanda kufuatia kuuliwa shahidi Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran, Meja Jenerali...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari limelipuka katika eneo la makutano lenye shughuli nyingi mji mkuu wa Somalia na kusababisha vifo kwa watu 3 huku wengine 6 wakijeruhiwa kulingana na mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Nje ya Uingereza, Dominic Raab amesema wapo ukurasa mmoja na Marekani kuhusu mauaji ya Jenerali Qassem Suleimani Amesema ameongea Rais wa Iraq na Waziri Mkuu, pamoja na...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakati Jeshi la Marekani likitoa comment. "The Pentagon has sent six B-52 strategic bombers to the military base on the Indian Ocean island of Diego Garcia, which is beyond the range of Iran’s...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya Taifa ya Matumizi Mabaya ya Vilevi na Ulevi umesema Idadi ya vifo vitokanavyo na vilevi imeongezeka kwa haraka katika miongo kadhaa ya hivi karibuni, kulingana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais Trump ametishia kufanya mashambulizi kadhaa dhidi ya Iraq baada ya bunge lake kutaka Marekani kuondoa majeshi yake nchini humo. "Tumewekeza kiasi kikubwa sana cha fedha katika jeshi la anga...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Aman itamalaki Hawa jamaa ingawa mataifa yao ni madogo ila wako ngangari sana Ile ndege iliyotunguliwa endapo kama ingekuwa ya Israel basi tungekuwa tushasikia mengine muda huu, jamaa wako chapu...
8 Reactions
123 Replies
11K Views
Na, Robert Heriel. Ili uwe Kiranja wa dunia sharti utawala nchi zingine iwe kwa makubaliano maalumu au kwa mabavu. Hakuna nchi iliyowahi kuwa Super Power wa huu ulimwengu bila kuvamia nchi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom