Hotels, lodges and guest houses in Ugandan capital Kampala and neighbouring districts have to disclose details of visitors every day as part of measures to fight urban crime.
Police chief...
Hivi jamani, kwanini Marekani likija suala la kuguswa Wakurdi anakua mkali sana?
Je, kuna ajenda gani kati ya Marekani na Wakurdi?
Juzi Mturuki kaingia kushambulia akatishiwa hadi na vikwazo na...
Vifo vya watu 39 walioswekwa na kusimikwa kwenye trela refregirate vimetingisha vichwa vya habari duniani.
Inasadikika raia hao wanaume 30 na wanawake 9 wengi wao ni wa China na baadhi wa Vietnam...
**UPDATE** Kitu kimepita!
Canada itakuwa nchi ya kwanza katika mataifa ya G7 kuhalalisha bangi kwa matumizi yasiyo ya kimatibabu kwa nchi nzima.
Bangi kwa ajili ya matibabu ambayo inahitaji...
Wadau,
Marekani na mafuta ni sawa na uji na mgonjwa!
Hebu soma kauli ya Trump
''But we're keeping the oil -- remember that. I've always said that: ‘Keep the oil.’ We want to keep the oil...
“The oil is, you know, so valuable, for many reasons,It fueled ISIS, number one. Number two, it helps the Kurds, because it's basically been taken away from the Kurds. They were able to live with...
Mapambano yazuka nchini Syria kati ya vikosi vya serikali ya Syria na waasi wanaoungwa mkono na Uturuki
Wanajeshi wa Syria wamekabiliana kwa mara ya kwanza na waasi wanaoungwa mkono na Uturuki...
Toka Baba wa Taifa la Palestina YASSER ARAFAT auawe kwa sumu na waliberali huko Paris, nimekuwa namuona tu huyu Mzee Mahmoud Abbas hakuna uchaguzi wala nn?kwa nn na sisi tusiige kuokoa pesa...
Mfanyakazi wa kampuni ya ndege ya Southwest Airlines amewasilisha kesi mahakamani akiwashutumu marubani wawili kwa kuficha kamera katika choo cha ndege hiyo na kuwachukua picha za moja kwa moja...
Habari!
Kwa kipindi kirefu tumekuwa tukifuatilia sakata hili kati ya Marekani na Uturuki kuhusiana na mpango wa ndege za kivita za kizazi cha tano za F-35 ambapo Marekani iliiondoa Uturuki katika...
Kwa mujibu wa taarifa, Abu Bakr al Baghdadi ameuawa baada ya Vikosi vya Marekani kufanya shambulio la anga Kaskazini Magharibi mwa Syria
> Hata hivyo uthibitisho rasmi unasubiri kipimo cha...
Shule ya Kikatoliki ya St. Edward jimboni Tennessee imetoa vitabu vya Harry Potter vilivyoandikwa na mwanamama J. K. Rowling baada ya Padri Dan Reehil kusema zinaweza kusababisha msomaji kuita...
MWANAJESHI mmoja wa Urusi amewapiga risasi wanajeshi wenzake wanane na kuwajeruhi vibaya wengine wawili katika kambi ya kijeshi iliopo mashariki kulingana na maofisa.
Askari huyo, Ramil...
Nianze kwa kuwasalimia, nakuwatakia heri ya mwaka mpya Watanzania na Waafrika wote!
Mnamo januari 14,2011 aliyekuwa rais wa Tunisia bwana Zine El Abidine Ben Ali alipinduliwa kutokana na kile...
The mysterious flight between the two nations had many asking "Whodunnit?"
A privately owned, unidentified Challenger 604 jet departed from Ben-Gurion International Airport, landing first in the...
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo ametoa taarifa kuwa wameiagiza wizara ya usafirishaji ya nchi hiyo kusimamisha safari zote za kuelekea Cuba isipokuwa zile za kuelekea uwanja wa...
Mahakama ya Bangladesh leo imewahukumu kifo watu 16 kwa mauaji ya Nusrat Jahan Rafi (19) aliyechomwa moto akiwa hai baada ya kufikisha malalamiko yake Mahakamani kuwa alibwakwa na Mkuu wa shule ya...
ABU BAKR 'S DEATH IS GOOD AWAITED NEWS FOR MANY PEACE LOVERS ACROSS THE GLOBE
The announcement of the death of the ISIS terrorist leader following a US Special Forces operation is of course a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.