International Forum

News and Stories from rest of the World
Tume ya uchaguzi nchini Msumbiji, imekiri kuwa kuliwepo na dosari kadhaa wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, ambapo rais Filipe Nyusi alichaguliwa kwa muhula wa pili. Kauli hii ya tume...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na imelaani mauaji ya mwanahabari anayehamasisha kuhusu Ebola. Katika taarifa ya pamoja ya wizara ya afya ya nchi hiyo kwa ushirikiano na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ali Bongo amepata stroke na alikuwa kwenye matibabu kwa takriban miezi 18. Sasa hivi anajitahidi kuwashawishi raia wake kuwa anaweza kusimama tena katika uchaguzi ujao. Kebehi nyingi sana...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mr President, your days in the office have drawn nigh, only if the Congress House speaker miss Nancy Pelosi wins her tricks on you. You'll be ousted by impeachment and the formal proceedings...
2 Reactions
4 Replies
907 Views
The US House of Representatives has passed a resolution to formally proceed with the impeachment inquiry against President Donald Trump. The measure detailed how the inquiry will move into a more...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Urusi bado haiwezi kuthibitisha madai ya Washington kuhusu kuondolewa/kuuawa kwa kiongozi wa IS, Waziri wa Mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov amesema, na kuongeza kwamba Amerika iliwezesha...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Polisi nchini Ufaransa imegundua uwepo wa wahamiaji 31 waliokuwa nyuma ya lori ikiwa ni pamoja na watoto ambao hawakuwa na mzazi ama mlezi. Kulingana na mwendesha mashtaka wa umma mjini Nice...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Baada ya kiongozi wa aliyekua kundi la Daesh Abu Bakr al-Baghdadi kuuawa katika oparesheni ya Siri ya kijeshi iliyoongozwa na Marekani,hatimae kundi la kigaidi la ISIS au Daesh latangaza kiongozi...
1 Reactions
149 Replies
12K Views
Sun Nov 3, 2019 09:11AM [Updated: Sun Nov 3, 2019 10:17AM Iran’s Parliament Speaker Ali Larijani Iran’s Parliament Speaker Ali Larijani says the United States has been seeking to foment turmoil...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
US trying to stir chaos in region to seize oil Sun Nov 3, 2019 09:11AM [Updated: Sun Nov 3, 2019 10:17AM Iran’s Parliament Speaker Ali Larijani Iran’s Parliament Speaker Ali Larijani says the...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Mahakama moja nchini Barcelona imewaachilia huru wanaume watano waliotuhumiwa kumbaka kwa zamu msichana wa miaka 14 kufuatia mashtaka ya unyanyasaji huo wa kingono. Wanaume hao walipatikana na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maaskofu wa Kanisa Katoliki wapendekeza kuwaruhusu baadhi ya Wanaume waliooa kufanya kazi za Upadri Pendekezo hili limepitishwa kwa kura 128 dhidi ya 41 zilizokataa. Hata hivyo lazima Papa...
1 Reactions
63 Replies
9K Views
WhatsApp wanasema kuwa NSO Group walitumia teknolojia yao kufanya udukuzi kwenye mawasiliano ya WhatsApp ya Wanahabari na Watetezi wa Haki za Binadamu WhatsApp inayomilikiwa na Facebook...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Irkut MC-21 achieves third round of EASA certification flights Test pilots from the European Aviation Safety Agency (EASA) completed the third flight session of the MC-21-300 certification...
0 Reactions
3 Replies
832 Views
North Korean state news agency KCNA said on Friday another test of super-large multiple rocket launchers a day earlier had been a success, but the test drew protests from neighboring Japan and...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Idadi ya wanajeshi wa Mali waliouawa katika shambulizi la kigaidi lililotokea jana Novemba 01, imefikia 35. Jeshi la Mali limesema katika tovuti yake kwamba idadi hiyo imeongezeka kutoka 15 ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa Mrimbwende wa Taifa la Gambia. Fatou Jallow ametoa yuhuma hizo mbele ya Tume ya Ukweli na Maridhiao Amesema kuwa Jammeh alimlazimisha amkatae mchumba wake ambaye walipanga kuoana...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
ALIYETUNGA SHERIA KUZUIA UZINZI ABAMBWA AKIZINI Mwanaume mmoja nchini Indonesia ambaye alishiriki kwa kiasi kikubwa kuandaa Muswada wa sheria ya kupinga vitendo vya uzinifu nchini humo amekamatwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimeshangazwa sana na stori ya mwanamke alie jinunulia jeneza, hayo yamekua ni maandalizi ya mazishi yake endapo atafariki dunia. Amenunua jeneza lenye thamani zaidi ya Tsh 22million. Huyu ni...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Waangalizi wa kimataifa kutoka Jumuiya ya nchi za Amerika wameanza tangu Alhamisi, Oktoba 31, uchunguzi wao kuhusu uhesabuji wa matokeo ya uchaguzi wa urais, wakati makabiliano kati ya raia...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Back
Top Bottom