Rais wa zamani wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva, ambaye anazuiliwa jela kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu kwa makosa ya rushwa, hivi karibuni anaweza kuachiliwa huru baada ya uamuzi wa Mahakama...
Ukiangalia miji yote yenye population kubwa ya African Americas ina uhalifu Mkubwa sana.
Mfano mji kama Washington DC ambao una federal security headquarters zote kwenye metropolitan yake, lakini...
NOVEMBA 9, 2019
Raisi wa Rwanda Paul Kagame amejibu shutuma kuwa amekuwa akiwapeleleza wapinzani wake kupitia simu zao, amesema teknolojia inayohitajika kufanya hivyo ni ghali sana.
Akizungumza...
Kwa mujibu wa ripoti ya Taasisi ya Independent High Commission for Human Rights of Iraq(IHCHR) iliyotolewa jana, takriban watu 301 wameuawa na wengine 15,000 wamejeruhiwa tangu kuanza kwa...
Vyama vitatu vya siasa nchini Uingereza vimetangaza makubaliano ya kushirikiana ili kupata wanachama zaidi katika bunge ambao wanaunga mkono Uingereza kubakia katika Umoja wa Ulaya.
Vyama hivyo...
Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa wale wote wanaoshambulia, kuteka nyara au kukamata nje ya kinyume cha sheria watakabiliwa na mashitaka.
Waziri huyo anaongeza kuwa, uwepo wa Vyama vya Siasa ni...
Alisema: huwezi kuwa na Demokrasia na ukashinda kwa zaidi ya 90+ huku mpinzani wako umemfunga, hakuna uhuru wa habari, hakuna uhuru wa vyama kukutana, kufanya mikutano, uhuruwa kukosoa serikali...
Kiongozi wa zamani wa waasi wa Congo amehukimiwa kifungo cha miaka 30 jela la Mahakama ya Kimataifa ya jinai kwa makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu .
Waoiiganaji waliomtii...
Nchi ya Burkina Faso imeanza maombolezo ya siku 3 ya kitaifa, baada ya kuuawa kwa raia 38 katika shambulio la kushtukiza lililotekelezwa na wanajihadi wa kiislamu kaskazini mwa nchi hiyo...
The fascinating outcome of democracy in some selected countries depict that countries with more democracy tend to want less of it. Conversely, countries with less want more of it.
See the...
Mlipuko uliotokea ardhini katika machimbo ya madini huko Teutschenthal katikati ya nchi hiyo, umejeruhi watu wawili na kusababisha wengine 30 kukwama ardhini
Uokoaji unaendelea huku ikielezwa...
Jaji wa jimbo la New York ameamuru Rais Donald Trump azirudishe dola milioni mbili alizozichukua kwa matumizi yanayotajwa na mahakama kuwa ni kinyume cha sheria.
Fedha hizo ni kutoka mfuko wa...
Polisi nchini Nigeria imewaokoa watu 259 kutoka katika kituo kisichokubalika kisheria kilichopo ndani ya msikiti katika mji wa Ibadan, uliopo katika jimbo la kusini magharibi mwa nchi hiyo la Oyo...
Meya wa mji mmoja mdogo amevamiwa na waandamanaji wa upinzani ambapo alitembezwa mitaani bila viatu huku akiwa amepakwa rangi nyekundu na kisha kukatwa nywele kwa lazima.
Meya huyo, Patricia Arce...
Ikiwa ni miezi takribani mitano imesalia kabla ya nchi ya Burundi kufanya uchaguzi wake mkuu, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha CNL, Agathon Rwasa amelalamikia kuhusu kile...
Shirika la Ndege la Ujerumani Lufthansa limefuta karibu safari 1,300 hapo kesho na Ijumaa kwa sababu ya mgomo uliopangwa na chama kinachowawakilisha wahudumu wa ndege nchini Ujerumani.
Chama...
Huduma za intaneti katika mji mkuu Baghdad na sehemu kubwa ya nchi ya Iraq imekatwa kufuatia machafuko ndani ya nchi hiyo yanayotokana na maandamano ya kuipinga Serikali
Taarifa zinasema kiwango...
Mkataba ulitiwa saini mbele ya wakuu kutoka nchi za Saudi Arabia Mohammed ben Salman (katikati), Falme za Kirabu, Mohammed ben Zayed (kushoto) na Rais wa Yemeni Abd Rabbo Mansour Hadi (d) Jumanne...
Watu 13 wamefariki dunia kufuatia vurugu za mapigano zilizotokea katika chuo kikuu cha Kogi katika eneo la Ayingba nchini Nigeria.
Kwa mujibu wa habari kutoka katika vyanzo vya nchi hio, mapigano...
Madaktari katika hospitali za Serikali wamefukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu kwa kukiuka amri ya Mahakama ya kuwataka kurudi kazini baada ya kugoma kwa miezi miwili wakitaka maboresho katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.